Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
Si ulaya tu hata Asia(China) HAWANG'OI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teknolojia mpya ya meno imeingia nchini kwa mujibu wa daktari wa meno katika television ya taifa TBC leo na ameshauri Ulaya kamwe hawang'oi jino bali wanakarabati hivyo tuachane na misemo iliyopita kuwa dawa ya jino ni kung'oa pia wale wenye meno yaliojitokeza nje maarufu kama meno ya ngiri sasa yanarekebishika kabisa kwa asilimia mia.
Pia amesema wanakuja watoto waliolipukiwa na betri za simu za kichina baada ya kuzilamba na mara mate yao yakigusana na chaji ya betri hiyo huwalipukia na kuuchana kabisa mdomo.
Tuelimishane zaidi
Marahabaaa... Kama una nia nzuri lakini....
Usiingize siasa katika kila kitu na always usijione kuwa ni victim wa mfumo tu. Change your outlook a little bit and take some personal responsibility. Jichunguze na uone wapi ulifanya maamuzi ambayo siyo sahihi at personal level; na unawezaje kujirekebisha. Kujiona tu wewe ni victim na kulaumu wanasiasa for everything won't help. You think the politicians care?Kiroho safi mdau aliye juu sio mwenzako kuna wengine tunasugua vigino huku kuikimbiza hiyo chapaa lakini ccm wanazidi kuisogeza mbali sasa sijui hiyo nchi ya asali na maziwa wanataka waishi na familia zao jamaa wachoyo kweli kweli.
Usiingize siasa katika kila kitu na always usijione kuwa ni victim wa mfumo tu. Change your outlook a little bit and take some personal responsibility. Jichunguze na uone wapi ulifanya maamuzi ambayo siyo sahihi at personal level; na unawezaje kujirekebisha. Kujiona tu wewe ni victim na kulaumu wanasiasa for everything won't help. You think the politicians care?
Hata huko Ulaya na Marekani ambako CCM haipo kuna wengi wanasugua visigino. Cha muhimu ni kutokata tamaa na kuchacharika regardless of the situation. Go be what you want to be. With a good mindset, creativity, hard work and good luck inawezekana. kuwalalamikia wanasiasa (whether CCM/CHDM or whoever will come haitakusaidia)
Ni nani atakayeifanya haki itamalaki? Wanasiasa? Kuna mahali ambako haki imetamalaki hapa duniani? Niambie nihamie huko fasta. By the way hata mm niko hapa hapa Bongo huko kwa jamaa huwa naenda kuhemea tu na kurudi. Tuendelee kupambana!Mdau asante kwa hope ila kwa nchi zetu za kiafrika bado sana ukifungua kabiashara kako kadogo jamaa wanakukaba hadi penati lakini wale wanaojiita wawekezaji misamaha ya kodi na magoti wanapigiwa yaani wanaishi kama wafalme kwenye nchi yetu wakati sie tuanaishi kama watumwa na wakiwa lakini naamini ipo siku haki itatamalaki.
hv wadau mi jino langu limekatka horizontally kwa hapa dar kuna sehemu naweza kuunganisha maana kung'oa naona majanga na haliumi wala nin na nimoja wapo kati ya haya ya mbele.
kuna labaratory technician mmoja alikua naye mjanja mjanja,wakaampeleka maji ya ukwaju eti ndo mkojo.
akapima na kusema kuna UTI.
"kanunue dawa pale"Sina hamu nao kabisa hawa
Naweza kupata mawasiliano ya huyo dogo? Nina shangazi yangu meno yanamsumbua sana. Niruhusu niku-PM mkuu.Mkuu tatizo kama hilo nilipata mwaka 2008 nilipata ajali ya pikipiki kati ya meno haya mawili ya mbele, moja lilikatika kipande kwa upande mmoja, siku lilipo katika hadi ile nerve ilikuwa exposed, sikwenda hospital likapona ila sasa kumbe kupitia ile nerve likaanza kuoza, likajenga tundu katikati, likaendelea mwaka huu likaanza kupasuka, maana limeoza ndani, kutokana na vhakula kuwa kinaingia, nikaamua kwenda hospitali, nilienda hospitali moja ipo maeneo ya posta nikaambiwa hapo nitoe niwekewe jino jipya kwa tsh 800000/= mbali na matibabu na vitu kama ivo. Nikasepa.
Nikaenda Regency, wakanambia jino 250000/= ni lazima ning'oe kisha nikae na pengo mpka lipone alafu kwa miezi kama sita nitapewa jino la bandia la kuvaa na kutoa kisha baada ya hapo nichonge permanent kama nitapenda na ila permanent ni kama laki 400k hivi.
