Daladala rasmi kurudi upya katikati ya Jiji la Dar-es-salaam mara baada ya mradi wa mwendokasi kushindwa kutoa huduma ipasavyo


😁

Bongo kweli nyoso, walipokuwa wanajenga BRT waliondoa vituo vyote vya daladala...

Sasa wanarudisha daladala na vituo hakuna...
 
Duwh tutaambia nini waafrika maana uko mtandaoni ndio tulikua mfano wa kuigwa na hio mikorokoro ya blue
 
Kwanza wajenge vituo Kila sehemu kuanzia mbezi hadi kkoo na posts na siyo kusimamisha gari barabarani itasababisha foleni kubwa na usumbufu.
 
Safi sana.. tena hili limechelewa sana
 
Hayo magari yana kula sana mafuta ndio kilicho wafelisha ila kuna jaama alishauri watunie TATA naona wamefeli pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…