Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

Angalia wagonjwa wengi wa figo sio wanywa pombe kali,huyo profesa aache kelele...absolute,martel tunazigonga sana,wale wala rojo na pweza figo ndio zinafeli
 
Sionagi nyuzi za kudiss soda,enegy na mijuice juice,,,ina maana ngano inamadhara sana,,, tusifokeane bhana ukiona soda nzuri komaaa ukiona shayiri ni nzuri komaa ila siku ya saba nenda kuabudu
Hizo ndio mbaya kuliko pombe,cocacola inasukari vijiko 12 yani majanga
 
Daaah mke wangu tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Nina muonekano Wa kiume??
 
Asante sana kwa elimu,japo hiyo ya kukojoa mara kwa mara usiku,duuh! mimi nikinywa glasi mbili usiku za maji,lazima ntaamka hata mara tatu kwenda kukojoa,aisee .....! nimeogopa ... sana.
Dialysis ni ghali na inakula muda,just imagine kukaa kwenye mashine kwa muda wa masaa manne,tena uwahi foleni asubuhi asubuhi,daah!
 
Vipi wewe, wosia wako umeshaandika? maana figo, malaria, uzee, depression, mabovu ya Hamas etc safari ni moja tuu ,hakuna wa kuiepuka na Kila mtu Kwa wakati wake
 
Acha pombe, Hela ya pombe kanunue maji au Maziwa
 
Dunia sio makazi ya kudumu.
Kula raha kula bata
Bora kuishi maisha ya furaha kwa miaka 40 kuliko ya taabu na shida kwa miaka 90 😂😂
alisikika mlevi mmoja akisema haya.😂
 
#12

Idadi kubwa ya wanaume
 
Ha
ha ha ha ha ha
 
Hizi dalili nyingine zinaweza kuja kutokana na mambo mengi tu.

Yani tumbo likikuuma au ukikojoa povu tu tayari unaumwa figo?
 
UKimsikiliza prof j.g anabi huwezi ishi, wanangu tupigi vyombo mpaka tufe hakuna umuhimu wa juda vyotete vikiwa vizima
 
Hizi dalili nyingine zinaweza kuja kutokana na mambo mengi tu.

Yani tumbo likikuuma au ukikojoa povu tu tayari unaumwa figo?
Nimeshanga mkuu mm ya sura kuwa duara au miguu kuvimba hapo ndo aliyenayo ajicheki
 
Hizi zinaweza kuwa dalili za kinajimu, si kitabibu.
Tanzania ukishaitwa prof huwa huhojiki.kuna siku walikuwa wanataka trngeneza it system ya kujibu kero asee et wakafungua whatsap group .nilikua muhimbili hamna kitu
 
Tanzania ukishaitwa prof huwa huhojiki.kuna siku walikuwa wanataka trngeneza it system ya kujibu kero asee et wakafungua whatsap group .nilikua muhimbili hamna kitu
Yani Profesa wa Muhimbili katoa dalili kama wale kina Profesa Maji Marefu vile.

Yani kama mganga wa kienyeji ambaye hajaenda shule, kajipachika tu hiyo hadhi ya Uprofesa.

Atawatia watu hofu bila sababu, quite contrary to "first, do no harm".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…