Dalili za Iran kushambuliwa usiku wa kuamkia kesho

Wanalitambua Palestina kama Taifa labda West Bank ambayo pia Ina puppet regime ya Israel.
 
Vita vya kutumia ndege ni vya kizamani Iran ameshatoka huko

Kama Netanyau anataka tena na ajaribu aone

Hivi wewe unadhani kama Iran ingekuwa legelege sahizi si Marekani na kibaraka wao Israel wangekuwa wanafanya wanachotaka
 
ile vita ya siku kadhaa hadi US ikapiga zile ngome za kutengeneza Nuclear ilionesha ubora wa hali ya juu kwa majeshi ya anga ya Magharibi/Israel
Katika vita ambayo Imeonyesha uwezo mkubwa wa Iran ambayo US na Israeli hawakutegea Nile. kilichowapata Israeli wanakijua wenyewe, hakuna sehemu ya nyuklia alioweza kuiharibu Us. mwenzetu source yako ya habari ni ipi mpaka unaongea hivyo.
 
Shida ni kwamba mjadala wowote ukiletwa kisha ukavamiwa na jihadists unakosa kabisa maana kwa sababu reasoning capacity yao ni ndogo sana na inatawaliwa zaidi na imani ya kidini. Bure kabisa.
 
HUNA ELIMU WEWE NA HUJIELEWI.
WACHA NIKUFUNDISHE.
MAREKANI KIPINDI ANAENDA KUWEKA KAMBI QATAR HAKUWEKA KAMBI KIMABAVU BALI KUNA MUTUAL SECURITY PACTS AMBAZO WALISAINISHANA.
Hizo Mutual security pacts walizosainishana zinampa haki ya Qatar,Saudi arabia na Iraq kukataa ardhi zao kutumika ama kukubali ardhi zao kutumika. Maana wao ni washirika sio MAKOLONI ya USA.
Linapotokea jambo wao hukubaliana sio kulazimishana.
Hata vita ya June 2025 Iran hakuirushia makombora mazito Qatar kwasababu inafahamika kambi zilizotumika ni za Syria na Iraq. Ndio maana Iraq na Syria Iran alipalipua kweli kweli.
Security pact hiyo hiyo ndio iliyofanya Burkina Faso kuondoa kambi za Ufaransa nchini mwao.
For your low knowledge security pact hiyo hiyo ndio iliyompa haki IRAQ 2023 kumuamuru SIO KUMUOMBA BALI KUMUAMURU USA AONDOE MAJESHI YAKE IRAQ.
MBONA USA HAKUKATAA NA KUKOROMA!?
AMRI IKATOKA NA MAKUBALIANO YAKATOKA majeshi yataondolewa kwa awamu kulingana na idadi ya wanajeshi na kambi.
Mwaka 2024 more than 60,000 US troops waliondoka kurudi USA.
Na haki hiyo hiyo anayo Qatar na Saudi Arabia.
Na washamwambia na Trump ametii.Na wakisema wavunje mkataba wa umoja wa kiusalama wanavunja vile vile.
Aya wewe unasemaje!??
KIJANA HUNA UNALOJUA UKO SHALLOW SANA WACHA KUJITUTUMUA.
Na unaonekana fresh from school wewe. blaah blaah nyingi.
 
Wanalitambua Palestina kama Taifa labda West Bank ambayo pia Ina puppet regime ya Israel.
Uko shallow sana hufuatilii mambo.
Mataifa makubwa ikiwemo Spain yalisema kuwa yanaitambua Palestina huru kwa kupitia mipaka ya ardhi ya 1967.
Na Mahmoud Abbas sio puppet.
Puppet alikua HAMAS ambaye aliundwa na Israel ili kuidhoofisha PLO na kupunguza mamlaka ya PLO kwa kuitenga Gaza.
 
Shida ni kwamba mjadala wowote ukiletwa kisha ukavamiwa na jihadists unakosa kabisa maana kwa sababu reasoning capacity yao ni ndogo sana na inatawaliwa zaidi na imani ya kidini. Bure kabisa.
Wewe huna fact hata moja uliyoiongea humu ndani.
Zaidi upo too emotional driven.
 
wakati kombora la kurushwa linakuwa moja, na linatua sehemu moja tu
Not sure, mbona ballistic missiles huachiwa hata 100 kwa wakati mmoja. Si unakua na launchers nyingi tu na hata hilo kombora moja tu likilipuka linakuwa na cluster bombs ndani yake, yaani kombora moja ila clusters hata 50-100 zinazopiga target nyingi kwenye proximity ya target kuu.

 
Kumbe!! Mbona mmeingia mitini sasa.
 
Nashauri Irani ikishambuliwa wao waelekeze Washington na New York makombora Yao ili marekani aonje utamu wa vita nyumbani kwake.
Itakuwa ni kilio yale makombora sio poa wakae mizani wayamalize tu
 
Hatimaye USA imeondoa wanajeshi wake nchini Iraq kwa agizo na matakwa ya Iraq. KUANZIA SASA USA HAINA KAMBI YA KIJESHI NDANI YA IRAQ.
 
Una habari kama Marekani amefunga kambi zake nchini Iraq kwa agizo na matakwa ya Iraq?
Iraq imemuondosha USA.
Mbona Trump chini ya MAGA hajagoma?
 
Iran asisumbuke kuipika Washington, apige Israel iliyokaribu naye Marekani ayasikia maumivu vizuri sana
 
Kuna nn tena hapo. RIP Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…