Daktari bingwa wa Watoto Kibosho, ajiua Kisa Msongo wa Mawazo

Huenda hayo yasinge mkuta ikiwa angekuwa ameolewa, akazaa watoto, anaishi na mumewe kwa amani na kupelekewa moto fresh.

Vijana wa kiume mnakwama wapi?
Binti, Daktari, chombo safi kabisa kimeangamia mapema kabisa tena kipumbavu.
 
Mi siku hz huku whattsapp kuna hili li AI,basi nazinguana nalo weeee,tunazinguana weeeee,basi nacheeeeka linavyojibu,hapo stress zinakwisha kabisa
Na linajua wewe una changamoto ya afya ya akili ndio maana linakuuliza maswali ya kiduwanzi, utanio utanioa kesho? Nani aoe robot-computer programu?

Sweet16
 
Wanawake wengi wanapitia depression ila wanajiona wapo Sawa hasa hawa single mother wengi.

Mimi mzazi mwenzangu namuona anakila dalili maana Kuna vitu anashupakilia ambavyo havina hata umuhimu mgano kufokafoka,kujielezea mambo ambayo hata hayana umuhimu wowote.

Mwaka wa 4 huu tangu amber space sijawahi hata mkasirikia ila yeye amekuwa ni mwenye hasira kupiliza,kunakipinfi alitaka ajichome kisu mbele yangu nikamuwahi.
 
Afya ta akili ya huyu dada kwa mtazamo wangu itakuwa imesababishwa au kuchangiwa na kuuhenyesha ubongo vitu vizito kabla ya wakati

Mfano at age 30 u akuwa bingwa
So ubingwa kaanza kusoma akiwa under 25
Toa tena miaka 5
Bado internship hapo


Kingine uchoyo wa kutoa mzigo
Inawezekana kabisa pamoja na yote hakuwa na boyfriend
 
Kavaa vazi la KiCCM, basi huyu atakuwa kauliwa tu na wana CCM wenzake, I don't believe this story.
 
Bongo unamweleza mtu tatizo lako cha kushangaza atakujibu hilo lako sio tatizo na kuanza kukueleza ya kwake.
Acha kabisa mkuu, hili tatizo la afya ya akili ni kubwa ila wengi huishia kusema wamerogwa, wametupiwa majini nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…