Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Changamoto za kazi zinatofautiana mkuu.Hizo ni changamoto tu za kazi sio kwa udaktar tu hata wahandisi wanakutana nazo ,
Mtu anaweza kukujia na gonjwa kila akikuelezea unaweza sema amerogwa.
Asee we unasema tyuu kwa kutuletea vipimo vya full blood picture wameturahisishia kaz kimtindo.
Mbaya zaid daktari hata maisha yake yanahatarishwa maana unaweza ukaletewa mgonjwa yupo ktk critical condition kumbe ni mgonjwa wa homa ya ini na homa ya ini inaambukiza kwa contact ukawa unafanya kazi kwa mazoea ukasahau gloves umeondoka na maji.