Dalili kuu kuwa "anataka tu pesa zako"

Ndiyo,tena cha hali ya juu maana ni lazima mwisho kitu hicho umalizie kwa kutetemeka,kubenua vidole,kukakamaa kama una degedege,kubadilisha face appearance na mengineyo unayokumbana nayo.ASANTE.
Mapenzi wapo madanga wanaotoa kwa bei chee tu tena unapata kitu kitamu balaa baada ya hapo mnaachana kila mtu anashika 50 zake na hakuna vizinga wala kununiana kisa sina pesa,wanawake mnatusumbuaga sana na kitu ambacho kipo tu napata popote.
 
hakutafuti mpaka umtafute,,, ukimuuliza utasikia bundle limeisha, mara nilikuwa nafua, mara kulikuwa na kikao cha familia, mara akiwa home akaagi na simu karibu.

Halafu cha ajabu ukiwa naye karibu simu anakuwa nayo busy muda mwingi.

Mkitoka out kama ni mnywaji hanywi pombe au beer za bei rahisi....utasikia Windhoek, heineken, Savanna, amarula, hennesy, black & white wine, four cousin wine, Jack Daniels.

Upande wa msosi utasikia chips KuKu, makange ya samaki (sato), maini, firigisi, Kuku ......Mchemsho wa samaki, wa mbuzi au ng'ombe.
 
Kitu chochote, mnamaanisha hata penz hakupi au? Maana kama anakubali kuchafuliwa nawe hiyo kajitoa mno kwako.Kuna watu hawapewi hata utelezi ndugu zanguni.
Utelezi, sijui penzi vyote hivyo vya kawaida Sana. Nasisitiza mpenzi anayetegemea kupokea tuuu bila ya yeye kutoa kwa mpenziwe huyo Ni jambazi, kimbia upesi. Alafu wanaume tufunguke tusiwe misukule, pigs chini huyo haraka Sana otherwise wafaaa.
 
Kupe huyo atakunyonya damu, Ohio shauri yako
 
Huyo chuma ulete huwezi kumuita mpenzi! Ni jambazi la kike hilo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kaa mbali na mwanamke ambaye hata kukununulia soda ya 500 tu kwa hela yake hawezi!
Binafsi mwanamke akianza kunililia kuhusu pesa namsikiliza na kumpa maswali kutokan na maelezo yake....yeye mwenyewe anakimbia na kuniita mi mgumu ama mbahiri. Mtu hana issue yeyote anataka umtunze yeye na ukoo wake mzima, pumbavuuuu.
 
Kitu chochote, mnamaanisha hata penz hakupi au? Maana kama anakubali kuchafuliwa nawe hiyo kajitoa mno kwako.Kuna watu hawapewi hata utelezi ndugu zanguni.

Yaani hanipi utelezi nampaje Hela yangu labda ??
Hapo kinachojadiliwa ni kwamba anakupa penzi ila ndio hivyo penzi linakuwa la muda ukiwa na hela zikikata anakuona Trash yaani.
 
Kuna demu ninae anazo Tabia kama hizi hapa

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi mwanamke akianza kunililia kuhusu pesa namsikiliza na kumpa maswali kutokan na maelezo yake....yeye mwenyewe anakimbia na kuniita mi mgumu ama mbahiri. Mtu hana issue yeyote anataka umtunze yeye na ukoo wake mzima, pumbavuuuu.
Hahahahah unaskia kwendraa na ubahili wako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ujue kimeumanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…