mwibamwiba
Senior Member
- May 22, 2015
- 150
- 38
Niliwahi kukarabati meno manne ya mbele. Yalikuwa mekundu uliochanganyika na weusi tii. Yaani hata kutabasamu/kula denda ilikuwa ni changamoto. Basi jamaa wakaweka kitu Kinaitwa Lumineers - artificial layer nyeupeee. Kila jino ilikuwa dola $ 1,200 na nilifanyia San Francisco USA. Na sasa ukiniona meno meupee kama theluji. It has been 7 years na sijaona tatizo lolote. Dentists wanapiga hela sana huko majuu siyo mchezo.
Niliwahi kukarabati meno manne ya mbele. Yalikuwa mekundu uliochanganyika na weusi tii. Yaani hata kutabasamu/kula denda ilikuwa ni changamoto. Basi jamaa wakaweka kitu Kinaitwa Lumineers - artificial layer nyeupeee. Kila jino ilikuwa dola $ 1,200 na nilifanyia San Francisco USA. Na sasa ukiniona meno meupee kama theluji. It has been 7 years na sijaona tatizo lolote. Dentists wanapiga hela sana huko majuu siyo mchezo.
Lakin hiyo gharama yake balahaa,hakuna kitu cha gharama Kama kung'oa jino,wenye bei angalau za chini ni madaktari wa kilatino,niliwai ambiwa kung'oa jino dolla 3,000
Hospitali gani na nchi gani uliambia hiyo pesa mkuu?
Ndiyo mkuu. Uzuri ni kwamba nilikuwa silipi mimi. Mwajiri ndiye alikuwa analipa kila kitu. Mi nililipa dola 120 tu kama Co pay. $ 4800 unaziona nyingi sana ama? Marekani gharama zao za afya ziko juu sana ndo maana Obama amepigana kufa na kupona ili kuhakikisha kwamba masikini angalau wanapata msaada kidogo katika bima za afya.Kwahyo mkuu ukatoa $4800?au ilikua 1965 ambako $1= 60 tzs?
tusaidieni kzitaja clinic bora za meno twende huku nungwi hawazibi
Teknolojia mpya ya meno imeingia nchini kwa mujibu wa daktari wa meno katika television ya taifa TBC leo na ameshauri Ulaya kamwe hawang'oi jino bali wanakarabati hivyo tuachane na misemo iliyopita kuwa dawa ya jino ni kung'oa pia wale wenye meno yaliojitokeza nje maarufu kama meno ya ngiri sasa yanarekebishika kabisa kwa asilimia mia.
Pia amesema wanakuja watoto waliolipukiwa na betri za simu za kichina baada ya kuzilamba na mara mate yao yakigusana na chaji ya betri hiyo huwalipukia na kuuchana kabisa mdomo.
Tuelimishane zaidi
mkuu tatzo wtz wengi tunaona tunaweza kutoka kimkato mkato ndio maana ubabaishaji mwingi. japo sio wote ila madaktari wababaishaji wapo ili wapige hela diamini mtu aliyesoma kwenye vyuo vyetu hivi kwamba hawez kaz ila wanapiga hela. nilikwenda kwa dokta mmoja ktaalamu wa ngozi nikamuonesha tatzo langu akaniambia mbona sioni shida na wenzake wameshahangaika miaka miangi? hao wenzake walikua wanahangaika nini? hal haikua inahitaji kujua antomy ya hali ya juu ili kubaini tatazo ila anataka kitu kidogoNimesoma comments za watu humu raha sana, kwakweli nime enjoy hasa zile comments za kuponda. Yaani mnakaponda kafani kangu ambako nilikasomea kwa miaka mitano, nikala na msoto mwingine wa mwaka mmoja wa internship, na nikala kamsoto kengine kwa miaka 3 ya kubobea, lakini watu wanakaponda kamuda kangu ka miaka 9 ya kukaa chuoni just simple like that, duh
Marekani hapa Maryland
Hawana adabuNimesoma comments za watu humu raha sana, kwakweli nime enjoy hasa zile comments za kuponda. Yaani mnakaponda kafani kangu ambako nilikasomea kwa miaka mitano, nikala na msoto mwingine wa mwaka mmoja wa internship, na nikala kamsoto kengine kwa miaka 3 ya kubobea, lakini watu wanakaponda kamuda kangu ka miaka 9 ya kukaa chuoni just simple like that, duh
Kusafisha meno hata huko Marekani na Ulaya ni kila baada ya miezi sita and yes ukisahau wanakukumbusha. Huko wako siriazi zaidi kwa sababu research mbalimbali zimeonyesha kwamba ukiwa na meno machafu na yako infected wale bakteria wanaweza kupenya na kuingia kwenye blood stream na kusababisha matatizo makubwa zaidi ikiwemo stroke na magonjwa mbalimbali ya moyo. Dental hygiene huko ni mkakati mmojawapo wa kupambana na heart disease. Kwa hivyo ukikumbushwa ndugu usikasirike. Wanafuata research based recommendations hao na wanatimiza wajibu wao!We acha Bangi,Nungwi hata Hospitali hakuna,halafu unasema Jino.
Kuhusu kusafisha meno kwa Bongo bado usanii wa hali yajuu.
Unaenda kusafisha jino basi karibia mwezi nzima hunywi chai,yanauma balaaaa
Hiyo leya yenyewe nyeupe full usaniiii
Tena unaambiwa ikifika miezi mitatu urudi tena,nyambafffffffffff
Yaani wanakutibu na lazima urudie tena kila baaada ya miezi kadhaaa,pesa teleeeeeee.Maana wanajua wakikutibu kwa muda mrefu na wao hawapati pesa
Kwa Tanzania full wizi madaktari wa meno,halafu kama kuna kubaharisha vile,na mbaya zaidi wamekuja Wazungu na Wahindi kibao wana dental clinics zao,lakini huko ndio balaa kabisaaa,maana ukienda kama vile BVR,unasajiliwa ikifika muda etu unapigiwa simu uende tena ukasafishwe,kama sikosei miezi mitatu au sita