Dalili kuu kuwa "anataka tu pesa zako"

Dalili kuu kuwa "anataka tu pesa zako"

hakutafuti mpaka umtafute,,, ukimuuliza utasikia bundle limeisha, mara nilikuwa nafua, mara kulikuwa na kikao cha familia, mara akiwa home akaagi na simu karibu.

Halafu cha ajabu ukiwa naye karibu simu anakuwa nayo busy muda mwingi.

Mkitoka out kama ni mnywaji hanywi pombe au beer za bei rahisi....utasikia Windhoek, heineken, Savanna, amarula, hennesy, black & white wine, four cousin wine, Jack Daniels.

Upande wa msosi utasikia chips KuKu, makange ya samaki (sato), maini, firigisi, Kuku ......Mchemsho wa samaki, wa mbuzi au ng'ombe.
Sasa jaman Unitoe auti niagize ugali maharage na spa leta ndo ujue nakupenda?
 
hakutafuti mpaka umtafute,,, ukimuuliza utasikia bundle limeisha, mara nilikuwa nafua, mara kulikuwa na kikao cha familia, mara akiwa home akaagi na simu karibu.

Halafu cha ajabu ukiwa naye karibu simu anakuwa nayo busy muda mwingi.

Mkitoka out kama ni mnywaji hanywi pombe au beer za bei rahisi....utasikia Windhoek, heineken, Savanna, amarula, hennesy, black & white wine, four cousin wine, Jack Daniels.

Upande wa msosi utasikia chips KuKu, makange ya samaki (sato), maini, firigisi, Kuku ......Mchemsho wa samaki, wa mbuzi au ng'ombe.
Hawana huruma kabisa. wala haonyeshi kujali. Anatumbua tuu. Mi skumoja niliwahi kusepa na simu nikazima kama hakuwa na hela ya kulipa ndio akome ku order vitu ambavyo hana uwezo navyo. Unaagiza kuku mzima halafu baadae baadae unasema jamani dear yamepita makange nimeyatamanii, daadeki na Martin Bianco iko mezani ishafika nusu.
 
Tafuta pesa. Ni haki yake kuhudumiwa kwa namna yoyote kadri ya uwezo wako.

Tatizo tu ni kuwa unakazana kudate na slayqueen mtaka pesa daily wakati mbususu za bei chee na pisi kali zipo tu, ila tu unataka kuonekana mtaani wewe kidume acha zikupupuse pesa zote.
 
Hapendi kukaa na wewe muda mrefu akija kwako anachukua Muda mfupi na kuondoka
Ukitoka naye out anapenda kuchat hakupi muda wa kukusikiliza
Selfish anapenda mambo yake au vile anavyotaka yeye wala hajali mahusiano
Sadly
 
Kuhudumiwa ni raha Ncha, yani raha inakaribia ile ya orgasm....tuhudumieni tu jameni
Bila kusahau wazee wa necha kwa pamoja tunasema hiyo ni necha yetu 😁
Mm mtazamo wangu uko tofauti kidogo

Nahisi Wanaume tunalalamika humu jukwaani kuwa wanawake mnatuchuna pesa, bcoz wanaume wengi tunatongoza na kushobokea wanawake ambao hawana hisia za Kingono/kimapenzi na sisi.

Wanaume tuwe kwenye mahusiano na wadada wanaotupenda na wanaotutamani kingono, kwenye mahusiano hatutohisi kuwa tunakuwa exploited financially, am talking this from experience, Utaona mahusiano yanaenda smooth Linapokuja swala la pesa Evelyn Salt Shunie Extrovert
 
Kwahio unahisi swala la pesa ni kwa sababu mwanamke hana hisia na wewe za kingono? Aliekwambia hisia za kingono ndio zinafanya usiombwe pesa ni nani?🤣🤣🤣🤣 sababu mwanamke kukupa papuchi ni swala moja na baada ya game kukulilia njaa ni swala jingine ila hisia anakuwa nazo unapomkaza pale sema tu njaa haiongopi!!!
 
Sijasema Mdada akikupenda hatokuomba pesa Kabisa, ila tu hata akikuomba itakua ni kwasababu ana shida kweli, na kwasababu ambazo hata wewe utaona ni reasonable,

itakua ni sawa na ww unavoombwa pesa na best friend wako wa kiume, hauhisi kuwa unatapeliwa, ndo hivo hivo itakavokua, Mdada anayekupenda akikuomba hela Extrovert
 
Umejitetea kama unaconclude Assignment🤣🤣🤣kula like!!!
 
Hahahahah unaskia kwendraa na ubahili wako 😂😂😂 ujue kimeumanaaa
Ndiyo usemi wao mkubwa, kwendraaaaa na ubahili wako mwanamme gani. Kumbe hapo kaumia kwa kumtolea nje matumaini yake ya kuwekwa mjini. Wanawake nawashangaa sana, yaani mtu unashindwa kutafuta kazi unataka kukaa mjini ili utunzwe na mwanamme wa mtu ili iweje?
 
Ndio akili yake ilipofikia hapo! Na tatoo zao za shingo
 
Back
Top Bottom