uchache wa mabasi yaliyopo katika mradi wa mwendokasi (UDART).
31 May 2024
Dar es Salaam, Tanzania
UDART waoneshwa basi jipya
Kayoola EVS lililounganishwa Uganda, basi rafiki kwa mazigira
View: https://m.youtube.com/watch?v=5VkRRJANS8c
Furahia mandhari ya kuvutia ya jiji la Dar es Salaam Tanzania huku ukitumia usafiri wa basi la kisasa aina ya #KayoolaEVS , inayokupa safari mwanana na ukishuhudia matukio yasiyosahaulika katika barabara za kisasa na nzuri za jiji hili kubwa kupita yote Afrika ya Mashariki yaani jiji la Dar es Salaam.
Experience Tanzania's breathtaking beauty effortlessly with the #KayoolaEVS, offering seamless journeys and unforgettable adventures through stunning landscapes.
View: https://m.youtube.com/watch?v=RaSEEDmN8Jw