Dalili za Iran kushambuliwa usiku wa kuamkia kesho

Mkuu embu wacha kufikiria ndani ya box tu.
Hata mwaka 1980 kulikua na raia wasioipenda serikali ya Khameni pia.
Ukizungumzia kuhusu Israel na America kuongezeka nguvu usisahau Iran nayo kwasasa inaunda inter continental ballistic missile ya umbali wa 20000 kilometers. Inamaana kombora linaweza kufika Marekani ambapo ni 9800+ kilometers toka Iran.

Kama kuhusu haya maandamano vyombo vya nje vimepotosha sana. Raia walikua wakiandamana kupinga ufisadi na gharama za maisha,ila kuna mamluki ambao wengi wao ni kutoka Kurdistan province ndio waliokua wakichochea mapinduzi.
Kama ungesikiliza hotuba ya Khamenei Ijumaa iliyopita MAMILIONI YA RAIA WA IRAN WALITENGA MIDA YAO KUMSIKILIZA.
Hili linamaanisha bado Iran ina raia wengi sana wanaiunga mkono.

Kuhusu maadui kama haujui Saudi Arabia ilimaliza uhasama na Iran na kufungua balozi zao 2021.
Qatar ina mikataba ya kibiashara na Iran na juzi iliialika Iran kwenye kiwanda cha silaha kubadilishana ujuzi.
Oman nao mwaka huu wamemualika waziri wa mambo ya nje wa Iran.
Waarabu wanajua fika kuwa Iran ikiangamia basi na wao wanafuata bimaana watakua hawana ulinzi.

Unazungumzia kuhusu raia?
Umesahau US iliua mamilioni ya raia Iraq kimakusudi?
Au haukupitia ripoti za Jullian Assange!?
 
Mkuu usiseme kirahisi tu.
Iran kutumia hypersonic missile juu ya Israel mwaka jana sio mara ya kwanza.
Pia huko Ukraine nadhani juzi umemsikia Zelensky anvyolalamika baada ya Urusi kuamua kutumia oreshnik missiles.Huko yanatokea maafa makubwa kwasasa.
Iran na yeye hajakaa kizembe vile vile. Amerekebisha mifumo yake ya anga iliyoharibiwa mwaka jana na amenunua mifumo mingine ya anga kutoka China ya HQ-9.
Inamaana na yeye amejipanga pia.
Kama Iran ingekua nyepesi Trump sio mtu wa maneno Trump akisema anatenda Venezuela Trump hakupepesa jicho chap sana alimbeba Maduro.
Ila kwa Iran wiki ya pili inaenda hii.
 
Sasa kama mpaka wewe umejua Qatar inafanya biashara kinyemela unadhani kutakua na unyemela wowote hapo?
Mkuu hizi ripoti ziliwekwa baada ya Iran kuishambulia kidhaifu Qatar.
Pia mwaka 2024 Qatar ilimualika Iran kwenye viwanda vyake vya silaha.
Ni wenyewe wazungu wanasema sio mimi.
Niliposema kinyemela nimemaanisha inofficial pasi na kutangaza kama biashara zingine za kimataifa zinavyotangazwa.
 
Ripoti zinasema kuwa USA ameamuru zana za vita na wanajeshi kundolewa Al hudeid Air base ambayo ni kambi ya Marekani nchini Qatar.
Sasa sijajua hii inaashiria nini.
Pia ripoti zinasema kuwa Saudi Arabia na Qatar zinamsisitiza USA kutokuishambulia Iran na wanakataa ardhi zao kutumika kama kambi dhidi ya Iran,wakidai kuwa hili litasababisha mpasuko mkubwa na kuwaathiri kiuchumi kwa kushambuliwa miundombinu yao ya kiuchumi.
Na pia kama Iran ataamua kufunga ghuba ya uajemi kupitia mfereji wa Hormuz itawaumiza sana wao.
 
Sawa sisi tunusubiri wasije omba Iran asimamishe vita badaye
Urusi imepeleka makombora ya Iskander na Oreshnik hypersonic missile nchini Iran.
China amepeleka mifumo ya anga ya HQ-9 nchini Iran.
Sasa hatujui kama Iran atatumia Oreshnik dhidi ya Israel au laah.
 
Mababu bado una nguvu za kuwazungumzia Hamas?
 
Huu utawala wa Iran ukianguka nitafurahi mno.
 
Huu utawala wa Iran ukianguka nitafurahi mno.
Wewe utawala wa Iran unakusumbua nini? Ndio maana October 29 mliuliwa kama kuku wapuuz nyie!!! mnafurahia wenzenu wafe kwenye NCHI yao ilhal hawana hatia
 
Mababu bado una nguvu za kuwazungumzia Hamas?
Vita ingekua silaha Yemeni kungekua hamna watu Leo hii, Hamas Bado wapo na Leo wameitwa Kwenye mazungumzo misri. Tunnel 90% Bado zipo silaha Bado wanazo wapiganaji Bado wapo kwahio unataka tuzungumze nini, ili umpige Iran lazima uingie ardhini sio kurusha ukiwa Iraq utegemee kupindua nchi. US, NATO na Iraq wanajua IRGC ni mziki walisavaivu silaha za sumu kipindi Hata technology hii ya sas ya kuzima Star link hawana
 
Urusi imepeleka makombora ya Iskander na Oreshnik hypersonic missile nchini Iran.
China amepeleka mifumo ya anga ya HQ-9 nchini Iran.
Sasa hatujui kama Iran atatumia Oreshnik dhidi ya Israel au laah.
we uko upande upi sasa? Maana urusi ni wakristo wa dhehebu la orthodox, china ni wabudha hawa wote mnasemaga ni makafiri vp tn mbona kama unawaunga mkono wkt mmeamuriwa msifanye nao hata urafk, au ndo unafk kama dini yenu ilivyo ya wanafiki.
 
Urusi imepeleka makombora ya Iskander na Oreshnik hypersonic missile nchini Iran.
China amepeleka mifumo ya anga ya HQ-9 nchini Iran.
Sasa hatujui kama Iran atatumia Oreshnik dhidi ya Israel au laah.
hata kule kwa maduro mlisema hivi hivi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…