mwibamwiba
Senior Member
- May 22, 2015
- 150
- 38
Teknolojia mpya ya meno imeingia nchini kwa mujibu wa daktari wa meno katika television ya taifa TBC leo na ameshauri Ulaya kamwe hawang'oi jino bali wanakarabati hivyo tuachane na misemo iliyopita kuwa dawa ya jino ni kung'oa pia wale wenye meno yaliojitokeza nje maarufu kama meno ya ngiri sasa yanarekebishika kabisa kwa asilimia mia.
Pia amesema wanakuja watoto waliolipukiwa na betri za simu za kichina baada ya kuzilamba na mara mate yao yakigusana na chaji ya betri hiyo huwalipukia na kuuchana kabisa mdomo.
Tuelimishane zaidi
Pia amesema wanakuja watoto waliolipukiwa na betri za simu za kichina baada ya kuzilamba na mara mate yao yakigusana na chaji ya betri hiyo huwalipukia na kuuchana kabisa mdomo.
Tuelimishane zaidi