Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi.
Barabara hizi ziko tupu muda wote wakati magari mengine ya abiria yakiwa yamesongamana kwenye barabara za kawaida. Tungetegemea barabara ziwe bize muda wote.
Hivi hawa waliobuni huu mradi walimaanisha hivi? Kwanini wasikamatwe na kuhojiwa?
View attachment 1572141