Daktari FEKI akamatwa Muhimbili

Shida mnapenda kuwaza nje ya boksi sana
Hio ni issue ni kweli imetokea leo asubui mwaisela na huyo jamaa mara nyingi tu hata nmekutanana nae nmeshangazwa alivosema hana muda mrefu

ALAFU NI MWANANCHI BWA MUSA
Kama yupo mda.mrefu ulishawahi kusikia mtu kashalizwa?
 
Naona watu wanaendelea kujiongeza kule kwenye mabasi huku hospitali kesho tusubiri mwingine alievaa magamba yenye mabakabaka
 
Simu yako Ina 62% ya charge na Bado unaichomeka kwenye saketi. Utaiharibu.
 
Huyu ni dokita kabisa sema tuu ni vile vyeti hana..
Si unaona anasura ya wale wafanya opareshini?
 
Hakuna daktari fake hapo. This is staged
Ningelikuunga mkono kama tukio lingelikuwa kuubwa la kisiasa kuvuruga mind set za watu, lakini kibaka mtapeli kujifanya dokta haiwezi vuruga debate ya Bandari.

Wee ona, pamoja na Samia kutupiga changa la macho kwenye Baraza lake kwa style ya "bandua hapa bandika kule"
Haijapoza makali ya agenda na ndiyo sasa moto unazidi tu kuwaka kwenye mtandao republic.
 
Kuna wakili feki alikamatwa nadhani mwezi mei. Huyu wakili inasemekana alikuwa ameshasimamia kesi kadhaa na alishinda.
Nadhani hawa jamaa wanakuwa na uelewa wa tasnia husika au walisomea kabisa ila hawakidhi vigezo.
Mabush lawayer wapo vizuri , angalia comedy movie inaitwa MY COUSIN VINNY. staring Joe Pesci as Vinny Gambini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…