Huwa sijawahi kukubaliana kujadiliana na wewe kabisa. Wacha niku ignore tena.we uko upande upi sasa? Maana urusi ni wakristo wa dhehebu la orthodox, china ni wabudha hawa wote mnasemaga ni makafiri vp tn mbona kama unawaunga mkono wkt mmeamuriwa msifanye nao hata urafk, au ndo unafk kama dini yenu ilivyo ya wanafiki.
Kwa Maduro hakuchukua muda akafanya.hata kule kwa maduro mlisema hivi hivi....
Punguza matusi pia jadili kwa fact sio uongo.Nachojua mimi Trump si kama Mzee Putin mzee wa ahadi nyingiii na vitisho lukuki, mwaka wa saba sasa vita ya Ukraine imeshinda kumaliza ha ha ha
Anasajiri hadi wahindi vitani achana na wale wakorea walinyolewa mavuzi ya mkunduni
Tunasubiri kishindo, US is US - baba wa Demokrasia Duniani.
Hutaki kapige punyeto mbwa wewe.
Waombe hata ICBM za urusi.urusi anazo ambazo zinafika hadi marekani.Mfano ICBM ya urusi iitwayo Satan ll Ina fikia tageti umbali wa km18000.Vilevile ICBM ya china iitwayo Dang feng 41 inafikia umbali wa km 12000-15000 na zipo silaha nyingine nyingi tu. Kinacho wasaidia marekani Wana kambi nyingi sehemu mbali mbali duniani ambazo zinaweza kuwa kikwazo Kwa makombora kupenya mifumo mingi ya kiulinzi kufika nchini mwaoKuelekeza Washingyon na NewYork, labda kama watakuwa wanataka kulipamba anga. Umbali ni mrefu, na kabla ya kuingia anga la Marekani, makombora hayo yatakutana na ulinzi wa anga kutoka bases mbalimbali za Marekani. Siyo rahisi kombora kupenya mifumo zaidi ya miwili bila ya kudunguliwa.
Lakini pia inaelekea hujui hata umbali wa kutoka Iran mpaka USA! Eneo la karibu kabisa ni kilometa 9,800, wakati kombora lenye uwezo wa kwenda mbali kabisa la Iran ni kilometer 3,000. Hivyo ujue tu kuwa Marekani ipo salama kabisa kutokana na makombora ya Iran. Makombora ya Iran mwisho wake ni Mashariki ya kati tu.
Wewe jamaa ni mjinga sana. Akili yako inafikiri upande mmoja. Haujiulizi kwanini Trump anambwelambwela kulianzishaWaombe hata ICBM za urusi.urusi anazo ambazo zinafika hadi marekani.Mfano ICBM ya urusi iitwayo Satan ll Ina fikia tageti umbali wa km18000.Vilevile ICBM ya china iitwayo Dang feng 41 inafikia umbali wa km 12000-15000 na zipo silaha nyingine nyingi tu. Kinacho wasaidia marekani Wana kambi nyingi sehemu mbali mbali duniani ambazo zinaweza kuwa kikwazo Kwa makombora kupenya mifumo mingi ya kiulinzi kufika nchini mwao
Nasikia huko marekani imenywea baada ya Iran kudindishaWafuasi wa allah wako humu wanawashangilia urusi na china sjui hawajui kwmb nao ni sehemu ya wale wanaowaita makafiri salamaleko wallah....kwmb USA anamuogopa iran aaahaahaaaaha kwmb mbona kwa iran wanatshiatishia sn hawafanyi kama venezuela ujnga mwngne bhana, USA alipeleka siraha na jeshi jrani na venezuela muda mrefu sn kabla hata ya december na akawa anamwambia madulo aondoke mwnyw ubsh wa madulo ndo umesababsha unyakuo.
we jamaa utakuwa ni lijinga sn inamaana huna taarifa kwmb jeshi la marekani limekuwepo huko jiran na venezuela kabla hata ya december 2025 tn kuna meli ya urusi ilienda na ikarud kwao bila kuguswa na jesh la marekan na humu kuna mtu aliweka uzi huo akiinanga marekani na wkt huo wkt jeshi la marekan likiwa uko walikuwa wanamtishia madulo ivihivi mpk trump alimwambia aachie madaraka na aondoke hawatamfanya ktu leo unajsahaulisha na kudanganya watu humu kwmb eti kwa venezuela hawakutishia waliingia tu mbona kwa iran wanatishia ng'ombe ww, iran hii hii ambayo anga lake lipo uchi na mosad wamejazana kwny ardhi yake ndo marekan amuogope..urusi wkt anaingia ukraine alionya atakayemsaidia ukraine kwa chochote atapgika haya kashampga nani? Hata majiran zake ulaya hajawagusa na wanamsaidia ukraine..namaanisha marekan alishndwa kumuogopa urusi aje kuogopa.Kwa Maduro hakuchukua muda akafanya.
