Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

Angalia umri wa binti,urejee tafsiri ya neno ubakaji.
 
Ni mwenyeji wa mkoa gani huyo daktari!
 
Madokta bwana na "steriotype" zenu,
Ni daktari mwenzenu huyo na ni specialist kabisa!
Mimi sio daktari ila nafaham. Hujui ata maana ya specialist, wewe ndio mazuzu sasa, nb ni stereotype sio steriotype. Ni nesi soma vyanzo vya kuaminika. Madakrari kwa madaktari wanajuana na kuheshmiana sana. Sasa mazuzu nyie ndio mnawaharibia brand, kila bwege hospital mnaita daktari, mi mtaani huwa siiti mtu dokta kilofalofa.
 

Ni muuguzi msiwachafue wasiohusika. Watanzania wavivu wakujua. Ndio maana mnatawaliwa na watu wa hovyo kwasababu na nyie ni watu wa hovyo ata vitu vidogo hamjui.
 
Fair enough mkuu, sasa wewe weka facts hapa kuwa suspect huyu SIO Dr.na hana shahada ya udakitari yaani MBBch, nasubiria facts zako pls
 
Mkuu kwani wewe unakaa nchi gani, Tz, under 18 wengi tu ni malaya na wengine wanafanya hadi kazi za bar!
Mkuu nipo mkoani Ruvuma,wilaya ya Namtumbo kijiji cha lingusenguse, vitu viwili vibaya haviwezi kutengeneza kitu kimoja bora, hakuna sex ya makubaliano na under age, na wewe kitendo cha kuwaita binti zetu,dada zetu,mama zetu Malaya inaonyesha ni jinsi gani ulikosa malefic yenye upendo kutoka kwa wazazi wako,respect women mkuu
 
Kesi ya ubakaji ina dhamana.

Exactly mkuu, under age hawezi ku apply mind Sawa Sawa, ni working class ya kitanzania wana take advantage hiyo na matokeo yake ,nchi tunazaliana kama simbilisi, uchumi ukue kwa 4 to 5%,na sisi tunaongezeka kwa 3.7%,hii ni craze mkuu
 
Ok let's keep our right to disagree, uzi huo na uliotangulia hauna facts kusema huyu ni nurse or doctor, but it's ok mkuu haina haja ya kumaliza data zetu hapa, ningekua nchi zinazojielewa ninge google information za mtaalamu huyu na kujiridhia
We ndo wale mpaka tuition ndio muelewe. Kipo wazi kabisa. Hakuna daktari hapo tunaidharau sana hiyo taaluma tunawachkulia poa. Ni sawa na fundi wiring umuite mhandisi.
 
Mabinti wenyewe ndio hawa wenyr tatoos za nyota tatu shingoni,mikononi na mabegani? Chini wana viatu vya manyoya na kichwani wana bleach......!

Ukiwatongoza wanakuuliza unataka mchanganyo au kawaida!??

Dokta kaona isiwe tabu kapiga mchanganyo tu!!

Swali la kujiuliza ilikuwaje huyo anayeitwa "mtoto" akubali zaidi ya mara moja kuingia guest na huyo dokta?? Sio kwamba walikuwa na mahusiano ya kimapenzi??!!! Sasa kanyimwa na ya kutolea ndio kaamua aanzishe kesi
 
Sijaelewa hapa kwann amepewa dhamana
 
Kiswahili kigumu sana! Kurawiti binti ndiyo kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…