Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Ashughulikiwe wasitulee mambo ya ajabu ajabu
Serikali za kidikteta huwa haziendekezi mambo ya kijingajinga kama hayo Wana bahati Hawa washenzi katiba yetu ni ya kidemokrasia.
 
Aachiwe huru.
Ni haki yake kutumia mwili wake atakavyoo, na isitoshe ni mtu mzima above 18yrs.
Uyu lazima afugwe kidogo,atakua mbuzi wa kafara,video yake imetrend kipindi maswala yenu ya ushoga yametrend,kuzuia wenye tabia Kama hizo na kujichukua video ,kuiharibu jamii
 
Wee muachee atajua hajui, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moshi yule mmoja kafugwa kwa kubandua,alafu Kuna yule shoga kafugwa kwa kuwapa kinyeo wahuni,na hukumu zote zimetokea kipindi ichi,kwa hiyo na huyu hachomoki
 
Unaumia na kuteseka juu ya mwili wa mtu, uko timamu wee? Pambania mambo yakoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo bhana khaaaah
Wewe uliye timamu unaona sawa kabisa watu kufokonyolewa nyuma?
We tetea sana ujinga na uchoko it's a matter of time
 
Sasa watu wasiji record? Km wanataka wawe wanatazama baadae wakiwa mbali mbali???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Atafungwa kwa kusambaza maudhui ya ngono, na sio ushoga wake.
Umekubali Sasa ana kosa wewe wakili uchwara
 
Hao wotee unaosema wapo kwa kuzima taharuki, ila nakuambia soon wanatoka nje.

Tena km huyu afande hafungwi, case enyewe Dr kaharibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ashindwe yeye Rama kuchomoka, ila simple anatokaaaa
Dr kaharibu vipi,kumpima kwa kidole au
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangekua serious si wangeanza na James delicious, tariq, Aggrey, Pk kimodo, mbna wanaa waacha tyuuh.

Wanatafuta wasio na uelewa ili wawakamate vizuri,

Waje kwangu waone mtawaoneshaa namna case zinaendeshwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti niende segerea, wanaenda tyuuh km chumbani au.
Ilo Jambo lilivyo trend kwa Sasa ndio nimekuambia tofauti na nyuma,wapo wakutolewa kafara,Kama unabisha sambaza video yako ,ukiwa unakunjwa uone Kama haujapigwa nyundo kazaa jela
 
Caption. Askari wa zanzibar ramadhan ajatendewa haki, kuingiziwa vidole katika sehemu ya haja kubwa kwa uchunguzi.

Naomba iandikwe hivo☝️☝️

Hii sio haki afu Mwezi Mtukufu wanamdharirisha . Yapi maoni yako
 
Caption. Askari wa zanzibar ramadhan ajatendewa haki, kuingiziwa vidole katika sehemu ya haja kubwa kwa uchunguzi.

Naomba iandikwe hivo[emoji3516][emoji3516]

Hii sio haki afu Mwezi Mtukufu wanamdharirisha . Yapi maoni yako
Hemedy naona unaipigia chapuo kiaina channel yako [emoji3] wakikustukia hapa umekwisha ujue...!
BTW huyo kuingizwa vidole njia ya haja kubwa ni kwa mujibu wa sheria za ushahidi kuhusiasa na kosa lenyewe hivyo hajaonewa
 
Back
Top Bottom