Daladala ziruhusiwe kupita Barabara za Mwendokasi Dar es Salaam

Daladala ziruhusiwe kupita Barabara za Mwendokasi Dar es Salaam

Sport Utility Vehicles, au Sub Urban Vehicles.

Ina maana gari flani za juu ambazo zinaweza kutumika kwa matumizi ya mjini na porini. Mara nyingi zinakuwa equipped na 4x4 capability na umbile lake huwa kama la xtrail,grand vitara, Vx V8, nissan patrol,isuzu wizard, LC Prado, Surf n.k

hapa nmekwelewa bro.
 
Mwisho umemalizia na brilliant idea ever.

Pia itatakiwa kuwepo na limit ya idadi ya magari ya watu binafsi yatakayopewa kibali cha kupita baada ya kulipia.

Bila kuwa na limit ya idadi pengine kunaweza tokea foleni tena katika hizo lanes.
foleni itatoka wapi wakati hizo lanes ni njia moja tu, wala huwezi kuover take, labda gari iharibikike katikati ya barabara. Yaani hii ikiruhusiwa itakuwa kila baada ya dk 5 magari 3 ya abiria yanaondoka kituoni na abiria.
 
Barabara yote hii kwa magari mawili tu ya mwendo kasi ni ubadhilifu, no value for money. Duniani kote hakuna vituo vya mabasi wala treni inavyowekwa karibu karibu barabarani kama hapa kwetu.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Mji hauna nafasi ya kuweka project yoyote ya maana, ni kulazimisha kinachowezekana kifanyike japo kidogo.
 
Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi.

Barabara hizi ziko tupu muda wote wakati magari mengine ya abiria yakiwa yamesongamana kwenye barabara za kawaida. Tungetegemea barabara ziwe bize muda wote.

Hivi hawa waliobuni huu mradi walimaanisha hivi? Kwanini wasikamatwe na kuhojiwa?

View attachment 1572141
Kwa madereva hawahawa na konda mhasibu? Hapana aiseeee......
 
Ndugu yangu wee, kwa nchi iliyo na corruption kama yetu tutajikuta fedha nyingi wanazolipia zinaenda kwenye mifuko ya watu. Na pia itatoa loophole kwa njia kutumika vibaya na kusababisha msongamano. Kwa mawazo yangu ni kuwa njia bado zibakie kuwa za mabasi na magari ya dharura kama ambulance tu ila wakaribishe watu binafsi wenye mabasi makubwa (waweke spefications za mabasi) wazitumie sambamba na mabasi ya mwendo kasi.
Kulipa kwa njia ya mtandao au kulipia benk kunapunguza corruption
 
Wakiruhusu tu daladala utashangaa na wath binafsi wamejichomekeza nao matokeo yake hio fast lane inakuwa na msongamano vile vile.

Akili ambayo ingetumika ni kuchaji hela kwa ambaye anajihisi ana haraka kutumia njia hio kwa muda flani esp. jioni na asubuhi ambapo foleni huwa kali.

Waweke road Toll hata 10K tu kwa gari ndogo na 20K kwa gari za size ya kati esp. SUV's kama ma Prado, VX V8, Touareg n.k! Wenye hela watalipia Serikali itaingiza hela ambao pia najua watu hawatakuwa wengi maana wataitumia wale wenye urgent cases.

Nimeona huo utaribu nje ya Tanzania kwenye Nchi tofauti kuna road tolls nyingi kwenye madaraja na kwenye private road kwa wenye haraka na matajiri

Shida ni kwamba serikali ita control vipi ili pesa itakoyoingia kutokana na hilo zoezi hisipigwe na wakatisha ticket

Suggestion :Jambo la msingi watu Watakaopenda kutumia bara bara za mwendo kasi walipie kwa kutumia control number ya serikali then waende ofisi za UDART waoneshe sms ya malipo wapewe cards kama za DSTV na Azam , card ziwe activated kwa kiwango ukichokilipia then from there kuepusha usumbufu siku ukilipia tena kwa Tigo pesa Card iwe activated automatically , halafu road tolls ziwepo chache kwenye hizo bara bara kwa ajili ya maswala ya technicality just in case card ikisumbua

na gharama za kupita iwe hata elfu 50,000 kwa siku ili kufanya bara bara zitumike na wastaarabu tu wasiojua kutanua na ku overtake
 
Usisahau kiwashauri na wabongo kutumia mwendokasi badala ya kung'ang'ana na vigari utadhani wote wahaya
Usafiri wa umma ukiboreka watu wataacha kutumia vigari vyao kwenda kazini. Traffic watatoa kipaumbele kwenye njia za mabasi ya umma kuliko njia za pembeni, hivyo watu wengi watachagua kupanda mabasi badala ya magari yao madogo.
 
