Usijali subiri mpaka fire watoke huko waliko lishaisha na msiwalaumu kwani fire station ni chache sana sanaZa asubuhi ndugu zangu.
Kwanini usubirie fire ndo ije ikuokolee chombo chakoUsijali subiri mpaka fire watoke huko waliko lishaisha na msiwalaumu kwani fire station ni chache sana sana
Ya ni kweli. Haiwezekani jiji kubwa kama Dar liwe na kituo kimoja tu cha zimamoto. Matokeo yake ikitokea ajali kama hiyo inachukua masaa 3 hadi 5 gari za faya kufika katika eneo la tukio. So sad.Usijali subiri mpaka fire watoke huko waliko lishaisha na msiwalaumu kwani fire station ni chache sana sana
Kwa hio u naamini hio fafa{first aid fire apliance }ilioko kwa gari itazima huo moto ulio hio stage ya full decay?Kwann usubirie fire ndo ije ikuokolee chombo chako
Moto uanza kidogo kidogo usipozima moto jiandae kuzima msitukwa hio u naamini hio fafa{first aid fire apliance }ilioko kwa gari itazima huo moto ulio hio stage ya full decay?
Sekta muhimu sana hii sema ndio kipaumbele kiko nyuma tuna matukio mengi sana ya majanga na moto kwa siku moja tu nchini ila ngoja tuone picha litakavyoishia .Ya ni kweli. Haiwezekani jiji kubwa kama Dar liwe na kituo kimoja tu cha zimamoto. Matokeo yake ikitokea ajali kama hiyo inachukua masaa 3 hadi 5 gari za faya kufika katika eneo la tukio. So sad.
Ni daladalaDuuuuh
Ni basi tu au na abiria ? Taarifa haijakamilika
Serikali itunge sheria kwamba kila basi linalobeba abiria liwe na fire protection system, kwa ajili ya usalama wa abiria, dereva pamoja na gari zenyewe. Hii itasaidia kuepusha ajali mbalimbali zitokanazo na moto.Za asubuhi ndugu zangu, inasemekana kuna daladala linawaka moto sasa hivi mitaa ya Kimara baruti, jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto hakijajulikana, ila taarifa kamili itapopatikana tutajulishana kwa kadri iwezekanavyo.
View attachment 2356370
Motoni wadau watakuwa na kazi pevu
Moto uanza kidogo kidogo usipozima moto jiandae kuzima msit
Stage threeKwa hio picha ulioleta huo moto unaona uko stage gani ?
Hii unataka kuleta siasa kwasababu ya hiyo gari moja! Fanya takwimu zako unapata case ngapi kwa mwaka kuhusu gari kuwaka moto kama hiyo ya leo? Magari yana kifaa cha kuzimia moto, ila kuna kipindi vinazidiwa na ndio maana unaona hata majengo yenye hizo system huungua piaSerikali itunge sheria kwamba kila basi linalobeba abiria liwe na fire protection system, kwa ajili ya usalama wa abiria, dereva pamoja na gari zenyewe. Hii itasaidia kuepusha ajali mbalimbali zitokanazo na moto.
Itunge sheria ziwe mbili? Au ya sasa zile fire extinguisher hazifai?Serikali itunge sheria kwamba kila basi linalobeba abiria liwe na fire protection system, kwa ajili ya usalama wa abiria, dereva pamoja na gari zenyewe. Hii itasaidia kuepusha ajali mbalimbali zitokanazo na moto.
HAYO YASHATUNGWA na yapo ila kuna mengi nyuma ya pazia trafiki ndio wamejivika majukumu ya fire men nchi hiiSerikali itunge sheria kwamba kila basi linalobeba abiria liwe na fire protection system, kwa ajili ya usalama wa abiria, dereva pamoja na gari zenyewe. Hii itasaidia kuepusha ajali mbalimbali zitokanazo na moto.