Dalili za Iran kushambuliwa usiku wa kuamkia kesho

Khaibar

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2025
Posts
1,803
Reaction score
4,693
Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu inaripotiwa kuonekana kwenye radar ikiondoka kuelekea Ugiriki leo hii. Huku harakati za ndege vita za Marekani na Israel kusogezwa karibu na ghuba ya Uajemi zikiendelea.

Inasemekana leo hii usiku huwenda Iran ikashambuliwa.

Maana hata vita ya June 2025 dalili zilianza hivi hivi kwa Netanyahu kuhama nchi, ndege vita kusogezwa ghubani kesha shambulizi la kushtukiza kwa Iran.

Vyanzo: @DW, TRT
 
Nashauri Irani ikishambuliwa wao waelekeze Washington na New York makombora Yao ili marekani aonje utamu wa vita nyumbani kwake.
Kuelekeza Washingyon na NewYork, labda kama watakuwa wanataka kulipamba anga. Umbali ni mrefu, na kabla ya kuingia anga la Marekani, makombora hayo yatakutana na ulinzi wa anga kutoka bases mbalimbali za Marekani. Siyo rahisi kombora kupenya mifumo zaidi ya miwili bila ya kudunguliwa.

Lakini pia inaelekea hujui hata umbali wa kutoka Iran mpaka USA! Eneo la karibu kabisa ni kilometa 9,800, wakati kombora lenye uwezo wa kwenda mbali kabisa la Iran ni kilometer 3,000. Hivyo ujue tu kuwa Marekani ipo salama kabisa kutokana na makombora ya Iran. Makombora ya Iran mwisho wake ni Mashariki ya kati tu.
 
True, ndo maana wanashambulia base za America huko mashariki.
 
Kwenye mapigano yoyote yale, Iran ipo disadvanteged:
1. Mataifa jirani yote ya Iran, ni maadui zake indirectly.
2. Karibu yake kuna Israel ambayo ipo vizuri sana katika uwezo wa kivita na uchumi, na ni adui yake yake anayemfahamu in and out.
3. Uchumi wa Iran upo hoi bin taaban. Vita yoyote itakayochukua muda mrefu hataimudu.
4. Wananchi wengiwa Iran, hawaitaki serikali ya Ayatollah, hao watakuwa msaada kwa Marekani.
5. Wananchi wengi wa Iran wamekimbia nchi yao, wapo USA na Ulaya, hawa bado wana connections na watu wa Iran ambao wanaisaidia Marekani kupata taarifa za kiintelijensia kiurahisi.
 
Hata 1980 Iran ilikua ina uchumi mbaya kuliko sasa na walimudu vita ya miaka nane kuanzia 1980-1988.
Pia kitu ambacho watu hawajakigundua kuhusu Iran ni kwamba Iran ikivamiwa kijeshi raia 90% wanakua wamoja.
Nchi za mashariki ya kati zinafahamu fika ikianguka Iran basi wao wanafuata.
Nchi za kiarabu zina uhusiano wa siri na Iran,Qatar imekua ikifanya biashara kinyemela na Iran.
 
True, ndo maana wanashambulia base za America huko mashariki.

Kwenye mazingira ya namna hiyo, Iran ipo kwenye weak side. Hata wakifanikiwa kupiga base, mwenzio anapiga makao makuu ya nchi, madhara mabaya zaidi, hasa maisha ya watu, yataangukia upande wa Iran.

Iran inategemea kombora la kurushwa toka nchini mwake, USA inategemea ndege za kivita. Precision na madhara ya kombora na drones siyo sawa na madhara na makombora yanayobebwa na ndege. Ndege moja inabeba makombora kadhaa, na inaweta kupiga hata targets zaidi ya 5 mara moja, wakati kombora la kurushwa linakuwa moja, na linatua sehemu moja tu.
 
Wacha tusubiri tuone itavyokua.
Ila kombora la hypersonic la tani mbili lenye kubeba multiple war heads ni hatari kuliko kombora la kubebwa kwa ndege. Pia kombora la kubebwa kwa ndege ni rahisi ku intercept kuliko land to land hypersonic missile.
 
Nashauri Irani ikishambuliwa wao waelekeze Washington na New York makombora Yao ili marekani aonje utamu wa vita nyumbani kwake.
Tatizo mnadanganyana sana huko misikitini, mnaiona US ni kama Tanzania au Uganda. Usicheze na mtu ambae ukinyanyua tu Nuclear, within seconds ameshapata taarifa. Maadui zake wakuu wote amewazunguka kwa kuweka Military Base zake.
 
