Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Hizo ni changamoto tu za kazi sio kwa udaktar tu hata wahandisi wanakutana nazo ,
Changamoto za kazi zinatofautiana mkuu.
Mtu anaweza kukujia na gonjwa kila akikuelezea unaweza sema amerogwa.
Asee we unasema tyuu kwa kutuletea vipimo vya full blood picture wameturahisishia kaz kimtindo.
Mbaya zaid daktari hata maisha yake yanahatarishwa maana unaweza ukaletewa mgonjwa yupo ktk critical condition kumbe ni mgonjwa wa homa ya ini na homa ya ini inaambukiza kwa contact ukawa unafanya kazi kwa mazoea ukasahau gloves umeondoka na maji.
 
Kigezo ni muda wa darasani na ugumu wa kozi husika, mwalimu kozi yake sio ngumu na hakai darasani muda mrefu , kingine mtu kujua kitu au kusoma kuna mchango mkubwa WA mhusika mwenyewe
Una uelewa wa kutosha wa kile unachokiandika au unaandika kwa sababu mikono yako ina uwezo wa kuandika ?
 
Wewe unafaham kitu kuhusu Uhandisi?
Unafahama chochote kuhusu Structural Analysis?
Umedandia hoja.... nenda mahospitalini utajua umuhimu wa maMD, sikatai maengineer wana nafasi yao kama ilivyo tu kada zingine zozote but non of them can come closer to MD..

remember unaishi mara moja tu na hakuna cha kufananisha na uhai, madaktari husaidia kwa kiwango kikubwa kuokoa maisha yetu.
 
Kaka we unasema tyuu madaktari wanahitajika kwa wingi we huoni huko maeneo mengine madaktari wanazidiwa na wagonjwa.
Tatizo serikali yetu haina fedha za kuajiri madaktar wa kutosha hvyo .
Lakini wapo madaktari ambao wanafanya kaz hospital zaid ya moja mm nipo na nimeona hilo mkuu
Sidhani kama kuna upungufu wa madaktari wa kawaida mtaani hadi mtu atumike sehemu zaidi ya moja,kwa madaktari bingwa hakuna shaka kwa hilo
Serikali iwalipe madaktari salary inayoridhisha
 
Huwezi fanya comparison za kitoto hivyo... engineer hajengi ana design yy hata tofali hashiki, basi bora huo mshahara wake wapewe wale vibarua wanaopanda juu na matofali...
Hata hospital pia wanaofanya manesi yeye anashauri tu.
 
Walimu kwa sasa wanalipwa vizuri kuliko awali,na ukiangalia ugumu na risks za kazi ualimu sio mgumu wala sio risk Kama daktari
Ndugu hata km ungelipwa 2000000 bado pia haitoshi kusema eti ndio thamani ya kazi unayoifanya.kazi unayofanya ya kuokoa afya za binadamu wenzako itabaki kuwa na thamani kubwa kiasi kwamba binadamu hawezi kuilipa bali Mungu pekee.

Sasa usijaribu kabisa kusema eti ungepewa hiyo kiasi unayotaka kulipwa eti ndy ingekompaseti kazi yako nzito, Hakuna kitu km hicho!

Hyo unayolipwa ni Kukuwezesha tu uishi usife njaa ndugu ridhika tu na uendelee kuchapa kazi kwa Mungu utapokea ujira halali wa kazi yako
 
Umedandia hoja.... nenda mahospitalini utajua umuhimu wa maMD, sikatai maengineer wana nafasi yao kama ilivyo tu kada zingine zozote but non of them can come closer to MD..

remember unaishi mara moja tu na hakuna cha kufananisha na uhai, madaktari husaidia kwa kiwango kikubwa kuokoa maisha yetu.
Kila mtu ana umuhimu.
 
Unasema nn ww?!
Nurse hufanya kaz ndogo sana ila daktari ndio anafanya asilimia kubwa hata katka kuzalisha wakunga wasaidizi tyuu
Manesi ndio wanafanya sana practically na ndio maana wanakaa na mgonjwa kwa masaa mengi.
 
Asee mnafiki mmoja.
Hiyo marekani hawana robot wa kutibu sembuse huku.
Huyo robot anaweza kugundua mshipa ulio muhimu au mropokaji tyu?!
Kumbuka robot anatengenezwa kukariri sio kufikiri km binadam.
Halafu kumbuka kila siku magonjwa mapya yanazuka robot wako hawez kutoa uvumbuzi w hayo magonjwa.
Ila unaweza ukamtengeneza robot na kum drive ajenge barabara ila sio kutibu.
Ktk utumbo niloukuta humu huu ndio namba moko
Miaka inavyokwenda na ugunduzi wa kisayansi madaktari watakosa kazi soon. Roboti linakutibu unasepa.

Tuitie roboti lijenge lami.
 
Changamoto za kazi zinatofautiana mkuu.
Mtu anaweza kukujia na gonjwa kila akikuelezea unaweza sema amerogwa.
Asee we unasema tyuu kwa kutuletea vipimo vya full blood picture wameturahisishia kaz kimtindo.
Mbaya zaid daktari hata maisha yake yanahatarishwa maana unaweza ukaletewa mgonjwa yupo ktk critical condition kumbe ni mgonjwa wa homa ya ini na homa ya ini inaambukiza kwa contact ukawa unafanya kazi kwa mazoea ukasahau gloves umeondoka na maji.
Mbona hata wahandisi wanakutana na hizo changamoto kuna wakati wanaitwa mashine imesumbua wakati inatumika kwa mgonjwa na hospitali yote ipo hiyo tu,kama itaendelea kuwa mbovu huduma zinasimama,pia hilo la kupata magonjwa mtumishi yeyote anaweza kupata magonjwa kama hatachukua tahadhar za kujikinga.kumbuka hospital siku hizi kuna biomedical technician/engineer ambao wapo kuvifanyia matengenezo,kufunga na kutoa mafunzo ya vifaa tiba kwa watumiaji
 
Hivi unajua sayansi wani ini PCM hence wahandisi na sio PCB hence madaktari?
Shauri yako, vifaa tiba vyote anagundua na kutengeneza mhandishi ndio unataka umlinnganishe na anayetumia?
Unajua umeropoka kuliko watu wote.?!
Ww unatengeneza vifaa tiba vichache ila anayetufanya tufanye kaz sisi madaktar ni mfamasia sawa wewe.?!
Sisi hata tukiamua kukutibu ww tunafanya prescription kaz imeisha ila vifaa vimeletwa ili kuturahisishia kaz?!
 
Mbona hamsemi polisi anaaelala kwenye mbu . Analinde fedha zisiobiwe wakati mfukoni hana kitu?

Je, huyu Dr waweza mlinganisha na polisinkwa risk?
Zaidi ya 15,000 kwa siku
Risk ni kama magonjwa ,hawana wikend au holidays na wako hatarini kupata magonjwa kutoka kwenu nyie wagonjwa wakati wanatekeleza majukumu yao
Wewe umelala mwenzio yuko on duty si unajua wake zenu wanazaa zaidi ucku
 
Back
Top Bottom