Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu lazima afugwe kidogo,atakua mbuzi wa kafara,video yake imetrend kipindi maswala yenu ya ushoga yametrend,kuzuia wenye tabia Kama hizo na kujichukua video ,kuiharibu jamiiAachiwe huru.
Ni haki yake kutumia mwili wake atakavyoo, na isitoshe ni mtu mzima above 18yrs.
Moshi yule mmoja kafugwa kwa kubandua,alafu Kuna yule shoga kafugwa kwa kuwapa kinyeo wahuni,na hukumu zote zimetokea kipindi ichi,kwa hiyo na huyu hachomokiWee muachee atajua hajui, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe uliye timamu unaona sawa kabisa watu kufokonyolewa nyuma?Unaumia na kuteseka juu ya mwili wa mtu, uko timamu wee? Pambania mambo yakoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo bhana khaaaah
Umekubali Sasa ana kosa wewe wakili uchwaraSasa watu wasiji record? Km wanataka wawe wanatazama baadae wakiwa mbali mbali???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atafungwa kwa kusambaza maudhui ya ngono, na sio ushoga wake.
Afugwe tu,umpelekee mkate segerea Siku,unamwambia dogo si nilikuambia lakiniWewe uliye timamu unaona sawa kabisa watu kufokonyolewa nyuma?
We tetea sana ujinga na uchoko it's a matter of time
Dr kaharibu vipi,kumpima kwa kidole auHao wotee unaosema wapo kwa kuzima taharuki, ila nakuambia soon wanatoka nje.
Tena km huyu afande hafungwi, case enyewe Dr kaharibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ashindwe yeye Rama kuchomoka, ila simple anatokaaaa
Papara gani wakati umekubali hatia mojawapo yakusambaza maudhuiHebu soma tenaa kwa umakini, acha papara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajamba na kuwahi kuwasha feniHebu soma tenaa kwa umakini, acha papara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilo Jambo lilivyo trend kwa Sasa ndio nimekuambia tofauti na nyuma,wapo wakutolewa kafara,Kama unabisha sambaza video yako ,ukiwa unakunjwa uone Kama haujapigwa nyundo kazaa jela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangekua serious si wangeanza na James delicious, tariq, Aggrey, Pk kimodo, mbna wanaa waacha tyuuh.
Wanatafuta wasio na uelewa ili wawakamate vizuri,
Waje kwangu waone mtawaoneshaa namna case zinaendeshwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti niende segerea, wanaenda tyuuh km chumbani au.
Yapi MAONI YAKO
Sasa afunge na uku kuchokonolewa madole na daktari serious kweli?wewe jamaa banaBila shaka amefunga ktk kipindi hiki
Hemedy naona unaipigia chapuo kiaina channel yako [emoji3] wakikustukia hapa umekwisha ujue...!Caption. Askari wa zanzibar ramadhan ajatendewa haki, kuingiziwa vidole katika sehemu ya haja kubwa kwa uchunguzi.
Naomba iandikwe hivo[emoji3516][emoji3516]
Hii sio haki afu Mwezi Mtukufu wanamdharirisha . Yapi maoni yako