Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

Hakuna sex ya makubaliano na under age ndio kusemaje? Huyo under age akidanganywa na chipsi kuku akaenda kulala na muuza chipsi hayo siyo makubaliano?

Sema kwamba ni kosa la jinai hata kama mmekubaliana, hapo nitakuelewa.

Hutaki binti zetu, dada zetu na mama zetu waitwe malaya, tutumie jina gani? Wanawake na mabinti wanaofanya biashara ya ngono huko Namtumbo hawapo? Mnawaitaje?
 
Si justification ya kutembea na underage, Tembeeni nao ila likikukumba utalia na wa kwenu.
 
Mnataka mahindi mateke teke, sawa
Hamna uteke hapo...Mimi niligomaga kabisa kuwapa lift hawa wanafunzi wa kike kwa tabia zao za ajabu.
Ukiwa hujielewi unatumbukia kufanya na katoto ka form3......
Kwa ujumla mamndenyi baadhi yao wameshindikanaaa
 
Huyo binti alikuwa mpenzi wa daktari na wanagongana kama kawaida.

Shida sheria inatambua binti chini ya miaka 18 kama mtoto. Na hata akikubali mwenyewe bado inaonekana wewe mkubwa umembaka
Sheria ya ndoa inataja umri wa kuolewa binti ni miaka 14 sasa ataolewa bila kupigwa mpini?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Bora utembee na changu doa Mara Mia kuliko Hawa under 18.
Kuna mzee mwenye Rav 4 yake Safi alichukua mwanafunzi mwenye yunifom akaingia naye gesti. Wahuni walipomuona wakaona huu Ni utajiri nje nje. Wakamfuata mzee na kumwambia wao Ni polisi wanahitaji wampeleke mzee kituoni kwa kosa lakutembea na mtoto wa shule.
Mzee mwenyewe ndio aliomba wayazungumze.....
Aliyopewa upepo hata kilichompeleka gesti hakukifanya.
 
Sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho kwake na kwa watu wenye tabisa kama yake.
 
huyo dokta alipaswa ahasiwe kabisa, hakupaswa hata kupewa dhamana.

anafaa kutengwa na jamiii, nchi zingine huwa kesi kama hizi hazicheleweshwi.
Vibinti vyenyewe vya miaka 17 vya dar umeviona???vinaweza kusimama na mke wako akaonekana yeye ndo mtoto.
 
Wadogo ni watamu na ni Mnato ila sasa

Inabidi uwe makini sana na macho ya watu na jamuhuri
 
Mbona kuna watu under 18 kibao wanajiuza. Au tunajisahaulisha wananchi?
 
Sheria inatambua hivyo. Ukitembea na binti chini ya miaka 18 hata akama amekubali mwenyewe maana yake umembaka kwa kumrubuni.
Lakini sheria hiyohiyo inaruhusu mtoto wa umri wa miaka 15 kuolewa endapo wazazi wa pande zote mbili wameridhia
 
mara daktari mara muuguzi huu uzi haujakaa sawa , by the way wao ndio wanatoa taarifa ya kitabibu kama mtu aliingiliwa ama lah hiyo imeisha hiyo hakuna kesi hapo
 
..Alimbaka...wakiwa Guest House? Binti aliingiaje humo? Sio Mabaliano Wawili? Kuna Mchezo Unaochezwa Hapo?
 
amezamia mtubwi wa vibwengo! kesi kama hizi ndio zinatrend hapo mambele watu maarufu na wenye pesa wanashidwa kuruka huu mtego naona bongo mabinti nao wameanza tumika ni kosa kuwa na mahusiano na watoto..Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…