Dalali hakumtonya mzee wangu kuwa mtu anayetaka chumba ni shoga

Binadamu mnavyotoa hukumu kwenye huu uzi ni kama hamna mtenda dhambi wote ni watakatifu mkifa leo mnaenda peponi🥲
 
Kama analipa Kodi tatizo liko wapi
 
Mpe taarifa mzee nyumba yake inatumika na mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja endelea na mambo yako yanayokuhusu wewe, ataamua mwenyewe maana nyumba alijenga yeye. Hakuna taharuki yoyote hapo unless uwe mwongo.
Una uhakika na ushahidi usiotia shaka kwamba ni shoga? Kwanini unaingilia privacy ya MTU?
 
Ni kuwa mpole tu! Mzee atumie utaratibu wa kusitisha mkataba! Maana ndiyo yale yale ya kuambiwa kuna Sheria inayolinda faragha za watu! Kuhoji kuwa anafanya huo uchafu itakuwa kuingilia faragha yake.
Hekima itumike tu,kusitisha Mkataba.
 
Me ningumu mzee bba mana hata ukaribu nae sitaki kuna mchizi mmoja aliwahi kumwomba amwazime geto ili aulie kipengele chake jamaa akampa options mbili aulie ila nayeye usiku aje amshone...jamaa alikataa 😂
Noma sana, mchunguze sana aliyekuambia inawezekana wanakuwa wote na huyo mshkaji
 
Kodi si analipa kwa wakati shida ni nini?
Muache baba yako na mpangaji wake, akiona hamfai atamfukuza yeye mwenyewe.!!
 
Ongea na mzee wako mumvizie jamaa asubuh anavyotoka mumkamate mumvue nguo zote halafu mmuweke kwenye beseni lilijaa maji mkiona bubbles mjue pancha baada hapo mnaruhusiwa kujichukulia sheria mikononi kwa mujibu wa taurati
k.mmk 🤣🤣🤣🤣🤣 hii mbinu umeniua mbavu
 
Usimwambie tafadhari usije leta shida kwenye ndoa ya mama yako
 
Ongea na mzee wako mumvizie jamaa asubuh anavyotoka mumkamate mumvue nguo zote halafu mmuweke kwenye beseni lilijaa maji mkiona bubbles mjue pancha baada hapo mnaruhusiwa kujichukulia sheria mikononi kwa mujibu wa taurati
😂😂
 
Unaweza kumuelezea mzee wako akaamua kumpa hiyo nyumba kabisa. Kuna inshu nyingine acha mtu aishi maisha yake tu

Hakuna asiye na dhambi dunia hii.
 
Kuna wafanyakazi wa serikali mashoga je ungekuwa umeajiriwa na kukutana nao ungefanyeje ? ..ungeacha kazi ili kuepukana na shoga ofisi moja ? ...wewe angalia pesa yako ya upangaji tu
Exactly. Swali linakuwa -mbona yy (Mtoa mada) bado anaishi hapa Bongo ilhali na mashoga wamejaa tele? Si angeenda kuishi uhamishoni ambako hawapo?
NB: Ukisikia Ubarakuda ndo huo. Mtu anakosa cha kufanya -anakesha kufuatilia mambo ya wenzake. Kama yuko serious kweli arudishe chenji kodi ya August - January 2027 kwa mpangaji huyo na halafu ampe wiki nne (4)za kutafuta pango jipya mahali pengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…