Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.

Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019 na kipande hiki kina umbali wa km 202. Lakini leo hii tupo mwaka 2021 lakini nimezungumza na wadau ambao wapo site wanasema huu mwaka hawawezi kukamilisha.

Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works ila kwa uzoefu wake ameniambia kuwa kampuni ya Yapi merkez wapo slow katika kuchapa kazi. Maana anasema amefanya kazi za ujenzi kwa muda mrefu na haoni ugumu wa ujenzi wa reli maana kazi kubwa ni kujaza tuta na kisha kutandaza reli.

Kwa hiyo kukata udongo na kujaza tuta sio kazi ya kuchukua miaka minne,japokuwa kuna ujenzi wa madaraja,vituo na miundo mbinu ya umeme. Bora hii tenda wangepewa wachina tangu awali hizo km 202 zingekamilika.

Kuambia watu kuwa tutamilisha ujenzi wa Sgr ndani ya miaka 5 iliyobaki ya utawala wa JPM ni ndoto za mchana. Maana kwa kasi hii ya kampuni ya Yapi merkez ni kujidanganya kuwa vipande vya Makutupora to Moro,Dom to Tabora na Tabora to Isaka vitakamilika kwa wakati.

Inashangaza kwa nini PM Majaliwa haoni aibu kila mara kutuambia kuwa tupo karibu kuanza kupanda treni ya umeme wakati kiuhalisia bado sana.
Stori koko hii
 
Hizi nchi za DRC, Rwanda, Burundi na Uganda ni land locked countries. Zipende zisipende zinategemea ports za Tanzania au Kenya kuwa land open countries. Hadi sasa zinatumia ports za Tanzania au Kenya. Tanzania tukijenga hii miundo mbinu ya SGR etc ports za Kenya zitakuwa hazitumiwi tena na nchi hizi kwani sisi ndiyo tuko karibu nao sana kijiografia na hivyo itakuwa ndiyo cheapest route zao.

Dr Akili,
Hivyo utazilamishia nchi hizo "wapende wasipende" lazima wapitie bandari ya Dar es Salaam huko ndipo tunapo ipa uzito theory ya intuition. Kuna factors nyingi tu nchi jirani zinaweza kuacha kutumia reli za Tanzania.

Ndiyo maana miradi mikubwa iangalie uchumi na viwanda vya ndani ya Tanzania zibebe miundombinu hii kwa zaidi ya 60% na siyo kutegemea "jirani" atatumia ili tufaidike kiuchumi.

Tufikirie nje ya "box" ili tujinusuru kama nchi, reli ya Tanzania na Zambia TAZARA ni mfano wa kuwa somo kuwa jirani au hata nchi-mbia anaweza kuutosa mradi wa pamoja:

www.railjournal.com › in_depth › n...
New management team aims to revitalise Tazara | International Railway Journal

15 Jun 2017 — TRAVELLERS are not often kind about the Tazara Railway, which runs from the Tanzanian port of Dar es Salaam to Kapiri Mposhi, Zambia ......
“A lot of harsh questions have to be asked,” says foundation director Dr Greg Mills. “Why has the Tazara not worked, can a commercial case be made for it, and can the politics be managed?

The Tazara was designed to carry 5 million tonnes of freight a year but decades of deficient maintenance coupled with chronic shortages of locomotives and wagons mean current capacity is estimated around 600,000 tonnes per year.

Actual figures have fallen well short of that: in 2014-15, the railway carried just 88,000 tonnes of freight compared with around 630,000 tonnes in 2005.....
Read more : source : New management team aims to revitalise Tazara - International Railway Journal
 
Ni kweli, kuna kampuni ya kichina ilitaka kusaini na Jakaya kwa dau kubwa lenye mizengwe,lakini haikuwa sababu ya kuwanyima wachina kazi maana kampuni zipo nyingi.
Hio issue huijui,msukuma kaambulia aibu mwisho wa siku ni bora mchina kuliko huyu mturuki,saizi mkwere anacheka tu,

waswahili husema kuchamba kwingi kuondoka na mavi
 
Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.

Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019 na kipande hiki kina umbali wa km 202. Lakini leo hii tupo mwaka 2021 lakini nimezungumza na wadau ambao wapo site wanasema huu mwaka hawawezi kukamilisha.

Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works ila kwa uzoefu wake ameniambia kuwa kampuni ya Yapi merkez wapo slow katika kuchapa kazi. Maana anasema amefanya kazi za ujenzi kwa muda mrefu na haoni ugumu wa ujenzi wa reli maana kazi kubwa ni kujaza tuta na kisha kutandaza reli.

Kwa hiyo kukata udongo na kujaza tuta sio kazi ya kuchukua miaka minne,japokuwa kuna ujenzi wa madaraja,vituo na miundo mbinu ya umeme. Bora hii tenda wangepewa wachina tangu awali hizo km 202 zingekamilika.

Kuambia watu kuwa tutamilisha ujenzi wa Sgr ndani ya miaka 5 iliyobaki ya utawala wa JPM ni ndoto za mchana. Maana kwa kasi hii ya kampuni ya Yapi merkez ni kujidanganya kuwa vipande vya Makutupora to Moro,Dom to Tabora na Tabora to Isaka vitakamilika kwa wakati.