Nikaondoka nikaenda hospital nyingine kariakoo ki dispensary kidogo hivi, Dr akasafisha lile tundu, akanichoma sindano, akanipiga pamba ndani, kisha akanambia niendr baada ya siku tatu atoe ile pamba, ang'oe jino, achukue kipimo anichongee la bandia la kudumu, bei yake tsh 70 elfu kufanyiwa kila kitu, nikaodoka
Nilipofika home sikuridhika maana kila hospital nilipita nikakuta maelezo mapya, kesho yake nikaelekea msasani kuna kio hospital cha meno pale, nilipofika nikamkuta yank mdogo tu nilipomuonesha jino, kwanza akanikaliza akaleta vitabu vya meno akaanza kunipa shule, jinsi jino lilivyo na linavyo athiriwa na kwa kuangalia jino langu nini kinaonekana, akanipiga x ray.. Akaona root yake ilivo
Baada ya hapo akatoa pamba niliowekewa k. Koo, aksema hapa hujafanya kitu, akasafisha jino lile tundu akafungia dawa, akajengea jino la cement akanipa vidonge akaniambia kanywe dose ikiisha uje. Siku iyo iyo akachukua kipimo cha jino.
Baada ya wiki nikarudi, akafumua ile cement nikafanyiwa root canal treatment, akasugua lile jino bila kung'oa mpk likabaki usawa wa fisi, akapachika jino jipya la kudumu la bandia, akanambia anisafishe kinywa, akasafisha jino moja moja.
Tulikaa masaa 6 akinishughulikia, akamaliza akanipa dawa na mouth wash, nikaondoka akanichaji kwa kila kitu tangu siku ya kwanza tsh 140000/= lak na arobaini tu. Nikashangaa. Nikawa mpya kinywani mpk leo
Yule jamaa ndie my best dentist nilieona anachukua muda wake mwingi kwa mteja kuelimisha na kumhudumia, amekuwa kama rafiki saizi na huwa nikija dar hapo ananiomba nipite anicheki meno
Niliwahi kukarabati meno manne ya mbele. Yalikuwa mekundu uliochanganyika na weusi tii. Yaani hata kutabasamu/kula denda ilikuwa ni changamoto. Basi jamaa wakaweka kitu Kinaitwa Lumineers - artificial layer nyeupeee. Kila jino ilikuwa dola $ 1,200 na nilifanyia San Francisco USA. Na sasa ukiniona meno meupee kama theluji. It has been 7 years na sijaona tatizo lolote. Dentists wanapiga hela sana huko majuu siyo mchezo.
Naweza kupata mawasiliano ya huyo dogo? Nina shangazi yangu meno yanamsumbua sana. Niruhusu niku-PM mkuu.
Ili iweje? We dogo vipi?aahh . wapi jiselfie alafu weka picha
Kusafisha meno hata huku Marekani na Ulaya ni kila baada ya miezi sita and yes ukisahau wanakukumbusha. Huku wako siriazi zaidi kwa sababu research mbalimbali zimeonyesha kwamba ukiwa na meno machafu na yako infected wale bakteria wanaweza kupenya na kuingia kwenye blood stream na kusababisha matatizo makubwa zaidi ikiwemo stroke na magonjwa mbalimbali ya moyo. Dental hygiene huku ni mkakati mmojawapo wa kupambana na heart disease. Kwa hivyo ukikumbushwa ndugu usikasirike. Wanafuata research based recommendations hao na wanatimiza wajibu wao!
Pole mkuu kwa matatizo. Nafurahi kwamba uliweza kupona. Uliponea wapi? Hapa hapa Bongo ama? Antibiotics zilitosha au ilibidi wafanye utaratibu mwingine?Daaah tatizo hili niliwahi kulipata mkuu nilipata tatizo la kuishiwa nguvu hata kutembea ikawa ni shida nikaenda kwa specialist magonjwa ya Moyo akaniambia meno yangu yalipata infection na wale wadudu waliingia kwenye mfumo wa Damu na kuanza kushambulia mfumo wa mzunguko wa Damu hvyo kuasili utendaji kazi wa moyo.
Mkuu tatizo kama hilo nilipata mwaka 2008 nilipata ajali ya pikipiki kati ya meno haya mawili ya mbele, moja lilikatika kipande kwa upande mmoja, siku lilipo katika hadi ile nerve ilikuwa exposed, sikwenda hospital likapona ila sasa kumbe kupitia ile nerve likaanza kuoza, likajenga tundu katikati, likaendelea mwaka huu likaanza kupasuka, maana limeoza ndani, kutokana na vhakula kuwa kinaingia, nikaamua kwenda hospitali, nilienda hospitali moja ipo maeneo ya posta nikaambiwa hapo nitoe niwekewe jino jipya kwa tsh 800000/= mbali na matibabu na vitu kama ivo. Nikasepa.