Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inaruhusu msichana wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama na miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi.
 
We jamaa huna akili kabisa,Ni bonge la jingaaa,

Inaonekana huyo dokta Ni bwanako sio?

Kwann unasema kesi ya mchongo? Kama unasema binti wa miaka 17 Wengine Wana miili mikubwa huwezi kujua Kama ni mdogo, kwahiyo kumbe hata gesti ukiendanae hawawezi kuweka mashaka maana watahisi ni mkubwa tu, acheni kutetea upuuzi wajinga nyie,acha polisi na mahakama wafanye kazi yao
 
Ndugu, hakuna uhusiano wa kimapenzi baina na mtu mzima na mtoto wa miaka 17,hata kama alikutongoza yeye huyo ukitembea nae ni ubakaji tu,mambo ya kusema tulikubaliana hayapo,kama ana umbo kubwa ni kazi yako kujua umri wake sahihi ili sheria isikuangukie
 
hakuna cha jumba bovu mkuu, ukitembea na binti wa maka chini ya 18 sheria inatambua kuwa umebaka haijalishi mlikubaliana ama lah mkuu, mambo yako hivyo, huyo dogo ana miaka 17 ndio hapo shughuli ilipoanzia na kuwa ngumu, km ushahidi ukiwa hauna dosari jamaa ataenda na maji
 
Huelewi sheria wewe? Kufanya mapenzi na underage ni ubakaji, haijalishi alikukubalia au la.
 
Upelelezi umeshakamika wewe unasema hakuna ushahidi?mbaya zaidi huyu amebaka na kulawiti,hapo huyo mtoto hata akipimwa huko nyuma leo vipimo vitaonyesha tu kama amewahi kuingiliwa,kazi inabaki ndogo tu,na kama alikuwa anakutana Gest hapo lazima walikuwa wanawasiliana kwa simu au kuna mtu wa kati.
 
Hiyo awamu ya pili nazani sasa ni ya hiari
 
Waambie ndugu yangu. Kuna watu wanaandika bila kutafakari hata kidogo. Akili finyu na ubishi mwingi.
 
Nchi ipo kwenye vurugu....mwanajeshi kajinyonga, polisi kajinyonga, mwalimu kalawiti, daktari kalawiti....st John mwamba kaua nchi haipoi
 
Uzi umemtambulisha suspect kama ni Dr.,sasa wewe unatuambia ni nurse why?,hivi medical Assistance wanatambulishwaje?
Uzi umeandikwa na mtu mzembe na mvivu wa kujua. Medical assistant si medical assistant, usiniambie na wewe ni mbulula kiasi hicho. Mimi pamoja na kuwa sio kada ya afya nimesoma na nina marafiki huko, daktari ni mhitimu wa shahada ya medicine yani degree na kuendelea. Hao wengine ni nyie wajinga tu ndio mnawapa hadhi wasionazo kuharibu taaluma za watu.
 
Mkuu,Hapa kinachozungumziwa ni sheria sio mazoea yaliyopo mtaani,siku yakikufika ndio utajua sheria inafanya kazi wala sio utani
Uko sahihi. Ninachomaanisha ninaposema mchongo, hao walikuwa ni mtu na mpenzi wake, something went wrong, kisha wakaamua kumpeleka jamaa mahakamani.

Umenielewa? Yaani ni kama vile mnapiga dili haramu pamoja, halafu mkageukana na kuanza kuchomeana kwa cops.
 
Wewe umejiunga JF mwaka huu siyo? Ulitakiwa kubisha hodi kwenye jukwaa la wageni tukukaribishe, tukufahamishe JF ni nini.

Hapa sio mahala pa watu wa hovyo tu wanaoropoka kama watu wasiojitambua. Hapa huwa tunajadiliana kwa kuheshimiana. Hata hivyo, karibu sana Jamiiforums.
 
Kalienda kutoa mimba jamaa akakasaidia kisha akawa anapumzika kabla ya kudakwa.
 
Hivi kwani wanatembea na vyeti vya kuzaliwa? Maana mitoto ya sasa hivi ina miaka 14 tu unakuta toto hilooo. Sasa kama nimemkuta kavaa dela anasura ya kiutu uzima na ameelewa mchezo, shida ako wapi hapo?
Hizi sheria ziangaliwe tena
 
Sheria inatambua hivyo. Ukitembea na binti chini ya miaka 18 hata akama amekubali mwenyewe maana yake umembaka kwa kumrubuni.
Inaitwa Statutory Rape.

Hata kama amekubali na yupo chini ya umri wa miaka 18 ni ubakaji.
 
Ni MUUGUZI. watanzania siamini kama bado ni wapumbavu mpaka hatujui tofauti za muuguzi na daktari hadi leo 2022. Kazi
Madokta bwana na "steriotype" zenu,
Ni daktari mwenzenu huyo na ni specialist kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…