Dalali anataka nimpe elf 10tsh hii imekaaje

Dalali anataka nimpe elf 10tsh hii imekaaje

Kawaida hiyo bila yeye usingeweza ona hizo nyumba alizokuonyesha .
Unamlipa hela ya mguu kama usipoipenda nyumba ikitokea umeipenda ukalipia unamlipa yeye kodi ua mwezi 1 hulipii hiyo hela ya mguu.
Hivyo ndivyo wanavyofanya kazi madalali wa nyumba hata viwanja .
 
Duh! Anakuvumilia tu,unaongea naye Halafu Hadi uulize JF? We mjamaa!!!?
 
Wanakuwa na vyumba vyao hivyo havipangishiki lakin anakupeleka ukaone .ili tu utoe services charges au chumba kina mtu anakupeleka na kukuambia hapa mwezi ukiisha anatoka huyu bwana kwahiyo jiandae kumbe wala hatoku mwisho wa siku anakuambia umuongezee hela ya usumbufu.
 
Back
Top Bottom