Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Caption. Askari wa zanzibar ramadhan ajatendewa haki, kuingiziwa vidole katika sehemu ya haja kubwa kwa uchunguzi.

Naomba iandikwe hivo☝️☝️

Hii sio haki afu Mwezi Mtukufu wanamdharirisha . Yapi maoni yako

Nilifatilia kwenye media nyingine maelezo yanaonyesha hajaingizwa Ila nyuma kuko wazi hata vidole vinaweza kupita
 
Hahaha daktari kaua..

Eti jamaa ana uwazi unaoweza kuruhusu kupitisha vidole viwili, hivyo akahitimisha kwamba mwamba atakuwa karuhusu kuingiziwa kitu kigumu toka kwa nje...
 
Huyo wakili anaemtetea huyo mpumbavu inafaa afanyiwe uchunguzi pia
Sheria haipo km unavyodhani. Mtuhumiwa si mwanasheria hivyo anahaki za msingi za kuwa na mwanasheria wa kumsaidia ajiteteee vipi. Mahakamani kuna namna ya kujitetea sio kipiga mogoti na kulia lia.
 
Wakili kutoka Ofisi ya Muendesha wa Mashtaka wa Serikali, Mohammed Saleh ameiomba Mahakama kuzuia vielelezo vya ushahidi mwengine wa video ukionyesha tendo likifanyika

Dah!

Kwa hiyo serikali ilipata connection ambayo ina mtu mmoja tu?

Sijui kama basha wake huyo jamaa naye kakamatwa au lah...
 
"Ni kweli tumepima njia ya Haja Kubwa ya Afande Rama na kukuta kuna Uwazi / Upenyo mkubwa tu na wa Kutukuka"

Hivi kwa Watu walivyobarikiwa kuwa na Vyuma vya maana mlitegemea mkute Tundu dogo?

Daktari umenifurahisha sana.
Sipati picha jinsi zoezi la kupima lilivyofanyika. Vituko vitupu
 
Naona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;

1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo...
Upo sahihi!Napinga ushoga ila daktari kaudharirisha udaktari!Uwazi c hitimisho la kuingiliwa!Watoe video tu waachane na mambo ya ramadhani liwe hitimisho mahali kokote duniani uwazi c hitimisho may be immediately wangekuta sperms!
 
Huyu Daktari kasoma wapi? kwa bodi ya madaktari ambayo iko serious huyu angefutiwa licence zake kwa kutoa ushahidi wa uwongo, uwazi mkubwa unaweza kuwa maumbile ya mtu tuu, na mahakama ikikubali huu ushahidi ni kinyume cha sheria maana hakuna sababu yeyote ya kuamini uwazi mkubwa ni kwa sababu ya kuingiliwa
wakili wa mshtakiwa kama hakuuliza maswali muhimu kama haya kuleta wasi wasi kwa Mahakama atakuwa amemuangusha sana mteja wake. Vinginevyo aombe kufanya final submission
 
Back
Top Bottom