Tujiulize kwanini kwa Iran wiki ya pili sasa kila siku anahairisha!?
Marekani alifanikiwa venezuela kwa kutumia milungula na madulo kusalitiwa na watu wake. Mbinu hiyo haifanyi kazi ktk mataifa yanayojitambuaWafuasi wa allah wako humu wanawashangilia urusi na china sjui hawajui kwmb nao ni sehemu ya wale wanaowaita makafiri salamaleko wallah....kwmb USA anamuogopa iran aaahaahaaaaha kwmb mbona kwa iran wanatshiatishia sn hawafanyi kama venezuela ujnga mwngne bhana, USA alipeleka siraha na jeshi jrani na venezuela muda mrefu sn kabla hata ya december na akawa anamwambia madulo aondoke mwnyw ubsh wa madulo ndo umesababsha unyakuo.
Yani Qatar na Saudi Arabia wamsapoti Iran instead of USA!? Acha ujinga Yani hao waarabu wapo kimya kwa mauaji ya waarabu wenzao Gaza wajiangaishe na waajemi!?Mkuu embu wacha kufikiria ndani ya box tu.
Hata mwaka 1980 kulikua na raia wasioipenda serikali ya Khameni pia.
Ukizungumzia kuhusu Israel na America kuongezeka nguvu usisahau Iran nayo kwasasa inaunda inter continental ballistic missile ya umbali wa 20000 kilometers. Inamaana kombora linaweza kufika Marekani ambapo ni 9800+ kilometers toka Iran.
Kama kuhusu haya maandamano vyombo vya nje vimepotosha sana. Raia walikua wakiandamana kupinga ufisadi na gharama za maisha,ila kuna mamluki ambao wengi wao ni kutoka Kurdistan province ndio waliokua wakichochea mapinduzi.
Kama ungesikiliza hotuba ya Khamenei Ijumaa iliyopita MAMILIONI YA RAIA WA IRAN WALITENGA MIDA YAO KUMSIKILIZA.
Hili linamaanisha bado Iran ina raia wengi sana wanaiunga mkono.
Kuhusu maadui kama haujui Saudi Arabia ilimaliza uhasama na Iran na kufungua balozi zao 2021.
Qatar ina mikataba ya kibiashara na Iran na juzi iliialika Iran kwenye kiwanda cha silaha kubadilishana ujuzi.
Oman nao mwaka huu wamemualika waziri wa mambo ya nje wa Iran.
Waarabu wanajua fika kuwa Iran ikiangamia basi na wao wanafuata bimaana watakua hawana ulinzi.
Unazungumzia kuhusu raia?
Umesahau US iliua mamilioni ya raia Iraq kimakusudi?
Au haukupitia ripoti za Jullian Assange!?
Acha ujinga. Hakuna nchi hata moja inayotamani kupeleka wanajeshi wake Ukraine na nchi zote za NATO na umoja wa ulaya wanakaa vikao kila siku kama wachawi kuijadili Russia. Russia kaishajimegea pandela Ukraine na Trump kamwambia zelensk akubali yaishe maana hakuna jinsi🤣🤣🤣we jamaa utakuwa ni lijinga sn inamaana huna taarifa kwmb jeshi la marekani limekuwepo huko jiran na venezuela kabla hata ya december 2025 tn kuna meli ya urusi ilienda na ikarud kwao bila kuguswa na jesh la marekan na humu kuna mtu aliweka uzi huo akiinanga marekani na wkt huo wkt jeshi la marekan likiwa uko walikuwa wanamtishia madulo ivihivi mpk trump alimwambia aachie madaraka na aondoke hawatamfanya ktu leo unajsahaulisha na kudanganya watu humu kwmb eti kwa venezuela hawakutishia waliingia tu mbona kwa iran wanatishia ng'ombe ww, iran hii hii ambayo anga lake lipo uchi na mosad wamejazana kwny ardhi yake ndo marekan amuogope..urusi wkt anaingia ukraine alionya atakayemsaidia ukraine kwa chochote atapgika haya kashampga nani? Hata majiran zake ulaya hajawagusa na wanamsaidia ukraine..namaanisha marekan alishndwa kumuogopa urusi aje kuogopa.
Muwe mnatumia akili sio hisia na mihemko kujadili.Yani Qatar na Saudi Arabia wamsapoti Iran instead of USA!? Acha ujinga Yani hao waarabu wapo kimya kwa mauaji ya waarabu wenzao Gaza wajiangaishe na waajemi!?
