FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ili iweje?Hakuna daktari fake hapo. This is staged
Dr. Feki alikuwa Ulimboka au siyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili iweje?Hakuna daktari fake hapo. This is staged
Kama yupo mda.mrefu ulishawahi kusikia mtu kashalizwa?Shida mnapenda kuwaza nje ya boksi sana
Hio ni issue ni kweli imetokea leo asubui mwaisela na huyo jamaa mara nyingi tu hata nmekutanana nae nmeshangazwa alivosema hana muda mrefu
ALAFU NI MWANANCHI BWA MUSA
Bado CCM wanatumia njia zile zile za kishamba.kutuzubaishaIli iweje?
Dr. Feki alikuwa Ulimboka au siyo?
Uzubaishwe kwani we bwege?Bado CCM wanatumia njia zile zile za kishamba.kutuzubaisha
Publicity stunt .. hujakoseaNgoja nikukumbushe ndugu Mtanganyika
1. Kikombe cha babu
2.Dokta Shika
3. Piere liquid. Etc etc
Na mengineo Nahisi utakuwa umenielewa...
Nchi hii ina mazigaombwe mengi sana hasa pale inapoelemewa na mambo
View attachment 2733785
Ni tapeli leo ndo 40 yakeKama yupo mda.mrefu ulishawahi kusikia mtu kashalizwa?
Huyu ni dokita kabisa sema tuu ni vile vyeti hana..Mkazi wa Dar es Salaam aliyejitambulisha jina la Mussa Mawa amekamatwa katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akijihusisha kutapeli wananchi wanaopata huduma kwa kujifanya daktari.
Mkuu wa Idara ya Ulinzi Bw. Alfred Mwaluko amesema kuwa wana usalama walimbaini daktari huyo feki akiwa kwenye harakati za kuwatapeli wananchi wanaouguza ndugu yao aliyelazwa jengo la Mwaisela.
Naye Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, Bw. Aminiel Aligaesha ametoa rai kwa watu wote wanaojihusisha na kutapeli wananchi katika eneo la Hospitali kwamba kwa sasa ulinzi umeimarishwa na wakijaribu kufanya hivyo watakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya usalama
hana kigezo chochote kwa mujibu wa maelezo yake ni shekhUnakuta ana vigezo vyote ila ndio hivyo hna ajira ,sio rahisi kuhudumia watu kama daktari na kichwa empty.
Ningelikuunga mkono kama tukio lingelikuwa kuubwa la kisiasa kuvuruga mind set za watu, lakini kibaka mtapeli kujifanya dokta haiwezi vuruga debate ya Bandari.Hakuna daktari fake hapo. This is staged
Kama ni kitengo?Publicity stunt .. hujakosea
Wewe badala ya kumwangalia daktari fake unachunguza simu yangu seriously.Simu yako Ina 62% ya charge na Bado unaichomeka kwenye saketi. Utaiharibu.
Mabush lawayer wapo vizuri , angalia comedy movie inaitwa MY COUSIN VINNY. staring Joe Pesci as Vinny Gambini.Kuna wakili feki alikamatwa nadhani mwezi mei. Huyu wakili inasemekana alikuwa ameshasimamia kesi kadhaa na alishinda.
Nadhani hawa jamaa wanakuwa na uelewa wa tasnia husika au walisomea kabisa ila hawakidhi vigezo.