Daladala ziruhusiwe kupita Barabara za Mwendokasi Dar es Salaam

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi.

Barabara hizi ziko tupu muda wote wakati magari mengine ya abiria yakiwa yamesongamana kwenye barabara za kawaida. Tungetegemea barabara ziwe bize muda wote.

Hivi hawa waliobuni huu mradi walimaanisha hivi? Kwanini wasikamatwe na kuhojiwa?

1600324461466.png
 
Labda waletwe maDereva wa $$ wageni Wenye kuheshimu sheria , usalama na ufanisi ktk udereva...
Ila hawa maderva wa sasa ($$) ni Fujo tu na waharibifu wa miundombinu za barabara na wala hawajali kitu!! Zaidi yao ni ushindani barabarani
bila kutii sheria za usalama !!
 
Barabara yote hii kwa magari mawili tu ya mwendo kasi ni ubadhilifu, no value for money. Duniani kote hakuna vituo vya mabasi wala treni inavyowekwa karibu karibu barabarani kama hapa kwetu.
 
tena waruhusu haraka maana wakaz wa mbezi tunalipa nauli kubwa sana ukilinganisha na njia ya steshen mbagala au steshen tandika au tandika mbezi hizo njia ndefu sana lkn wananafuu ya nauli ila sisi mbezi nauli inatuumiza mno
 
Wakiruhusu tu daladala utashangaa na wath binafsi wamejichomekeza nao matokeo yake hio fast lane inakuwa na msongamano vile vile.

Akili ambayo ingetumika ni kuchaji hela kwa ambaye anajihisi ana haraka kutumia njia hio kwa muda flani esp. jioni na asubuhi ambapo foleni huwa kali.

Waweke road Toll hata 10K tu kwa gari ndogo na 20K kwa gari za size ya kati esp. SUV's kama ma Prado, VX V8, Touareg n.k! Wenye hela watalipia Serikali itaingiza hela ambao pia najua watu hawatakuwa wengi maana wataitumia wale wenye urgent cases.
 
Mwisho umemalizia na brilliant idea ever.

Pia itatakiwa kuwepo na limit ya idadi ya magari ya watu binafsi yatakayopewa kibali cha kupita baada ya kulipia.

Bila kuwa na limit ya idadi pengine kunaweza tokea foleni tena katika hizo lanes.
 
Hiyo pesa iwe kwa safari moja Sio mwezi mwenye haraka alipie atumie
 
Mwisho umemalizia na brilliant idea ever.

Pia itatakiwa kuwepo na limit ya idadi ya magari ya watu binafsi yatakayopewa kibali cha kupita baada ya kulipia.

Bila kuwa na limit ya idadi pengine kunaweza tokea foleni tena katika hizo lanes.
Eeh hata wakifanya timming pia ni sawa zikawa zinenda kwa batch! Zinaingia gari kadhaa, baada ya nusu saa zinaingia zingine.
 
Back
Top Bottom