Umenichekesha mpaka nimemwaga supu yani au atakua ni mkurugenzi wa CIA huyu huwezi jua ati🤣Sasa kama mpaka wewe umejua Qatar inafanya biashara kinyemela unadhani kutakua na unyemela wowote hapo?
Knowledge Yako ya Geopolitics ni shallow sana kijana. Hivo vikao vya Qatar kuhusiana na Gaza vimesaidia nn wakati Israel anaendelea na operations zake pale Gaza (in fact successful operations against Hamas)Muwe mnatumia akili sio hisia na mihemko kujadili.
Qatar haikukaa kimya Gaza ilipovamiwa,bali haikuchukua hatua za kijeshi.Ila ilipambana sana kidiplomasia na ikaitisha vikao vingi nadhani vikao vya Cairo peace arab summit hukuvifuatilia.
Suala la Iran ni nyeti,hao waarabu wanajua fika kuwa Iran ikianguka na wao wameanguka.
Iran ni nchi pekee mashariki ya kati inayoleta balance of power.
Ingekua waarabu hawajali wasingerudisha uhusiano na Iran mwaka 2021 na kufungua balozi zao.
Fuatilia mambo yaonekana mengi hujui.
Kwahiyo kwa knowledge Yako ya geopolitics unadhani Saudi Arabia na Qatar wataungana na Iran kumpiga USA!? Unafaham USA ana military bases kwenye nchi hizo!? Unafaham uhusiano wa kijieshi (security) and economic relationships walizonazo USA na nchi hizo pale Middle East!?Muwe mnatumia akili sio hisia na mihemko kujadili.
Qatar haikukaa kimya Gaza ilipovamiwa,bali haikuchukua hatua za kijeshi.Ila ilipambana sana kidiplomasia na ikaitisha vikao vingi nadhani vikao vya Cairo peace arab summit hukuvifuatilia.
Suala la Iran ni nyeti,hao waarabu wanajua fika kuwa Iran ikianguka na wao wameanguka.
Iran ni nchi pekee mashariki ya kati inayoleta balance of power.
Ingekua waarabu hawajali wasingerudisha uhusiano na Iran mwaka 2021 na kufungua balozi zao.
Fuatilia mambo yaonekana mengi hujui.
Kwanza KOMA kuniita kijana.Knowledge Yako ya Geopolitics ni shallow sana kijana. Hivo vikao vya Qatar kuhusiana na Gaza vimesaidia nn wakati Israel anaendelea na operations zake pale Gaza (in fact successful operations against Hamas)
Kwahiyo kuungana na Iran hadi wapigane dhidi ya USA!?Kwahiyo kwa knowledge Yako ya geopolitics unadhani Saudi Arabia na Qatar wataungana na Iran kumpiga USA!? Unafaham USA ana military bases kwenye nchi hizo!? Unafaham uhusiano wa kijieshi (security) and economic relationships walizonazo USA na nchi hizo pale Middle East!?
Hahahah wakorea hamna kitu wanajua kumsujudia kiduku tu ila weupe sana😂Nachojua mimi Trump si kama Mzee Putin mzee wa ahadi nyingiii na vitisho lukuki, mwaka wa saba sasa vita ya Ukraine imeshinda kumaliza ha ha ha
Anasajiri hadi wahindi vitani achana na wale wakorea walinyolewa mavuzi ya mkunduni
Tunasubiri kishindo, US is US - baba wa Demokrasia Duniani.
Hutaki kapige punyeto mbwa wewe.
Hawana uwezo huo kwa USA, au geopolitics Yako unajifunzia madrasa bwashee, USA(under MAGA) atatumia bases zake zote na hamna regime kutoka Saudi, Qatar au Iraq inaweza mzuia kwa sasa (2026). Saudi na Qatar Wana hardpower ipi ya kumzuia USA asitumie military bases zake mwenyewe dhidi ya Iran!? Unakuja na knowledge zako za form 3 kuchambua geopolitics!?Kwahiyo kuungana na Iran hadi wapigane dhidi ya USA!?
Mbona una akili mgando hivi?
Hata kuhusu passive resistance haujasoma form 3!?
Qatar na Saudi Arabia ZIMEKATAA ARDHI ZAO KUTUMIKA KWA MASHAMBULIZI DHIDI YA IRAN.
Hiyo ni kumuunga mkono Iran tosha.
Maana USA anategemea kambi kuu mbili ama tatu,Saudia,Qatar na Iraq.
Iraq nako walishawaambia USA waondoshe wanajeshi wao na zoezi lilianza tangu mwaka juzi.