[emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]Yamezuiwa na traffic kwenye mataa kwenye makutano ya barabara kupisha msafara wa kiongozi.
Barabara yote hii kwa magari mawili tu ya mwendo kasi ni ubadhilifu, no value for money. Duniani kote hakuna vituo vya mabasi wala treni inavyowekwa karibu karibu barabarani kama hapa kwetu.Labda waletwe maDereva wa $$ wageni Wenye kuheshimu sheria , usalama na ufanisi ktk udereva...
Ila hawa maderva wa sasa ($$) ni Fujo tu na waharibifu wa miundombinu za barabara na wala hawajali kitu!! Zaidi yao ni ushindani barabarani
bila kutii sheria za usalama !!
Kwa kulipia Sio bureNaunga hoja mkono, ufanyike utaratibu hasa masaa ya jioni na asubuhi kupunguza foleni
Mwisho umemalizia na brilliant idea ever.Wakiruhusu tu daladala utashangaa na wath binafsi wamejichomekeza nao matokeo yake hio fast lane inakuwa na msongamano vile vile.
Akili ambayo ingetumika ni kuchaji hela kwa ambaye anajihisi ana haraka kutumia njia hio kwa muda flani esp. jioni na asubuhi ambapo foleni huwa kali.
Waweke road Toll hata 10K tu kwa gari ndogo na 20K kwa gari za size ya kati esp. SUV's kama ma Prado, VX V8, Touareg n.k! Wenye hela watalipia Serikali itaingiza hela ambao pia najua watu hawatakuwa wengi maana wataitumia wale wenye urgent cases.
Hiyo pesa iwe kwa safari moja Sio mwezi mwenye haraka alipie atumieWakiruhusu tu daladala utashangaa na wath binafsi wamejichomekeza nao matokeo yake hio fast lane inakuwa na msongamano vile vile.
Akili ambayo ingetumika ni kuchaji hela kwa ambaye anajihisi ana haraka kutumia njia hio kwa muda flani esp. jioni na asubuhi ambapo foleni huwa kali.
Waweke road Toll hata 10K tu kwa gari ndogo na 20K kwa gari za size ya kati esp. SUV's kama ma Prado, VX V8, Touareg n.k! Wenye hela watalipia Serikali itaingiza hela ambao pia najua watu hawatakuwa wengi maana wataitumia wale wenye urgent cases.
Eeh hata wakifanya timming pia ni sawa zikawa zinenda kwa batch! Zinaingia gari kadhaa, baada ya nusu saa zinaingia zingine.Mwisho umemalizia na brilliant idea ever.
Pia itatakiwa kuwepo na limit ya idadi ya magari ya watu binafsi yatakayopewa kibali cha kupita baada ya kulipia.
Bila kuwa na limit ya idadi pengine kunaweza tokea foleni tena katika hizo lanes.