Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Hizo dawa, peni, karatasi, machine na vifaa mbalimbali anavyotumia huyo daktari kwenye kazi yake vimetengenezwa na Engineer's sasa sijui bila engineers huyo daktari angefanya kazi gani kama si kuwa mganga wa kienyeji na kuanzia kuchimba mizizi na mawe... Brother Respect Engineers achana na hizi siasa za Africa..
U are still a kid my friend duuuh......yaan hata hujui % contributions ya vifaa n kias gan ktk kutibu.....pole sana ila nikwambie tu kuwa vifaa vina mchango mdogo sana ktk kutibu,na kama vingekuwa na mchango mkubwa bhc hao waliovigundua ndio wangekuwa na uwezo mkubwa wa kutibu kuliko madaktari wenyewe...na kusingekuwa na haja ya madr kusoma 5 years bali wangejifunza how to operate hvyo vifaa mlivyogundua to make a diagnosis.... My friend u know nothing about the power of medicine.... One day u will comprehend
 
We mnafiki.
Tokalin engineer atengeneze dawa?
Asa pharmacist kaz yake nn km engineer atatengeneza dawa?
Engineer anajenga vtu vichache sana ktk vifaa tiba most vya vilivyobak mafamasia,
Au unataka kusema keko pharmaceuticals kuna ma engineer?
Broo umefula
Anaropoka tu.....engineer doesn't know how a drug is taken,distributed, metabolised and excreted in the body...if he can't know those pathways how can he discover drugs??tatzo hawa engineer wa bongo wanadhani kila kitu kinachoweza kuguswa hugunduliwa na engineer......akili chache kama hz ndio znafanya contracts zote kubwa nchin kama ya fly over ya tazara, barabara za lami almost zote na ubungo wapewe wachina tu....hawa wa bongo they know nothing
 
Sasa Nyie maeng ndo mnatumia puru kufikiri maana tatzo dogo kama lile mpaka wachina waje kuweka idea ya round abt kwa kutumia mabati mpaka tukabaki tunashangaa hawa Maeng wanaosoma Civil sijui udsm kila siku mnakaa foleni pale ya kwenda mabibo hostel hata Kujiongeza mtoe idea nini la kufanya hakunaa...[emoji23][emoji23][emoji23] Zero brain kabisaa
Okay!
 
Ila kaka sio usikuuu.
Daktari anakurupushwa midnight mhandisi akilala amelala
Hujui chochote kuhusu uhandisi,watafute watu wanao deal na Maswala ya Television broadcasting wazee wa Broadcast Engineer.Usifanye masiahala kumonitor channel zaidi ya kumi na zote uhakikishe haziendi black.
 
We join medical school sio kwa lengo LA kupata pesa mkuu.....HV kuna furaha gan kumuacha mkeo SAA Tisa usiku kama huu muda unaenda kumuattend mgonjwa aliye kwenye critical conditions???
Mm nadhan watu hamjaumwa seriously,siku mkiumwa mtajionea nn wenyewe.....no money is worth than leaving ur family to save a patient whom u don't know....
Mke anatetewa na anathamani kuliko wewe,nyie ndio mnasababisha wasiongeze mishahara kwa madaktari
 
Bora madaktari wanapata parefu angalau wanaendesha vyema maisha yao. Yaani watu wa kwanza wa kuwaangalia hapa Tz ni walimu. Kwakweli walimu wanahali mbaya. Inawezekanaje mwalimu na Degree zake mshahara wake haufiki ata laki 6. Hawa ndo maana wanamadeni kila kona
 
Maisha sio kushindana...mbona mbunge msukuma anakuka more than 10 million na kaishia std seven tu......think again mkuu....

Mshahara mkubwa haumaanishi kazi n ngumu
Bila mashindano maisha hayana radha na hukawii kusema umeokotwa jalalani
 
Watumishi wa serikali wapo wa aina mbili,
1. Watumishi waliopo serikali kuu na serikali za mitaa

2. Watumishi waliopo Kwenye taasisi/mashirika ya umma.

Watumishi wa serikali kuu na serikali za mitaa, mishahara yao ni midogo sana. Hii ni kutokana na wao asilimia kubwa ni kutoa huduma na sio kuzalisha fedha.

Taaisisi za serikali nyingi hukusanya mapato, hivyo huzalisha fedha. Hivyo wanastahili kupata kipato kikubwaa.

Muhimbili ni taasisi, daktari wa pale analipwa mshahara mkubwa sana kuliko daktari wa hospitali ya wilaya, wote wakiwa na elimu sawa na cheo kimoja

Hii ni kwasababu, Muhimbili ni Taasisi, huduma zake huzalisha fedha nyingi sana
 
Bora madaktari wanapata parefu angalau wanaendesha vyema maisha yao. Yaani watu wa kwanza wa kuwaangalia hapa Tz ni walimu. Kwakweli walimu wanahali mbaya. Inawezekanaje mwalimu na Degree zake mshahara wake haufiki ata laki 6. Hawa ndo maana wanamadeni kila kona
Mwalimu hana kazi kubwa kihivyo kuliko madaktari,labda walimu wa ngazi za chini wafikiliwe zaidi otherwise hao wa degree hiyo 20,000 kwa siku inamtosha sana na ana muda mwingi wa kufanya mambo yake
 
"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa" HOSEA 4:6

Madaktari walisoma udaktar sababu wanapenda wahandisi walisoma uandisi sababu wanaupenda vile vile walimu walisema ualimu sababu waliupenda/walitakaboom/tcu iliwapeleka. Maisha ni kupanga na kuchagua. Kama unataka mshahara mkubwa kasome uandisi ili kama una ndoto za kuokoa maisha ya watu baki daktari simple. Afu hospital privatr zilivonyingi bado mtu analilia ajira
 
Ila kaka sio usikuuu.
Daktari anakurupushwa midnight mhandisi akilala amelala
Nani kakuambia?. Au night plants zinajiendesha wenyewe?. Plant ina run 24 hours in 300 days per year, remaining days for maintenance. Wewe unasema Engineer akilala kalala hivi unajua uhandisi ni nini?.
 
We mnafiki.
Tokalin engineer atengeneze dawa?
Asa pharmacist kaz yake nn km engineer atatengeneza dawa?
Engineer anajenga vtu vichache sana ktk vifaa tiba most vya vilivyobak mafamasia,
Au unataka kusema keko pharmaceuticals kuna ma engineer?
Broo umefula
Biomedical Engineers google ujue wanafanya kazi gani?.
Au unahisi hizi penicillin, amoxillin etc zinazozalishwa kwa fermentation, pharmasist ndo wanarun zile fermenter?.
 
Leta mshahara wa mhandisi wa Halmashauri ulinganishe na dakatari wa hospitali ya wilaya au mkoa. TANROAD ni kama mashirika mengine ya UMMA kama NSSF, NHIF nk
Umemaliza kila kitu Mkuu! Engineer wa halmashauri ni TGS E 900s, wakati MD ni zaidi ya 1.4M, MD analipwa Mara 2 ya afisa maendeleo ya jamii wa degree
 
Umemaliza kila kitu Mkuu! Engineer wa halmashauri ni TGS E 900s, wakati MD ni zaidi ya 1.4M, MD analipwa Mara 2 ya afisa maendeleo ya jamii wa degree
Kwamba huko halmashauri na serikali kuu hawazalushi wanatoa huduma ndio maana salary ni ndogo,sasa Tanroads wanazalisha nini? Bora hata TANESCO wanazalisha
 
Back
Top Bottom