Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa bwana yaani ni bahili 10k tu jmaa hatakiWewe kweli mzee wa kusawazisha.
Wewe unastahili kipigo.Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake.
Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha ajabu nauli nimemlipia mimi ya kuja uku. Dah.
Unashindwa kumpa huyo Dalali elfu 10..je hiyo pango utaweza kulipa kweli?Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake.
Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha ajabu nauli nimemlipia mimi ya kuja uku. Dah.
Daah aisee huy jamaa anazingua kinomaUnashindwa kumpa huyo Dalali elfu 10..je hiyo pango utaweza kulipa kweli?
Mimi kitu hua nakataa kumpa dalali kodi ya mwezi mzima yani kama chumba ni 70k kwa mwezi basi umpe yeye ya mwezi hua nagoma ila izo ten au twenty hua nawapa coz wanachoka pia, sasa mwamba ata ten hataki kutoa dah😁Huyu jamaa bwana yaani ni bahili 10k tu jmaa hataki
Wewe unataka uwe unamlipaje dalali akikutafutia eneo?? Mna dharau kazi za watu sana😄Mimi kitu hua nakataa kumpa dalali kodi ya mwezi mzima yani kama chumba ni 70k kwa mwezi basi umpe yeye ya mwezi hua nagoma ila izo ten au twenty hua nawapa coz wanachoka pia, sasa mwamba ata ten hataki kutoa dah😁
Udalali unalipa.....
Tafuta helaKuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake.
Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha ajabu nauli nimemlipia mimi ya kuja uku. Dah.
Kabisa mkuu tuwaheshimu ao watu ndo kazi inayowaweka mjiniIko hivi,ukinitoa nilipo nikuoneshe chumba kuna helaa ya mguu,huwezi kuninyanyua nikuoneshe chumbaa afuu uniambie asente,we sio shangazi yangu.ukikipenda chumba na kulipia,jua kabisa mwezi mmoja unanilipa mimi,kama.umelipa miezi sita basi jua utaongeza wa sabaa kwa kunilipa.semaa tatizo madalali wengine njaaa tu.inatakiwa ukubaliane na.mteja kabla huja muonesha chumbaa.kama hataki akatafute mwenyewe
DALALI WA MKOANI???sio rahisi kiivo mkuu, nina msela wangu mmoja aliwahi kujiingiza kwenye hizi dili mpaka kaachana na hiyo kazi hajawahi kupata zaidi ya buku 10 kwa mkupuo mmoja, na hizo sio kama za kila siku.
DALALI WA MKOANI???