chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,865
- 29,608
Wivu. Ok tuseme siyo daktari basi ili roho yako ipate amaniSifikirii Kama huyo amefika viwango vya kuitwa Daktari bingwa
Wivu. Ok tuseme siyo daktari basi ili roho yako ipate amaniSifikirii Kama huyo amefika viwango vya kuitwa Daktari bingwa
Sote tuseme inalilahhi wa inailahhi rajuun.
sis ni kaka zakoIlo swala la kuniita dogo sipend mna nikimbizia wachumba
Kwahy mnataka niwe single milelesis ni kaka zako
Na linajua wewe una changamoto ya afya ya akili ndio maana linakuuliza maswali ya kiduwanzi, utanio utanioa kesho? Nani aoe robot-computer programu?Mi siku hz huku whattsapp kuna hili li AI,basi nazinguana nalo weeee,tunazinguana weeeee,basi nacheeeeka linavyojibu,hapo stress zinakwisha kabisa
Aah safi sanaa natamani Binti yangu nae awe kama weweni kawaida sana kwa millennials wengi tulianza shule mapema
nimemaliza MD na miaka 24 nimekuwa specialist nikiwa 29
Pole mkuu.Kuhusu huyo mwanamke sijui ila bro wangu najua. Ndio naelekea KCMC kuchukua mwili
Kavaa vazi la KiCCM, basi huyu atakuwa kauliwa tu na wana CCM wenzake, I don't believe this story.Daktari bingwa wa watoto kutoka Hospitali teule ya Kibosho Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, Magreth Joseph Swai (30) ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa antena.
Akizungumza kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea Julai 10,2025 majira ya saa tatu kamili usiku katika makazi yake yaliyopo Longuo Kata ya Longuo,Tarafa ya Moshi Magharibi.
Amesema Marehemu alitumia waya wa ntena alioufunga kwenye nondo ya mlango wa chumbani katika nyumba aliyokuwa anaishi.
"Chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo uliotokana na afya ya akili ambapo Marehemu alifunga waya huo kwenye nondo iliyopo juu ya mlango na kujitundika" alisema SACP Maigwa.
RPC Maigwa ameongeza kuwa marehemu alianza kuugua ugonjwa wa afya ya akili akiwa katika mafunzo kwa vitendo kama Daktari maalum wa watoto miaka minne iliyopita.
Taarifa hizi zinakuja wakati ambapo Mfanyabiashara mmoja mkazi wa Moshi,Msaranga Ronald Malisa (35) naye akiripotiwa kujinyonga Julai 10,2025 kwa shuka bafuni kwake kwa sababu zisizojulikana, miezi nane baada ya kufunga ndoa yake ambapo mazishi yake yanatarajiwa kufanyika Julai 15,2025.
Naona umetoa dukuduku 🤣🤣Ilo swala la kuniita dogo sipend mna nikimbizia wachumba
Movement ya chini hii bora umegundua 😂Kwahy mnataka niwe single milele
PoleHii ndiyo hal
i ambayo mimi ninaipitia ila kama sio Tu imani yangu ya dini ningejitundika kitambo tu
Acha kabisa mkuu, hili tatizo la afya ya akili ni kubwa ila wengi huishia kusema wamerogwa, wametupiwa majini nk.Bongo unamweleza mtu tatizo lako cha kushangaza atakujibu hilo lako sio tatizo na kuanza kukueleza ya kwake.
mjitahidi kumkabidhi Yesu maisha .ni kawaida sana kwa millennials wengi tulianza shule mapema
nimemaliza MD na miaka 24 nimekuwa specialist nikiwa 29
Wana nikwaza sana 😂Naona umetoa dukuduku 🤣🤣