Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Alikubali kwa kauli kufanyiwa kipimo? kweli amekubuhu tena akaingizwa viwili
 
Hivi unawezaje kumdindishia mwanaume mwenzako mwenye sura na ngozi iliyokakamaa wakati wanawake wenye sura nzuri ngozi laini na wanaovutia kimahaba wapo? Hawa wanaoingilia wanaume wenzao hata wanyama wanaweza kuwaingilia, athari za kupiga punyeto hizo
 
Naona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;

1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo

2. Shahid, upo uwezekano wa puru/m.kundu wa mwanadamu kuwa wazi kutokana.na maradhi kama bawasiri?

3. Shahidi mlimpima mshtakiwa kama anaugonjwa wa bawasiri?

4. Shahidi, ieleze Mahakama bawasiri zipo ya aina ngapi na huwa inaathiri sehemu gani ya mwili wa mwanadamu

5. Je, upo uwezekano mtuhumiwa kuwa na ugonjwa wa bawasiri

6. Shahidi kama mtaalamu wa afya je, wapo watu wanaozaliwa na uwazi kama alionao mtuhumiwa?

7. Je, na wao wameupata kwa kuingiliwa na vitu vigumu kwa nje?

8. Vitu vigumu unavyovitaja ni vitu gani hivyo, shahidi?

Alafu inavutwa pumzi maana maswali yanayofuata yataharibu swaumu za waja.

Uwazi sio hitimisho kuwa mtu analiwa tako.
ukiwa jf napenda watu wenye iq kama ww , Though Ram shaba inamuhusu
 
Huyu Daktari kasoma wapi? kwa bodi ya madaktari ambayo iko serious huyu angefutiwa licence zake kwa kutoa ushahidi wa uwongo, uwazi mkubwa unaweza kuwa maumbile ya mtu tuu, na mahakama ikikubali huu ushahidi ni kinyume cha sheria maana hakuna sababu yeyote ya kuamini uwazi mkubwa ni kwa sababu ya kuingiliwa
 
Zile video inamaanisha kasingiziwa, mm niliona zote mbili na ile ya video call nikatapika balaa. Anakataa nn sasa. Mwizi ukimsikiliza anashinda kesi
Hahaha.

Sasa Ulitazama ukatapika, ukachukua nyingine ukatazama tena ukatapika au ulitazama zote ndipo ukatapika? Usitazame tena mkuu, utaishiwa maji.
 
Maswali yako hayana hoja yenye mashiko hata kidogo....mbano wa huko nyuma hauathiriwi na bawasiri ( internal or external), hauathiriwi na kupitisha choo lazima nguvu kutoka nje itanue.

Mtaalamu hawezi kuuliza hayo maswali. Ukiyachambua ni swali moja tu
 
kuna mtu kasema uwazi sehemu za haja kubwa inaweza kuwa maumbile tu ya mtu. Mbona kwenye usaili JKT ukikutwa upo wazi nyuma wanakutema?, kama ni maumbile kwanini hawakuchukui?, kuna watu wanapenda kutetea ujinga sana hii nchi.
 
Kama wameona hiyo vdeo haiwez kuoneshwa kipind hiki cha mwez mtukufu bas hata kesi isubiri mfungo uishe ,mshtakiwa asote rumande kdogo
 
Kwamba eti inaonyeshe kuna kitu kigumu huwa kinaingia kutokea Nyuma.....!

Dah
 
Naona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;

1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo

2. Shahid, upo uwezekano wa puru/m.kundu wa mwanadamu kuwa wazi kutokana.na maradhi kama bawasiri?

3. Shahidi mlimpima mshtakiwa kama anaugonjwa wa bawasiri?

4. Shahidi, ieleze Mahakama bawasiri zipo ya aina ngapi na huwa inaathiri sehemu gani ya mwili wa mwanadamu

5. Je, upo uwezekano mtuhumiwa kuwa na ugonjwa wa bawasiri

6. Shahidi kama mtaalamu wa afya je, wapo watu wanaozaliwa na uwazi kama alionao mtuhumiwa?

7. Je, na wao wameupata kwa kuingiliwa na vitu vigumu kwa nje?

8. Vitu vigumu unavyovitaja ni vitu gani hivyo, shahidi?

Alafu inavutwa pumzi maana maswali yanayofuata yataharibu swaumu za waja.

Uwazi sio hitimisho kuwa mtu analiwa tako.
🤯.. Kati ya vitu ambavyo huwa sivitaki hata kuvisogelea, kumhudumia mgonjwa mwenye PF3.. In case ukikutana na maswali kama hayo na hauna uelewa wowote wa mambo ya sheria, na haujajipanga vzuri unaweza kujikuta kama wewe ndo mtuhumiwa au mtu ambaye haelewi nn anafanya.
 
uchunguzi ulibaini kuwepo kwa uwazi katika sehemu za siri za nyuma zenye uwezo wa kupitisha vidole viwili jambo linaloashiria kuingizwa kitu kigumu kutoka nje.

Kumbe njia ya kujua mtu analiwa tigo ni kuangalia uwazi wenye uwezo wa kupitisha vidole viwili.. Sasa nishakuwa mtalaam, nilikuwa sijui hiki kipimo kitaalam kinafanywaje, sasa vidole viwili ndio kipimo, uwazi wa vidole viwili, vikipita, huyo tayari..!!

Na swali dogo hapa, hivi mshtakiwa angebana njia ya haja kubwa wakati wa kipimo, majibu yangekuwaje?

Hawa wataalam kiboko.
 
Back
Top Bottom