Hawana uwezo huo kwa USA, au geopolitics Yako unajifunzia madrasa bwashee, USA(under MAGA) atatumia bases zake zote na hamna regime kutoka Saudi, Qatar au Iraq inaweza mzuia kwa sasa (2026). Saudi na Qatar Wana hardpower ipi ya kumzuia USA asitumie military bases zake mwenyewe dhidi ya Iran!? Unakuja na knowledge zako za form 3 kuchambua geopolitics!?
HUNA ELIMU WEWE NA HUJIELEWI.
WACHA NIKUFUNDISHE.
MAREKANI KIPINDI ANAENDA KUWEKA KAMBI QATAR HAKUWEKA KAMBI KIMABAVU BALI KUNA MUTUAL SECURITY PACTS AMBAZO WALISAINISHANA.
Hizo Mutual security pacts walizosainishana zinampa haki ya Qatar,Saudi arabia na Iraq kukataa ardhi zao kutumika ama kukubali ardhi zao kutumika. Maana wao ni washirika sio MAKOLONI ya USA.
Linapotokea jambo wao hukubaliana sio kulazimishana.
Hata vita ya June 2025 Iran hakuirushia makombora mazito Qatar kwasababu inafahamika kambi zilizotumika ni za Syria na Iraq. Ndio maana Iraq na Syria Iran alipalipua kweli kweli.
Security pact hiyo hiyo ndio iliyofanya Burkina Faso kuondoa kambi za Ufaransa nchini mwao.
For your low knowledge security pact hiyo hiyo ndio iliyompa haki IRAQ 2023 kumuamuru SIO KUMUOMBA BALI KUMUAMURU USA AONDOE MAJESHI YAKE IRAQ.
MBONA USA HAKUKATAA NA KUKOROMA!?
AMRI IKATOKA NA MAKUBALIANO YAKATOKA majeshi yataondolewa kwa awamu kulingana na idadi ya wanajeshi na kambi.
Mwaka 2024 more than 60,000 US troops waliondoka kurudi USA.
Na haki hiyo hiyo anayo Qatar na Saudi Arabia.
Na washamwambia na Trump ametii.Na wakisema wavunje mkataba wa umoja wa kiusalama wanavunja vile vile.
Aya wewe unasemaje!??
KIJANA HUNA UNALOJUA UKO SHALLOW SANA WACHA KUJITUTUMUA.
Na unaonekana fresh from school wewe. blaah blaah nyingi.