Daktari: Ulaya kamwe hawang'oi meno, wanakarabati

Kusafisha meno hata huku Marekani na Ulaya ni kila baada ya miezi sita and yes ukisahau wanakukumbusha. Huku wako siriazi zaidi kwa sababu research mbalimbali zimeonyesha kwamba ukiwa na meno machafu na yako infected wale bakteria wanaweza kupenya na kuingia kwenye blood stream na kusababisha matatizo makubwa zaidi ikiwemo stroke na magonjwa mbalimbali ya moyo. Dental hygiene huku ni mkakati mmojawapo wa kupambana na heart disease. Kwa hivyo ukikumbushwa ndugu usikasirike. Wanafuata research based recommendations hao na wanatimiza wajibu wao!

Sasa mkuu,kwanini wasitibu Bakteria badala yake iwe kila miezi sita uende tena.Na vipi hali hiyo huko kwenu ndio ile ya kwamba ukisafishwa basi mwezi mzima kitu cha moto huli wala hunywi meno yanauma balaa.
 
wachaga, wameru, wanyantuzu changamkieni wasaa huu maana wengi wazuri lakini vimeno mmmhh!
 
Sasa mkuu,kwanini wasitibu Bakteria badala yake iwe kila miezi sita uende tena.Na vipi hali hiyo huko kwenu ndio ile ya kwamba ukisafishwa basi mwezi mzima kitu cha moto huli wala hunywi meno yanauma balaa.
kusafishwa ni raha meno hayaumi hata kidogo na hata ukiwekewa pamba hutahisi kama imo na utakunywaa vitu vya moto.hapo tena ilikuwa zamani siku hizi kuna root canal dk 45 unakula mnofu wa mbuzi
 
Niliwahi kukarabati meno manne ya mbele. Yalikuwa mekundu uliochanganyika na weusi tii. Yaani hata kutabasamu/kula denda ilikuwa ni changamoto. Basi jamaa wakaweka kitu Kinaitwa Lumineers - artificial layer nyeupeee. Kila jino ilikuwa dola $ 1,200 na nilifanyia San Francisco USA. Na sasa ukiniona meno meupee kama theluji. It has been 7 years na sijaona tatizo lolote. Dentists wanapiga hela sana huko majuu siyo mchezo.

Sasa hayo yalikuwa meno ya asili ya wachaga au wasukuma usingeyatoa ungekuwa unaonekana Ordinary
 
Duuuuu umeua wabongo kwa taito
 
Sasa hayo yalikuwa meno ya asili ya wachaga au wasukuma usingeyatoa ungekuwa unaonekana Ordinary
Siyo huku kwa wazungu aisee. Ukiwa na meno yaliyooza ni ishu mzazi. Wazungu hawatakwambia lakini utawaona tu wanavyokukwepa na inaweza kukuzibia kupanda ladders kazini. Kwenye uroda nako ni shida. It was a good investment...
 
Niliwahi kukarabati meno manne ya mbele. Yalikuwa mekundu uliochanganyika na weusi tii. Yaani hata kutabasamu/kula denda ilikuwa ni changamoto. Basi jamaa wakaweka kitu Kinaitwa Lumineers - artificial layer nyeupeee. Kila jino ilikuwa dola $ 1,200 na nilifanyia San Francisco USA. Na sasa ukiniona meno meupee kama theluji. It has been 7 years na sijaona tatizo lolote. Dentists wanapiga hela sana huko majuu siyo mchezo.

Simba ya Buyenze shikamooo.
 
Simba ya Buyenze shikamoo.
 
We acha Bangi,Nungwi hata Hospitali hakuna,halafu unasema Jino.

Kuhusu kusafisha meno kwa Bongo bado usanii wa hali yajuu.
Unaenda kusafisha jino basi karibia mwezi nzima hunywi chai,yanauma balaaaa
Hiyo leya yenyewe nyeupe full usaniiii
Tena unaambiwa ikifika miezi mitatu urudi tena,nyambafffffffffff
Yaani wanakutibu na lazima urudie tena kila baaada ya miezi kadhaaa,pesa teleeeeeee.Maana wanajua wakikutibu kwa muda mrefu na wao hawapati pesa
Kwa Tanzania full wizi madaktari wa meno,halafu kama kuna kubaharisha vile,na mbaya zaidi wamekuja Wazungu na Wahindi kibao wana dental clinics zao,lakini huko ndio balaa kabisaaa,maana ukienda kama vile BVR,unasajiliwa ikifika muda etu unapigiwa simu uende tena ukasafishwe,kama sikosei miezi mitatu au sita

Kweli mkuu, niliwahi kusafishwa meno hapa bongo, mara baada ya huduma yao meno yalikuwa yanapata ganzi na wakati mwingine utadhani umekula mchanga kumbe wapi, imenichukua miaka kupotea kwa hali hiyo. Sirudii asilani!
 
Simba ya Buyenze shikamoo.

tena shikamoo kubwa.. usd 1200 kibongo bongo unapata kiwanja chamazi huko..

usd 1200 pia ni fob ya ist japan hiyo.

usd 1200 unatoa ajira kwa kijana kwa mtaji wa boda boda kibongo bongo.

usd 1200 kibongo bongo unamsomesha mtu chuo mwaka mzima..
 
Sio hospital zote wababaishaji.Niliwahi kuziba jino(lilikuwa limetoboka kwa kias kikubwa)mkoani Dodoma.Sasa ni zaid ya miaka 10 liko poa.Kuishi bila kung'oa jino yawezekana tu kibongo bongo
 
Kazi hii inalipa kwa kweli majuu wahindi ndio kazi zao yaani kijana akimaliza masomo anafungua dentist nyumbani kwa baba yake.
Ila gharama ni kubwa nakumbuka jamaa huko London meno mengi yaliharibika ikabidi yatolewe lakini hela alizoambiwa alishindwa ikabidi akanunue pliers na mzinga wa Scotch baada ya kukata nusu chupa aling'oa mwenyewe unbelievable
 
Siyo huku kwa wazungu aisee. Ukiwa na meno yaliyooza ni ishu mzazi. Wazungu hawatakwambia lakini utawaona tu wanavyokukwepa na inaweza kukuzibia kupanda ladders kazini. Kwenye uroda nako ni shida. It was a good investment...

Mkuu, tubelezee tudogo hapo kwenye nyekundu!
 
tena shikamoo kubwa.. usd 1200 kibongo bongo unapata kiwanja chamazi huko..

usd 1200 pia ni fob ya ist japan hiyo.

usd 1200 unatoa ajira kwa kijana kwa mtaji wa boda boda kibongo bongo.

usd 1200 kibongo bongo unamsomesha mtu chuo mwaka mzima..
Naelewa mkuu lakini kila kitu na wakati na umuhimu wake kulingana na mazingira uliyomo wewe kama wewe. Isitoshe mi nilikuwa nalipiwa na hata ningekataa pesa hizo zisingeingia mfukoni mwangu!
 
Back
Top Bottom