Yeah, safari moja mpaka atakapo exit kwenye mwendo kasi au asubuhi na jioni ya hio siku. Kuliko kuzuia kabisa watu wasiitumie ni bora wangeweka tolls wakapata hela.Hiyo pesa iwe kwa safari moja Sio mwezi mwenye haraka alipie atumie
Ni kweli Mara ingine Unasubiri basi saa nzima halijatokea la Mwendokasi hasa njia ya kimara muda huo magari kibao private yangekuwa yamelipia road Toll yalishafika kimara siku nyingi kuliko barabara kukaa idle saa nzima Hakuna basi na barabara haiingizi chochoteYeah, safari moja mpaka atakapo exit kwenye mwendo kasi. Kuliko kuzuia kabisa watu wasiitumie ni bora wangeweka tolls wakapata hela.
Usijali " ukuwaji/growth " ndiyo itaamuwa itumike vipi... bilashaka wataongeza mabasi au treni za mustakabali Ambazo zitatumia Barbara hizo kama ilivyo Istanbul, California na majiji makubwa huko!!Barabara yote hii kwa magari mawili tu ya mwendo kasi ni ubadhilifu, no value for money. Duniani kote hakuna vituo vya mabasi wala treni inavyowekwa karibu karibu barabarani kama hapa kwetu.
Ndugu yangu wee, kwa nchi iliyo na corruption kama yetu tutajikuta fedha nyingi wanazolipia zinaenda kwenye mifuko ya watu. Na pia itatoa loophole kwa njia kutumika vibaya na kusababisha msongamano. Kwa mawazo yangu ni kuwa njia bado zibakie kuwa za mabasi na magari ya dharura kama ambulance tu ila wakaribishe watu binafsi wenye mabasi makubwa (waweke spefications za mabasi) wazitumie sambamba na mabasi ya mwendo kasi.Eeh hata wakifanya timming pia ni sawa zikawa zinenda kwa batch! Zinaingia gari kadhaa, baada ya nusu saa zinaingia zingine.
Yaani inashangaza na watu wanaunga mkono hoja...watakua wa mikoani hawa...bora mada ingekua waongeze magariMawazo ya ajabu sana haya
Wakiruhusu tu daladala utashangaa na wath binafsi wamejichomekeza nao matokeo yake hio fast lane inakuwa na msongamano vile vile.
Akili ambayo ingetumika ni kuchaji hela kwa ambaye anajihisi ana haraka kutumia njia hio kwa muda flani esp. jioni na asubuhi ambapo foleni huwa kali.
Waweke road Toll hata 10K tu kwa gari ndogo na 20K kwa gari za size ya kati esp. SUV's kama ma Prado, VX V8, Touareg n.k! Wenye hela watalipia Serikali itaingiza hela ambao pia najua watu hawatakuwa wengi maana wataitumia wale wenye urgent cases.
Daladala kwenye majiji hazifai, zinaongeza msongamano na hewa chafu. Majiji yanahitaji magari yenye kubeba abiria wengi kwa wakati mmoja. Miaka ya nyuma 'hiace' ziliondolewa Dar, zimerudi?Labda waletwe maDereva wa $$ wageni Wenye kuheshimu sheria , usalama na ufanisi ktk udereva...
Ila hawa maderva wa sasa ($$) ni Fujo tu na waharibifu wa miundombinu za barabara na wala hawajali kitu!! Zaidi yao ni ushindani barabarani
bila kutii sheria za usalama !!
Sport Utility Vehicles, au Sub Urban Vehicles.sorry,,hv neno SUV lina maana gan... mtu akisema SUV car anaamaanisha nn haswa
Corruption sio kitu cha kuogopa. Ipo na itaendelea kuwepo. Ila kwa awamu hii watu wana uoga sana atlestNdugu yangu wee, kwa nchi iliyo na corruption kama yetu tutajikuta fedha nyingi wanazolipia zinaenda kwenye mifuko ya watu. Na pia itatoa loophole kwa njia kutumika vibaya na kusababisha msongamano. Kwa mawazo yangu ni kuwa njia bado zibakie kuwa za mabasi na magari ya dharura kama ambulance tu ila wakaribishe watu binafsi wenye mabasi makubwa (waweke spefications za mabasi) wazitumie sambamba na mabasi ya mwendo kasi.
Corruption sio kitu cha kuogopa. Ipo na itaendelea kuwepo. Ila kwa awamu hii watu wana uoga sana atlest
Kwa nini usitembee unakokwenda?Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi.
Barabara hizi ziko tupu muda wote wakati magari mengine ya abiria yakiwa yamesongamana kwenye barabara za kawaida. Tungetegemea barabara ziwe bize muda wote.
Hivi hawa waliobuni huu mradi walimaanisha hivi? Kwanini wasikamatwe na kuhojiwa?
View attachment 1572141
Mtu anataja 10k 20k kama hela ndogo 😂Yaani inashangaza na watu wanaunga mkono hoja...watakua wa mikoani hawa...bora mada ingekua waongeze magari
Huyu anataka kuturudisha kule kule mana hata Daladala wakiambiwa ingieni then msisimame mpaka vituoni hawawezi kuelewaUhalisia wa matumiz ya mwendokas hautokua na maana tena sote tunajua jinc mwendokas unaokoa muda
Haya ndio mawazo sasa mkuuWakiruhusu tu daladala utashangaa na wath binafsi wamejichomekeza nao matokeo yake hio fast lane inakuwa na msongamano vile vile.
Akili ambayo ingetumika ni kuchaji hela kwa ambaye anajihisi ana haraka kutumia njia hio kwa muda flani esp. jioni na asubuhi ambapo foleni huwa kali.
Waweke road Toll hata 10K tu kwa gari ndogo na 20K kwa gari za size ya kati esp. SUV's kama ma Prado, VX V8, Touareg n.k! Wenye hela watalipia Serikali itaingiza hela ambao pia najua watu hawatakuwa wengi maana wataitumia wale wenye urgent cases.
Tanroad na Serikali hili wazo la mdau lifanyiwe assessment na ikiwezekana liwe implemented haraka lita create revenueEeh hata wakifanya timming pia ni sawa zikawa zinenda kwa batch! Zinaingia gari kadhaa, baada ya nusu saa zinaingia zingine.
Zibaki kwa Kazi hiyo hiyo ziliyojengewa...!Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi.
Barabara hizi ziko tupu muda wote wakati magari mengine ya abiria yakiwa yamesongamana kwenye barabara za kawaida. Tungetegemea barabara ziwe bize muda wote.
Hivi hawa waliobuni huu mradi walimaanisha hivi? Kwanini wasikamatwe na kuhojiwa?
View attachment 1572141
Huyu anataka kuturudisha kule kule mana hata Daladala wakiambiwa ingieni then msisimame mpaka vituoni hawawezi kuelewa
Ambulance ziko permited kutumia izo roads hata izo za jeshi kama wanadharura wanapitaZibaki kwa Kazi hiyo hiyo ziliyojengewa...!
Ukianza Kuruhusu Dala dala, kesho utaruhusu na ambulance, keshokutwa magari ya Polisi, mtondogoo magari ya Jeshi na mwisho? Vurugu inajamia kwenye barabara za mwendokasi!!
Kupanga no Kuchagua....