Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #81
Asiye sikia la mkuu huvunjika guu:MItume na manabii wote walikufa, kansa je, Inasababishwa na pombe kali? Maishani jiandae kupitia uzee, ugonjwa na kifo, haviepukiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiye sikia la mkuu huvunjika guu:MItume na manabii wote walikufa, kansa je, Inasababishwa na pombe kali? Maishani jiandae kupitia uzee, ugonjwa na kifo, haviepukiki
Ngoja nikawahi kvant yanguAsiye sikia la mkuu huvunjika guu:
Angalia wagonjwa wengi wa figo sio wanywa pombe kali,huyo profesa aache kelele...absolute,martel tunazigonga sana,wale wala rojo na pweza figo ndio zinafeliProfesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo
Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant, Nyagi na wote wanaopiga vileo vikali ili kukomesha mademu na mengine kama hayo.
Prof J hata kwenye interview yake alisema kwa siku alikuwa anachoma sindano za laki 8,
Dalili za ugonjwa wa Figo
1. Kuchokachoka ambako hakuelezeki.
2. Kulala siku inakuwa shida.
3. Hamu ya kula inapungua bila kujielewa.
4. Huwezi kufikiria sawa.
5. Mwili unaanza kuwasha.
6. Miguu inaanza kuvimba.
7. Ukiamka asubuhi jiangalie kwenye kioo uso wako utakuwa wa mduara na kadiri siku zitakavyokwenda inapotea.
8. Taste ya chakula inaanza kupotea
9. Kupumua hata rafiki zako wanaanza kugundua harufu yako ya kupumua inakuwa si nzuri sana.
10. Tumbo kuuma
11. Usiku kutoka mara kwa mara kwenda haja ndogo
12. Haja ndogo kuanza kuwa na povu
13. Unaanza kuona chembechembe za damu kwenye mkojo" - P Jb
Profesa afya yake na mkewe hazieleweki...usoni utafikiria mstaafu wa magereza,wari tunapiga hazina madharaKila siku natamani kumwambia profesa atulie kidogo aangalie afya yake.
Hizo ndio mbaya kuliko pombe,cocacola inasukari vijiko 12 yani majangaSionagi nyuzi za kudiss soda,enegy na mijuice juice,,,ina maana ngano inamadhara sana,,, tusifokeane bhana ukiona soda nzuri komaaa ukiona shayiri ni nzuri komaa ila siku ya saba nenda kuabudu
Daaah mke wangu tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Piga kama kawaida, ila pia ukumbuke kuandika WOSIA mkeo asije porwa mali zote na wadogo zako.
Pia, uandike pahala pa kuzikwa ili kwenye kikao cha mazishi pale Mwika Bar ndugu zako wasivutane sana.
Lakini pia, unaweza kuacha maagizo kama mtu hajawahi kukuletea maua kipindi upo mzima asikuletee maua ya bei ghali ukiwa mfu maana hata hutaweza kumshukuru,.
Waulize Wazee wa Tigo watakwambia kama ulikuwa hujuiTezi dume na uasherati vinahusiana vipi?
Vipi wewe, wosia wako umeshaandika? maana figo, malaria, uzee, depression, mabovu ya Hamas etc safari ni moja tuu ,hakuna wa kuiepuka na Kila mtu Kwa wakati wakePiga kama kawaida, ila pia ukumbuke kuandika WOSIA mkeo asije porwa mali zote na wadogo zako.
Pia, uandike pahala pa kuzikwa ili kwenye kikao cha mazishi pale Mwika Bar ndugu zako wasivutane sana.
Lakini pia, unaweza kuacha maagizo kama mtu hajawahi kukuletea maua kipindi upo mzima asikuletee maua ya bei ghali ukiwa mfu maana hata hutaweza kumshukuru,.
#12Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo
Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant, Nyagi na wote wanaopiga vileo vikali ili kukomesha mademu na mengine kama hayo.
Prof J hata kwenye interview yake alisema kwa siku alikuwa anachoma sindano za laki 8,
Dalili za ugonjwa wa Figo
1. Kuchokachoka ambako hakuelezeki.
2. Kulala siku inakuwa shida.
3. Hamu ya kula inapungua bila kujielewa.
4. Huwezi kufikiria sawa.
5. Mwili unaanza kuwasha.
6. Miguu inaanza kuvimba.
7. Ukiamka asubuhi jiangalie kwenye kioo uso wako utakuwa wa mduara na kadiri siku zitakavyokwenda inapotea.
8. Taste ya chakula inaanza kupotea
9. Kupumua hata rafiki zako wanaanza kugundua harufu yako ya kupumua inakuwa si nzuri sana.
10. Tumbo kuuma
11. Usiku kutoka mara kwa mara kwenda haja ndogo
12. Haja ndogo kuanza kuwa na povu
13. Unaanza kuona chembechembe za damu kwenye mkojo" - P Jb
ha ha ha ha haProf alikosa chakula? Achaneni na kuitia hasara serikali.
Achaneni na pombe kali, kunywa mbege, togwa na mnazi.
Acha piwa, wanzuki, Moshi, Kaja jana kaondoka leo, hizo wanywaji ukiwaona wanakuwa na kakitambi flani mbonyeo kama mjamizot, alafu mashavu yanamwagika, alafu mtu anakuwa kama anangaa flani, ni hatari sana.
Hizi dalili nyingine zinaweza kuja kutokana na mambo mengi tu.Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo
Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant, Nyagi na wote wanaopiga vileo vikali ili kukomesha mademu na mengine kama hayo.
Prof J hata kwenye interview yake alisema kwa siku alikuwa anachoma sindano za laki 8,
Dalili za ugonjwa wa Figo
1. Kuchokachoka ambako hakuelezeki.
2. Kulala siku inakuwa shida.
3. Hamu ya kula inapungua bila kujielewa.
4. Huwezi kufikiria sawa.
5. Mwili unaanza kuwasha.
6. Miguu inaanza kuvimba.
7. Ukiamka asubuhi jiangalie kwenye kioo uso wako utakuwa wa mduara na kadiri siku zitakavyokwenda inapotea.
8. Taste ya chakula inaanza kupotea
9. Kupumua hata rafiki zako wanaanza kugundua harufu yako ya kupumua inakuwa si nzuri sana.
10. Tumbo kuuma
11. Usiku kutoka mara kwa mara kwenda haja ndogo
12. Haja ndogo kuanza kuwa na povu
13. Unaanza kuona chembechembe za damu kwenye mkojo" - P Jb
Nimeshanga mkuu mm ya sura kuwa duara au miguu kuvimba hapo ndo aliyenayo ajichekiHizi dalili nyingine zinaweza kuja kutokana na mambo mengi tu.
Yani tumbo likikuuma au ukikojoa povu tu tayari unaumwa figo?
Hizi zinaweza kuwa dalili za kinajimu, si kitabibu.Nimeshanga mkuu mm ya sura kuwa duara au miguu kuvimba hapo ndo aliyenayo ajicheki
Tanzania ukishaitwa prof huwa huhojiki.kuna siku walikuwa wanataka trngeneza it system ya kujibu kero asee et wakafungua whatsap group .nilikua muhimbili hamna kituHizi zinaweza kuwa dalili za kinajimu, si kitabibu.
Yani Profesa wa Muhimbili katoa dalili kama wale kina Profesa Maji Marefu vile.Tanzania ukishaitwa prof huwa huhojiki.kuna siku walikuwa wanataka trngeneza it system ya kujibu kero asee et wakafungua whatsap group .nilikua muhimbili hamna kitu