Yaani inashangaza na watu wanaunga mkono hoja...watakua wa mikoani hawa...bora mada ingekua waongeze magari

hiko tunachokiunga mkono tumeona kinafanya kazi huko mambele, na serikali inapata faida kubwa sana wanahitaji kutengeneza controls za kubana wapigaji
 
Nimeona huo utaribu nje ya Tanzania kwenye nyingi kuna road tolls nyingi kwenye madaraja na kwenye private road kwa wenye haraka na matajiri
Shida ni kwamba serikali ita control vipi ili pesa itakoyoingia kutokana na hilo wazi hisipigwe na wakati ana ticket

Jambo la msingi watu walipie kwa kutumia control number ya serikali wapewe cards kama za DSTV na Azam halafu road tolls ziwepe chache kwenye hizo bara bara kwa ajili ya maswala ya technicality just in case card ikisumbua

na gharama za kupita iwe hata elfu 50,000 kwa siku ili kufanya bara bara zitumike na wastaarabu tu wasiojua kutanua na ku overtake
Kweli kabisa, wazo zuri hilo mama. Kwa wenzetu sahivi tolls gate zina camera inakuchapa invoice ikishasoma plate number yako tu.

Huku kwetu tunatakiwa tupewe cards kama za magetini zile za kutokea kama Airport pale au Mlimani city. Ila ziwe debit cards kwamba unaijaza hela kisha ndio unaitumia katika shughuli kama hizo hela inanaenda direct serikalini
 
Yaani inashangaza na watu wanaunga mkono hoja...watakua wa mikoani hawa...bora mada ingekua waongeze magari

Wewe na huyo Jane wote washamba tu,kwani lengo la mradi ni nini,ni kupunguza kero ya foleni kutokana na magari kuwa mengi huku barabara finyu. Sasa kwa akili zako finyu waongeze magari kweli
 
Kweli kabisa, wazo zuri hilo mama. Kwa wenzetu sahivi tolls gate zina camera inakuchapa invoice ikishasoma plate number yako tu.

Huku kwetu tunatakiwa tupewe cards kama za magetini zile za kutokea kama Airport pale au Mlimani city. Ila ziwe debit cards kwamba unaijaza hela kisha ndio unaitumia katika shughuli kama hizo hela inanaenda direct serikalini
Juma Mpango tanua wigo wa kodi kwa kulifanyiakazi hili wazo.
 
Daladala kwenye majiji hazifai, zinaongeza msongamano na hewa chafu. Majiji yanahitaji magari yenye kubeba abiria wengi kwa wakati mmoja. Miaka ya nyuma 'hiace' ziliondolewa Dar, zimerudi?
Well noted... umetambua haswa
 
Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi.

Barabara hizi ziko tupu muda wote wakati magari mengine ya abiria yakiwa yamesongamana kwenye barabara za kawaida. Tungetegemea barabara ziwe bize muda wote.

Hivi hawa waliobuni huu mradi walimaanisha hivi? Kwanini wasikamatwe na kuhojiwa?

View attachment 1572141
Kuna siku mtasema wapishi wa Ikulu wafungue catering services kwakua wanajua kupika kuliko mama lishe...
 
Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi.

Barabara hizi ziko tupu muda wote wakati magari mengine ya abiria yakiwa yamesongamana kwenye barabara za kawaida. Tungetegemea barabara ziwe bize muda wote.

Hivi hawa waliobuni huu mradi walimaanisha hivi? Kwanini wasikamatwe na kuhojiwa?

View attachment 1572141
Kuna magari yamezuiliwa kwa kutolipiwa kodi, hayo yakiingia yatajaza hizo barabara
 
Hili liko kwenye ilani ya chama 2020-2035.
Punde si punde utekelezaji wake utaanza kwa majaribio ili wenye haraka waweze kuchangia gharama za miundombinu hiyo ili fedha zitakazo patikana zitumike kutatua kero mbalimbali za wanyonge.
 
Back
Top Bottom