ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
🚨🧵 Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia
(VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani)
Kama Ambavyo Msanii huwa Anachagua Aina ya wasanii wa kufanya nao COLLABO why not 👇
VENUE (mazingira yatakayo endana na status yake) ?!
●Neno BRAND limekuwa kama geresha tu lakini most of our favorites and icons, hawaliishi ipasavyo
Imagine msanii ndani ya mwezi, unamuona kwenye
□Arobaini ya mtoto wa fulani
■Birthday parties
■Baby shower
■mara jukwaa la siasa
■interviews 7
Na hii ni kwa wasanii wote Tanzania, lazima wawe na standards zao,siyo tu upande wa collabo
Kuwa EXPENSIVE (siyo tu gharama yako per shows) hata upatikanaji wako usiwe wa simu moja tu kama mtu asiye na mambo mengine anasubiria mchongo
Sometimes, siyo nyimbo zote zinahitaji videos
Msingi wa muziki ni ala na sauti tu, picha ni ziada, ya watu kujua anaye imba na kutengeneza bond
Tunaweza kuwa tunalaumu, directors kwa kukosa ubunifu, kumbe sometimes tunakuwa tumechoka kuwaona kila dakika
MWISHO: sina chuki na msanii yeyote, hayo ni mawazo/ mtazamo wangu
Na mchango wangu katika ukuaji wa sanaa nchini (peace)
#DramaWasHere ✍