Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Madaktari bana,kwa kujiweka wa kipekee hahahahhaa
 
Udaktari ni wito kama umesoma ili utajirike umepotea njia
Udaktari sio wito ni huduma kama huduma nyingine. Wito wake unakuja kwenye maamuzi tunayochukua kuokoa maisha bila kuangalia nan anapata msaada. Ila haki kupata mshahara unaoendana na kazi tunazofanya
 
Hahahaha hii kichekesho cha mwaka , jiulize kwann waalimu WA arts ni wengi kuliko waalimu WA sayansi
Wingi au uchache haina maana kozi hii ni ngumu na nyingine ni nyepesi,ugumu wa kitu uko mtu mwenyewe
 
Umekosea kucompare na Engineer anayesoma miaka mi4 na kuwasahau wabunge wanapiga porojo ya nusu mwaka na kuingia mjengoni kula mema ya nchi.
 
Mleta uzi unateseka kwani unatetea ugali wako
 
Eng wa bongo taka takaa tu... Yani mchina kaja Kaweka tu mabati pale Ubungo foleni kwisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maeng wetu hakuna kitu ni mzigo tu kwa taifa..!
Kijana utapata laana acha kutukana wajenzi wa taifa shauri yako
 
Hoja ya kipumbavu kabisa kwani ulikuwa unasomea mshahara au taaluma?? Na kama mshahara wa mhandisi ni mkubwa kwanini hukwenda kusomea hiyo fani ili uwe unalipwa kiwango hicho cha mshahara?? Alafu unakuja na hoja za kijinga kijinga hapa eti walimu hawana risk kwani madaktari wana risk gani au kukariri videsa kwa hivyo vi miaka vitano ndo risk?? Poor you
 
Swala sio kusomea,hoja ni kulipa mishahara kulingana na uzito wa kazi,mkija na unadhani kutoa uvimbe kwenye anus yako ni kazi rahisi?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]
Hapo sina ubishi Tena.
Kweli nimeamini ni kazi nzito,Ni afadhali kuchezea grisi ni nyepesi kuliko hyo
 
Siku ukiota uvimbe kwenye anus utajua kama kukariri videsa kwa miaka mitano kuna maana au hakuna maana
 
Eng wa bongo taka takaa tu... Yani mchina kaja Kaweka tu mabati pale Ubungo foleni kwisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maeng wetu hakuna kitu ni mzigo tu kwa taifa..!
Hawajapewa nafasi ya kufanya hvyo.
Mbona wakipewa nafasi hata wanafunzi tu Wana uwezo wa kutatua hizo changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…