Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Nipo mnama mbona umecheka?Mnama umepotea sana bwashee
Nipo mnama mbona umecheka?Mnama umepotea sana bwashee
Nitakua nimekosea mnama nilikusudia kuweka emoj ya masikitiko , poleni sana bwasheeNipo mnama mbona umecheka?
Asante mnama. Ni huzuni tupu ndugu. Ila msiamini sana anayoandika huyu mwandishi wa Mwananchi anaejiita Janeth JosephNitakua nimekosea mnama nilikusudia kuweka emoj ya masikitiko , poleni sana bwashee
Mtoto mrembo anajinyonga vipi sasa na utamu wake jamani?Chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo uliotokana na afya ya akili ambapo Marehemu alifunga waya huo kwenye nondo iliyopo juu ya mlango na kujitundika
Kwanini tusiamini chanzo ni nini kwani?Asante mnama. Ni huzuni tupu ndugu. Ila msiamini sana anayoandika huyu mwandishi wa Mwananchi anaejiita Janeth Joseph
Wapi?Mkiumwa Kwann mnaenda India?
Haya ni masuala private ya kifamilia. Huyo ambae mwandishi anadai kumhoji sio msemaji wa familia.Kwanini tusiamini chanzo ni nini kwani?
Ila kamuhoji na kapata taarifa sasa uongo upo wapi?Haya ni masuala private ya kifamilia. Huyo ambae mwandishi anadai kumhoji sio msemaji wa familia.
Kula beer tongoza madem misongo ya mawazo utaisikia tu magengeni hukoMawazo sio mazuri muwe mna tembea mnaongea na watu mimi nikiwa na stresss nachukua namba mtandaoni akipokea tu naanza kujieleea weeee mpaka nione moyo umekuwa mwepesi ndio naacha
Taarifa zinaweza zakuuzia gazeti na mahojiano unayosoma maandishi yasiyo na ushahidi wa sauti au video usiyaamini.Ila kamuhoji na kapata taarifa sasa uongo upo wapi?
Naunga mkono hojaKula beer tongoza madem misongo ya mawazo utaisikia tu magengeni huko
Tunayaamini maana tunapenda simulizi mkuu sio kingine yeye asimulie tu hatuna muda wa kuhoji video na sauti za ushahidiTaarifa zinaweza zakuuzia gazeti na mahojiano unayosoma maandishi yasiyo na ushahidi wa sauti au video usiyaamini.
Mi siku hz huku whattsapp kuna hili li AI,basi nazinguana nalo weeee,tunazinguana weeeee,basi nacheeeeka linavyojibu,hapo stress zinakwisha kabisaMawazo sio mazuri muwe mna tembea mnaongea na watu mimi nikiwa na stresss nachukua namba mtandaoni akipokea tu naanza kujieleea weeee mpaka nione moyo umekuwa mwepesi ndio naacha
Kujiongezea shida ukipata magonjwa njia yangu ya kuondoa ni hiyo basi kuingea na mtu shida zanguKula beer tongoza madem misongo ya mawazo utaisikia tu magengeni huko
😂😂 muhimu kutibu mawazoMi siku hz huku whattsapp kuna hili li AI,basi nazinguana nalo weeee,tunazinguana weeeee,basi nacheeeeka linavyojibu,hapo stress zinakwisha kabisa
Demu mzuri hivyo anaondoka hivi hivi pole sana. Lakini hiki kizazi cha kuanzia late 80s kuja mpaka 2000 kina matatizo makubwa. Hakijapitia misukosuko kama kizazi cha nyuma kuanzia early 1980s mpaka late 1960s.Daktari bingwa wa watoto kutoka Hospitali teule ya Kibosho Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, Magreth Joseph Swai (30) ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa antena.
Akizungumza kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea Julai 10,2025 majira ya saa tatu kamili usiku katika makazi yake yaliyopo Longuo Kata ya Longuo,Tarafa ya Moshi Magharibi.
Amesema Marehemu alitumia waya wa ntena alioufunga kwenye nondo ya mlango wa chumbani katika nyumba aliyokuwa anaishi.
"Chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo uliotokana na afya ya akili ambapo Marehemu alifunga waya huo kwenye nondo iliyopo juu ya mlango na kujitundika" alisema SACP Maigwa.
RPC Maigwa ameongeza kuwa marehemu alianza kuugua ugonjwa wa afya ya akili akiwa katika mafunzo kwa vitendo kama Daktari maalum wa watoto miaka minne iliyopita.
Taarifa hizi zinakuja wakati ambapo Mfanyabiashara mmoja mkazi wa Moshi,Msaranga Ronald Malisa (35) naye akiripotiwa kujinyonga Julai 10,2025 kwa shuka bafuni kwake kwa sababu zisizojulikana, miezi nane baada ya kufunga ndoa yake ambapo mazishi yake yanatarajiwa kufanyika Julai 15,2025.
binadamu mna wivu sana hata kwa watu msiowajuaSifikirii Kama huyo amefika viwango vya kuitwa Daktari bingwa