Daktari wa Kichina afariki akimuokoa mama aliyekuwa anazama majini Kigamboni

R.I.P
 
Chai.


Umempamba sana ila ni MD wa kawaida tu.

Thibitisha CV yake.
 
Chai.

View attachment 3374635
Umempamba sana ila ni MD wa kawaida tu.

Thibitisha CV yake

Chai.

View attachment 3374635
Umempamba sana ila ni MD wa kawaida tu.

Thibitisha CV yake.
Kitu ambacho huelewi ukishakua serikalini MCT haina umuhilu sana kukufanya utambulike ndo maana madaktari karibia wote wanaofanya serikalini hua hawauhishi taarifa zao kwenye chama cha madaktari.

Pia zipo kozi ambazo MCT wenyewe wanashindwa kuzitambua waweke kwenye kundi lipi hasa kwa wale waliosoma nje so usishangae huyo jamaa kutokuwek taarifa zote kumuhusu.

Hivyo MCT sio claification kua huyu mtu amesoma mpaka wapi wengi huweka za bachela tu akishapata ajira huwa hawa update.
 
R.I.P Dr. Zhang. Gone a Hero!
 
Weka hizo zingine .

Mbona simple tu.
 
R.I.P. Hakika amekufa kushujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…