Hata 1980 Iran ilikua ina uchumi mbaya kuliko sasa na walimudu vita ya miaka nane kuanzia 1980-1988.
Pia kitu ambacho watu hawajakigundua kuhusu Iran ni kwamba Iran ikivamiwa kijeshi raia 90% wanakua wamoja.
Nchi za mashariki ya kati zinafahamu fika ikianguka Iran basi wao wanafuata.
Nchi za kiarabu zina uhusiano wa siri na Iran,Qatar imekua ikifanya biashara kinyemela na Iran.
Mzee sisi tupo 2026 wewe unakumbuka 1980's. Unataka kutuaminisha licha ya upinzani wa raia kufa na maaskari kufa huko Iran, bado raia wa Iran wanaweza wakaiunga mkono serikali yao? Be serious, zama zimebadilika sana.

Uwezo wa kijeshi wa maadui wa Iran hasa Israel na US umeimarika mara dufu zaidi, na pia hata kipindi hiki Iran amekuwa na maadui wengi zaidi.

US akiingilia kati kipindi hiki, ile nchi inapasuka. Huenda Magharibi wanajaribu kutafuta namna bora ya kupunguza madhara ya raia ili waingie hapo Iran.
 
Kwenye mazingira ya namna hiyo, Iran ipo kwenye weak side. Hata wakifanikiwa kupiga base, mwenzio anapiga makao makuu ya nchi, madhara mabaya zaidi, hasa maisha ya watu, yataangukia upande wa Iran.

Iran inategemea kombora la kurushwa toka nchini mwake, USA inategemea ndege za kivita. Precision na madhara ya kombora na drones siyo sawa na madhara na makombora yanayobebwa na ndege. Ndege moja inabeba makombora kadhaa, na inaweta kupiga hata targets zaidi ya 5 mara moja, wakati kombora la kurushwa linakuwa moja, na linatua sehemu moja tu.
Hawawezi kukuelewa sababu wanaingiza udini, ile vita ya siku kadhaa hadi US ikapiga zile ngome za kutengeneza Nuclear ilionesha ubora wa hali ya juu kwa majeshi ya anga ya Magharibi/Israel na kuonesha udhaifu mkubwa wa kutopambana na adui wa anga Iran.

Iran hawezi kabisa kulinda anga lake dhidi ya Israel/US. Ingekuwa ni vita kama vita basi tungeona Iran ikitaabika mno.
 
Tatizo mnadanganyana sana huko misikitini, mnaiona US ni kama Tanzania au Uganda. Usicheze na mtu ambae ukinyanyua tu Nuclear, within seconds ameshapata taarifa. Maadui zake wakuu wote amewazunguka kwa kuweka Military Base zake.
Iran lazima utawala wake uanguke, the same kwa Mexico, North Korea, hata Cuba na Colombia kuna hatari ya regime change.
Taiwan itachukuliwa na china muda ujao na ukraine dogo zele atakimbia nchi na government inayoinyenyekea russia itawekwa madarakani na US na russia
 
Wacha tusubiri tuone itavyokua.
Ila kombora la hypersonic la tani mbili lenye kubeba multiple war heads ni hatari kuliko kombora la kubebwa kwa ndege. Pia kombora la kubebwa kwa ndege ni rahisi ku intercept kuliko land to land hypersonic missile.
Sikiliza Mkuu, hata mwanzoni Ukraine aliteseka na hizp hypersonic missiles ila kwa sasa sio tishio sana. Pia kumbuka Israel alishaonja joto la jiwe juu ya hizo hypersonic missiles, yamkini kwa sehemu kubwa ameshajua namna ya kujikinga.

Anga la Iran kudhibitiwa ni hatari zaidi kwake kuliko kumiliki Hypersonics elfu moja.
 
Hata 1980 Iran ilikua ina uchumi mbaya kuliko sasa na walimudu vita ya miaka nane kuanzia 1980-1988.
Pia kitu ambacho watu hawajakigundua kuhusu Iran ni kwamba Iran ikivamiwa kijeshi raia 90% wanakua wamoja.
Nchi za mashariki ya kati zinafahamu fika ikianguka Iran basi wao wanafuata.
Nchi za kiarabu zina uhusiano wa siri na Iran,Qatar imekua ikifanya biashara kinyemela na Iran.
Sasa kama mpaka wewe umejua Qatar inafanya biashara kinyemela unadhani kutakua na unyemela wowote hapo?
 
Ili uweze kupigana vita inahitaji moyo na Imani, uvumilivu resilience hivyo makombora ni nyenzo wote ni mashuhuda Hamas wamesimama 2 years na Jeshi kilio Bora Kwa silaha lakini nidhamu zero, ila matokeo yake makafiri ya IDF kila siku yanajinyonga. Kumsinda IRGC inahitaji moyo wa chuma kweli kweli hakuna msamiati wa kusarenda Kwa wafuasi wa imam Hussein Hata sunni wanajua balaa la muajemi
 
Back
Top Bottom