Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Alikubali kwa kauli kufanyiwa kipimo? kweli amekubuhu tena akaingizwa viwili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anatafuta ugalo hapoHuyo wakili anaemtetea huyo mpumbavu inafaa afanyiwe uchunguzi pia
Mkuu unaifahamu vizuri kweli bawasiri?Bawasiri haiwezi kusababisha uwazi sehemu ya haja kubwa ya mtu. Acha upotoshaji. Labda ajitetee kuwa kazaliwa na huo uwazi au alipata ajali akaanguka juu ya mti akachomwa na jiti kubwa lenye nchi kwenye puru km anavyodanganya cocastic shoga
ukiwa jf napenda watu wenye iq kama ww , Though Ram shaba inamuhusuNaona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;
1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo
2. Shahid, upo uwezekano wa puru/m.kundu wa mwanadamu kuwa wazi kutokana.na maradhi kama bawasiri?
3. Shahidi mlimpima mshtakiwa kama anaugonjwa wa bawasiri?
4. Shahidi, ieleze Mahakama bawasiri zipo ya aina ngapi na huwa inaathiri sehemu gani ya mwili wa mwanadamu
5. Je, upo uwezekano mtuhumiwa kuwa na ugonjwa wa bawasiri
6. Shahidi kama mtaalamu wa afya je, wapo watu wanaozaliwa na uwazi kama alionao mtuhumiwa?
7. Je, na wao wameupata kwa kuingiliwa na vitu vigumu kwa nje?
8. Vitu vigumu unavyovitaja ni vitu gani hivyo, shahidi?
Alafu inavutwa pumzi maana maswali yanayofuata yataharibu swaumu za waja.
Uwazi sio hitimisho kuwa mtu analiwa tako.
Wakili si sehemu ya kesi Mkuu haifai kumhusisha na upande wowote kwenye kesiHuyo wakili anaemtetea huyo mpumbavu inafaa afanyiwe uchunguzi pia
Hahaha.Zile video inamaanisha kasingiziwa, mm niliona zote mbili na ile ya video call nikatapika balaa. Anakataa nn sasa. Mwizi ukimsikiliza anashinda kesi
hahahaaaaWakili wake nae Lazima vinapita vidole vitatu....si bure
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vimepita bila uteteziVidole viwili vimepita bila kupingwa
USSR
Utawala wa Sheria unataka hivyo.Huyo wakili anaemtetea huyo mpumbavu inafaa afanyiwe uchunguzi pia
🤯.. Kati ya vitu ambavyo huwa sivitaki hata kuvisogelea, kumhudumia mgonjwa mwenye PF3.. In case ukikutana na maswali kama hayo na hauna uelewa wowote wa mambo ya sheria, na haujajipanga vzuri unaweza kujikuta kama wewe ndo mtuhumiwa au mtu ambaye haelewi nn anafanya.Naona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;
1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo
2. Shahid, upo uwezekano wa puru/m.kundu wa mwanadamu kuwa wazi kutokana.na maradhi kama bawasiri?
3. Shahidi mlimpima mshtakiwa kama anaugonjwa wa bawasiri?
4. Shahidi, ieleze Mahakama bawasiri zipo ya aina ngapi na huwa inaathiri sehemu gani ya mwili wa mwanadamu
5. Je, upo uwezekano mtuhumiwa kuwa na ugonjwa wa bawasiri
6. Shahidi kama mtaalamu wa afya je, wapo watu wanaozaliwa na uwazi kama alionao mtuhumiwa?
7. Je, na wao wameupata kwa kuingiliwa na vitu vigumu kwa nje?
8. Vitu vigumu unavyovitaja ni vitu gani hivyo, shahidi?
Alafu inavutwa pumzi maana maswali yanayofuata yataharibu swaumu za waja.
Uwazi sio hitimisho kuwa mtu analiwa tako.
Huyo wakili mwenyewe .. ..anajulikana ....Ni box tupu!kwahiyo anakuepo kama kivuli tu