Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Naona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;

1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo

2. Shahid, upo uwezekano wa puru/m.kundu wa mwanadamu kuwa wazi kutokana.na maradhi kama bawasiri?

3. Shahidi mlimpima mshtakiwa kama anaugonjwa wa bawasiri?

4. Shahidi, ieleze Mahakama bawasiri zipo ya aina ngapi na huwa inaathiri sehemu gani ya mwili wa mwanadamu

5. Je, upo uwezekano mtuhumiwa kuwa na ugonjwa wa bawasiri

6. Shahidi kama mtaalamu wa afya je, wapo watu wanaozaliwa na uwazi kama alionao mtuhumiwa?

7. Je, na wao wameupata kwa kuingiliwa na vitu vigumu kwa nje?

8. Vitu vigumu unavyovitaja ni vitu gani hivyo, shahidi?

Alafu inavutwa pumzi maana maswali yanayofuata yataharibu swaumu za waja.

Uwazi sio hitimisho kuwa mtu analiwa tako.
Ongeeza na swali la je mshtakiwa akila mapera kwa wingi hayawezi kutatua mnduku
 
Ukute kipindi dokta anafanya vipimo alikuwa anarembua kabisa kama alivyorembua kwenye IST.

Ila katika hili sakata lote mbona sijasikia mshirika wake wa video akitajwa?? Kwahiyo kosa ni kwa mfanywaji tu na si mfanyaji??
Nimejiuliza hivo pia, haya mambo yaangalie pande zote mbili tena hao mabasha ni wabaya zaidi, hapo ataenda kutafuta wengine awaharibu au aendeleze libeneke...
 
Kabisa. Hakuna shoga bila basha. Hili jambo linaangaliwa kwa upande mmoja zaidi, ya anaeingiliwa kusahau pia kuna muingiliaji ambae ndio mchochezi mkuu wa kuhamasisha haya mambo.
 
Shahidi namba moja Dkt. Fahad Nassor Mohammed katika kesi namba 59 ya Mwaka 2023, inayomkabili Mshtakiwa Ramadhan Hassan Ali ambaye anashtakiwa kutenda makosa mawili ikiwemo kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kosa la pili la maudhui ya king’ono ametoa ushahidi wake mbele ya Mahakama ya Mkoa Vuga, Mjini Unguja.

Akitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mkoa Vuga, Khamis Ali Simai amesema baada ya kumfanyia mtuhumiwa uchunguzi alibaini kuwepo kwa uwazi katika sehemu za siri za nyuma zenye uwezo wa kupitisha vidole viwili jambo linaloashiria kuingizwa kitu kigumu kutoka nje.

Shahidi wa Pili katika kesi hiyo Sajenti wa Polisi, Ame Suleiman Ame amethibitisha mbele ya Mahakama kuwa yeye ndie aliyempiga picha mshtakiwa Ramadhani Hassan baada ya kukamatwa na Polisi kwa kutuhumiwa kutenda kosa na picha hizo kutumika kama kielelezo cha kumtambua mshtakiwa wa kesi hiyo.

Kwa upande wa Wakili wa Utetezi, Hassan Kijogoo aliibua maswali kwa mashahidi wote wawili akitaka kufahamu kabla ya uchunguzi huo wa kitabibu kufanyika ridhaa ilipatikana kutoka kwa mhusika na kumtaka shahidi athibitishe kielelezo cha ridhaa hiyo.

Shahidi alisema alipata ridhaa ya kauli kutoka kwa mshtakiwa Ramadhani.

Hata hivyo, Wakili kutoka Ofisi ya Muendesha wa Mashtaka wa Serikali, Mohammed Saleh ameiomba Mahakama kuzuia vielelezo vya ushahidi mwengine wa video ukionyesha tendo likifanyika ili kuheshimu mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Kesi hiyo imeharishwa hadi tarehe 17 Aprili, 2023 huku mshtakiwa akiendelea kuwa rumande.

Chanzo: Wasafi TV
Kuheshimu mwezi wa ramadhani kwani baadhi ya waisilamu upenda kujificha kwenye dini?
 
Naona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;

1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo

2. Shahid, upo uwezekano wa puru/m.kundu wa mwanadamu kuwa wazi kutokana.na maradhi kama bawasiri?

3. Shahidi mlimpima mshtakiwa kama anaugonjwa wa bawasiri?

4. Shahidi, ieleze Mahakama bawasiri zipo ya aina ngapi na huwa inaathiri sehemu gani ya mwili wa mwanadamu

5. Je, upo uwezekano mtuhumiwa kuwa na ugonjwa wa bawasiri

6. Shahidi kama mtaalamu wa afya je, wapo watu wanaozaliwa na uwazi kama alionao mtuhumiwa?

7. Je, na wao wameupata kwa kuingiliwa na vitu vigumu kwa nje?

8. Vitu vigumu unavyovitaja ni vitu gani hivyo, shahidi?

Alafu inavutwa pumzi maana maswali yanayofuata yataharibu swaumu za waja.

Uwazi sio hitimisho kuwa mtu analiwa tako.

Wakiona unawaumiza kichwa waleta ushahidi wa video.
 
Haya maswali yako yangekuwa na mashiko kama kusingekuwa na video akionesha live anapigwa. So video ile tu ilitosha kusema jamaa bwabwa. So, hayo maelezo yote yangetolewa kama kusingekuwa na video, ili weledi wa mpimaji lakini jitu lenyewe mpaka mkewe na watoto wameshuhudia hio video.

Sasa mahakama inamalizia aliyoyaanzisha ili akawe chakula cha nyapara
 
Naona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;

1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo

2. Shahid, upo uwezekano wa puru/m.kundu wa mwanadamu kuwa wazi kutokana.na maradhi kama bawasiri?

3. Shahidi mlimpima mshtakiwa kama anaugonjwa wa bawasiri?

4. Shahidi, ieleze Mahakama bawasiri zipo ya aina ngapi na huwa inaathiri sehemu gani ya mwili wa mwanadamu

5. Je, upo uwezekano mtuhumiwa kuwa na ugonjwa wa bawasiri

6. Shahidi kama mtaalamu wa afya je, wapo watu wanaozaliwa na uwazi kama alionao mtuhumiwa?

7. Je, na wao wameupata kwa kuingiliwa na vitu vigumu kwa nje?

8. Vitu vigumu unavyovitaja ni vitu gani hivyo, shahidi?

Alafu inavutwa pumzi maana maswali yanayofuata yataharibu swaumu za waja.

Uwazi sio hitimisho kuwa mtu analiwa tako.
Bawasiri haiwezi kusababisha uwazi sehemu ya haja kubwa ya mtu. Acha upotoshaji. Labda ajitetee kuwa kazaliwa na huo uwazi au alipata ajali akaanguka juu ya mti akachomwa na jiti kubwa lenye ncha kali kwenye puru km anavyodanganya cocastic shoga
 
Back
Top Bottom