Hio sio hoja ya msingi na ndio maana huwa mnapigwa na kukimbiwa. Ondoeni hio akili kabisa, kukubali kupigwa mashine ndio mapenzi yenyewe sasa kama unafikiri unamfanyia favor mwanaume kumpa papa jua utaachwa kwenye mataa kila siku! Yani unahisi ukitoa papa ndio unakuwa umepata visa ya kuombea hela?Kitu chochote, mnamaanisha hata penz hakupi au? Maana kama anakubali kuchafuliwa nawe hiyo kajitoa mno kwako.Kuna watu hawapewi hata utelezi ndugu zanguni.
Naichukua hii, naenda kuanzisha uzi.Mm mtazamo wangu uko tofauti kidogo
Nahisi Wanaume tunalalamika humu jukwaani kuwa wanawake mnatuchuna pesa, bcoz wanaume wengi tunatongoza na kushobokea wanawake ambao hawana hisia za Kingono/kimapenzi na sisi.
Wanaume tuwe kwenye mahusiano na wadada wanaotupenda na wanaotutamani kingono, kwenye mahusiano hatutohisi kuwa tunakuwa exploited financially, am talking this from experience, Utaona mahusiano yanaenda smooth Linapokuja swala la pesa Evelyn Salt Shunie Extrovert
Anakuseti hapo 😂😂😂 ukikaa vizuri lazma akutwange invoice kutest mitambo! Ukimtolea mbavuni kuwa hauko vizuri zitaanza lawama sasa mpenzi gani humsaidii katika changamoto zake🤣? Yani ameomba umsaidie hela ya kodi tu umuongezee kidogo kapungukiwa huna.Anakuambia "Mi si ombi ombi hela." au "Kwako sipo kwa ajili ya pesa". Au my favorite, anakuambia amewahi kuwa na mtu hakuwa na kitu. [emoji28]
Halafu muda fulani baadae anarusha invoice. Kama default settings zinavyotaka.
RUN!
Yeah anakupa sababu anakufeel na hamna kuomba hela baada ya show sababu anajitosheleza! Hawa ndio wanawake ambao nimetokea kuwahusudu zaidi! Mwanamke hafanyi mapenzi kwa dhiki zake bali kwa kufurahia uwepo wako kwake huyu hata ukimpa mtonyo hana hiyana na zawadi zawadi mnafurahi tu. Nayeye anakupa zawadi zawadi inakuwa full burudani!Juu ya hili pia, kuna wanawake yeye kutoa utelezi hata sio ishu. Na Sio kwako tu.
Alikuwa mzuri sana asili yake ni singa na ana mapenzi na mimi kiasi kwamba alitaka anizalie kabisa sababu tulikuwa tunamatch kitabia ila sasa dah nikawaza kwa hali yangu ilivyo tete angenishinda tu af anakuwa na mawenge sana akipanic ni but muoneshe noti tu yani ghafla lazma asmile niliinjoy nae sana...bonge la chix yani![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani Jana tu nimekupa elfu 50,lakini leo tu unashindwa kuninulia hata soda ya jero ili na Mimi nijione Kama napendwa!? Japokua najua hunipendi bali unapenda mshiko wangu tu!!Sio kwamba tunapenda unakuta hiyo 500 hatuna kaka....
Saloon, nywele, kucha 50 imeishaYaani Jana tu nimekupa elfu 50,lakini leo tu unashindwa kuninulia hata soda ya jero ili na Mimi nijione Kama napendwa!? Japokua najua hunipendi bali unapenda mshiko wangu tu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mademu wa bongo kwa kweli wanachosha mno, yaani nikiwaona tu sijuwi najiskiaje kwani kila mmoja wao namuona yuko fake na kiombi kama mgogo wa Jangwana Traffik.Ndio akili yake ilipofikia hapo! Na tatoo zao za shingo
Hahahahah wamekaa kishamba mno! Demu yuko Gongolamboto uswahilini ila kaamka na snapchat na vikuku 😂😂😂Mademu wa bongo kwa kweli wanachosha mno, yaani nikiwaona tu sijuwi najiskiaje kwani kila mmoja wao namuona yuko fake na kiombi kama mgogo wa Jangwana Traffik.
Kwa kweli wako pathetic, hivi mtu unakuwa na akili gani umezalishwa na vibaka mpaka umeishiwa thamani, unaanza kuhaha na kutafuta wanaume kwa nguvu na kuroga ili wakuweke mjini na kutunze familia yako? Wengi wao hawana issue, kutwa kucha wanashinda Insta kujipiga picha kujitangaza, kosa tu ndugu Extrovert ujiingize kichwa kichwa, umekwisha.Hahahahah wamekaa kishamba mno! Demu yuko Gongolamboto uswahilini ila kaamka na snapchat na vikuku 😂😂😂
Hahahah ni kuwa makini tu demu lazma nimpeleleze nijue anatokea mazingira gani!Kwa kweli wako pathetic, hivi mtu unakuwa na akili gani umezalishwa na vibaka mpaka umeishiwa thamani, unaanza kuhaha na kutafuta wanaume kwa nguvu na kuroga ili wakuweke mjini na kutunze familia yako? Wengi wao hawana issue, kutwa kucha wanashinda Insta kujipiga picha kujitangaza, kosa tu ndugu Extrovert ujiingize kichwa kichwa, umekwisha.
Na mtaombwa sana,no money no honeyHio sio hoja ya msingi na ndio maana huwa mnapigwa na kukimbiwa. Ondoeni hio akili kabisa, kukubali kupigwa mashine ndio mapenzi yenyewe sasa kama unafikiri unamfanyia favor mwanaume kumpa papa jua utaachwa kwenye mataa kila siku! Yani unahisi ukitoa papa ndio unakuwa umepata visa ya kuombea hela?
Hahahaha kabla hujagundua hilo itakuwa imebaki story!Na mtaombwa sana,no money no honey
Umenitonesha kidonda jana nilikua na laki mbili na arobaini na tano full kugawa ten ten kwa mabaamedi ,eti naumizwa sana na maisha yao leo naamka kila nikiingiza mikono mifukoni zinatoka tissue tu.
Mi mashangazi wote wana iphone..
Ila mimi nakomaa na hii hii simu yangu ya hovyo..
ILA sasa linapokuja suala la pesa hapo sikumbuki lini nilitoa mapesa aiseee ila nachokumbuka ni kauli kama hizi
""Fanye jpili hii uka fufue account yako ya bank, nishachoka kwenda kwa wakala """
""Nakuja huko kukuchukua leo sitoenda kanisani suala la ofisi utamwachia nani achana nalo ""
""Kama PC yako mbovu ulikua wapi mda wote kusema mpaka leo hii nakupa kazi ,,
kesho nikukute k,koo sa tano mapema kabisa sawa,,,"""
Mi mashangazi wote wana iphone..
Ila mimi nakomaa na hii hii simu yangu ya hovyo..
ILA sasa linapokuja suala la pesa hapo sikumbuki lini nilitoa mapesa aiseee ila nachokumbuka ni kauli kama hizi
""Fanye jpili hii uka fufue account yako ya bank, nishachoka kwenda kwa wakala """
""Nakuja huko kukuchukua leo sitoenda kanisani suala la ofisi utamwachia nani achana nalo ""
""Kama PC yako mbovu ulikua wapi mda wote kusema mpaka leo hii nakupa kazi ,,
kesho nikukute k,koo sa tano mapema kabisa sawa,,,"""
Ahahahah utapata tuu..Hivi ndo vitu nipendavyo mimi asweeh, siku nikipata mshangazi hata mmoja aseeh ntafrahi kinoma