Daktari: Ulaya kamwe hawang'oi meno, wanakarabati

Sasa mkuu,kwanini wasitibu Bakteria badala yake iwe kila miezi sita uende tena.Na vipi hali hiyo huko kwenu ndio ile ya kwamba ukisafishwa basi mwezi mzima kitu cha moto huli wala hunywi meno yanauma balaa.
 
wachaga, wameru, wanyantuzu changamkieni wasaa huu maana wengi wazuri lakini vimeno mmmhh!
 
Sasa mkuu,kwanini wasitibu Bakteria badala yake iwe kila miezi sita uende tena.Na vipi hali hiyo huko kwenu ndio ile ya kwamba ukisafishwa basi mwezi mzima kitu cha moto huli wala hunywi meno yanauma balaa.
kusafishwa ni raha meno hayaumi hata kidogo na hata ukiwekewa pamba hutahisi kama imo na utakunywaa vitu vya moto.hapo tena ilikuwa zamani siku hizi kuna root canal dk 45 unakula mnofu wa mbuzi
 
Sasa hayo yalikuwa meno ya asili ya wachaga au wasukuma usingeyatoa ungekuwa unaonekana Ordinary
 
Duuuuu umeua wabongo kwa taito
 
Sasa hayo yalikuwa meno ya asili ya wachaga au wasukuma usingeyatoa ungekuwa unaonekana Ordinary
Siyo huku kwa wazungu aisee. Ukiwa na meno yaliyooza ni ishu mzazi. Wazungu hawatakwambia lakini utawaona tu wanavyokukwepa na inaweza kukuzibia kupanda ladders kazini. Kwenye uroda nako ni shida. It was a good investment...
 
Simba ya Buyenze shikamooo.
 
Simba ya Buyenze shikamoo.
 
Kweli mkuu, niliwahi kusafishwa meno hapa bongo, mara baada ya huduma yao meno yalikuwa yanapata ganzi na wakati mwingine utadhani umekula mchanga kumbe wapi, imenichukua miaka kupotea kwa hali hiyo. Sirudii asilani!
 
Simba ya Buyenze shikamoo.

tena shikamoo kubwa.. usd 1200 kibongo bongo unapata kiwanja chamazi huko..

usd 1200 pia ni fob ya ist japan hiyo.

usd 1200 unatoa ajira kwa kijana kwa mtaji wa boda boda kibongo bongo.

usd 1200 kibongo bongo unamsomesha mtu chuo mwaka mzima..
 
Sio hospital zote wababaishaji.Niliwahi kuziba jino(lilikuwa limetoboka kwa kias kikubwa)mkoani Dodoma.Sasa ni zaid ya miaka 10 liko poa.Kuishi bila kung'oa jino yawezekana tu kibongo bongo
 
Kazi hii inalipa kwa kweli majuu wahindi ndio kazi zao yaani kijana akimaliza masomo anafungua dentist nyumbani kwa baba yake.
Ila gharama ni kubwa nakumbuka jamaa huko London meno mengi yaliharibika ikabidi yatolewe lakini hela alizoambiwa alishindwa ikabidi akanunue pliers na mzinga wa Scotch baada ya kukata nusu chupa aling'oa mwenyewe unbelievable
 
Siyo huku kwa wazungu aisee. Ukiwa na meno yaliyooza ni ishu mzazi. Wazungu hawatakwambia lakini utawaona tu wanavyokukwepa na inaweza kukuzibia kupanda ladders kazini. Kwenye uroda nako ni shida. It was a good investment...

Mkuu, tubelezee tudogo hapo kwenye nyekundu!
 
tena shikamoo kubwa.. usd 1200 kibongo bongo unapata kiwanja chamazi huko..

usd 1200 pia ni fob ya ist japan hiyo.

usd 1200 unatoa ajira kwa kijana kwa mtaji wa boda boda kibongo bongo.

usd 1200 kibongo bongo unamsomesha mtu chuo mwaka mzima..
Naelewa mkuu lakini kila kitu na wakati na umuhimu wake kulingana na mazingira uliyomo wewe kama wewe. Isitoshe mi nilikuwa nalipiwa na hata ningekataa pesa hizo zisingeingia mfukoni mwangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…