Inashangaza kwa nini PM Majaliwa haoni aibu kila mara kutuambia kuwa tupo karibu kuanza kupanda treni ya umeme wakati kiuhalisia bado sana.
Std gauge na Lile bwawa la rufiji vilikuwa wimbo wa taifa kwenye hotuba za Magufuli, kwa sasa vimebaki story. Nguvu kubwa ni kuhimiza raia zitumie Covidol kutibu ugonjwa ambao haupo. Maajabu ya karne.
 
Hio issue huijui,msukuma kaambulia aibu mwisho wa siku ni bora mchina kuliko huyu mturuki,saizi mkwere anacheka tu,

waswahili husema kuchamba kwingi kuondoka na mavi
Hata mchina akijenga kwa pesa za ndani lazima atapata shida kubwa kwenye kasi kwani TRC ni wasumbufu kwenye malipo, mchina kule mwanza yeye anajenga kwa pesa za mkopo tokea huko lazima atajenga vizuri kwa kasi kubwa kutokana na pesa za nje kulipwa kwa wakati , ingekuwa Tatizo siyo Serikali wangekuwa wamemfukuza mturuki siku nyingi, lakini wanajua hata ikija kampuni ingine ikakutana ucheleweshaji malipo lazima itavurugwa zaidi bora wakomae nae kwani amewazoea na anajenga slow slow mpaka amalize
 
Hizi pesa ni za mkopo,pesa imetoka zamani kwa kipande cha Moro to makutopora mpk sasa tupo Moro,unadhani pesa inatumika wapi? Pesa mtutuki hajapewa au kapewa? Nani anayo? Pesa hii inatakiwa ilipwe tena kea riba baada ya miaka 20. Sie tunapoteza muda tunaona miaka 20 ni mingi sana.. shauri zetu
Utafika muda ili tulipe kwa wakati inatubidi tuwakusanyie bilioni saba za kitanzania kila siku,ndo hapo utakaposikia ndoa imetanganzwa
 
Aongezewe muda ili akamilishe Sgr?

Hiyo ndio karata anayowapa wapambe wake kuwa hii miradi aliyoanzisha haiwezi kumalizwa na mtu mwingine yeye akiondoka!! Huu ni uendawazimu ambao ni watu wa njaa kama Mzee Butiku wanaweza kuuamini!!! Hii miradi ya JIwe ya SGR na huo wa Kufua umeme mto Rufiji[ umepewa jina la NYERERE kwa makusudi!] inatekelezwa kwa kutumia fedha za watanzania na si fedha kutoka mifukoni mwa JIWE!!
Muda wake ukifika kikatiba akiondoka ni fedha zile zile za wananchi zitamalizia hiyo miradi tena kwa ufanisi zaidi; hivyo kuanzisha hii miradi na kutokamilika kwake muda wake utakapokwisha sio sababu ya msingi ya kuvunja katiba kwa kumuongezea muhula mwingine wa kuwa mtawala.
 
Hivyo utazilamishia nchi hizo "wapende wasipende" lazima wapitie bandari ya Dar es Salaam huko ndipo tunapo ipa uzito theory ya intuition. Kuna factors nyingi tu nchi jirani zinaweza kuacha kutumia reli za Tanzania.
Nimesema wapende wasipende wanategemea bandari aidha za Tanzania au za Kenya. Sijasema lazima wapitie bandari ya Dar es Salaam. Na Tanzania nimesema tunazo bandari nyingi tu ambazo tunaendelea kuziboresha kwa viwango vya kimataifa. Hivyo nchi hizo zina option mbili tu - aidha kupitia Kenya ( Mombasa etc) au Tanzania (Dar, Tanga, Mtwara etc).

Hivyo mshindani wetu hapa pekee ni Kenya. Tukiweka miundo mbinu mizuri kama hiyo ya sgr ya umeme na kuisimamia vizuri Kenya tutamshinda kwani geographically yuko mbali zaidi na nchi hizi kuliko Tanzania.

Hilo la Zambia kilichotokea ni usimamizi (management) mbovu na corruption kwenye reli ya tazara. Zambia ni land locked country. Options zao ni bandari za Afrika kusini, Angola au Tanzania. Kijiografia Tanzania ndiyo best option kwa kutumia reli ya tazara inayotoka Dar es Salaam port hadi Kapilimposhi nchini Zambia. Ni best option kwa Zambia kusafirisha mafuta yao ya petroli kwa kutumia bomba la tazama linalotoka Dar port hadi Zambia. Ni best option kwa Zambia kutumia barabara ya lami inayotoka Dar hadi Makambako. Best options zote hizi tatu kwa Zambia zilipigwa vita na washindani wetu wa Angola na Afrika ya kusini kwa ku corrupt uongozi wa mashirika yetu haya ya tazara na tazama, hasa baada ya wahasisi wa miradi hii kung'atuka madarakani (Mzee Kaunda na Mwl Nyerere). Hivi ni vita vya kiuchumi.

Tunatarajia, na actually wameshaanza, washindani wetu kutoka Kenya kuipiga vita miradi yetu hii ya SGR na ya bomba la mafuta la kutoka Uganda hadi bandari yetu ya Tanga. Waasisi wa miradi hii (Mzee Museveni na Dr Magufuli) wako imara, hatujui watakapong'atuka itakuwaje katika ushindani huu wa kiuchumi. Ninarudia kuwa haya mambo hayana uhusiano na hiyo intuition theory bali ni vita vya kiuchumi ambavyo ndivyo vinatawala kwa dunia ya sasa. Ni struggle of the fittest. Tunapaswa kuwa imara na kuwa wakali (kuwatumbua) wale wote (viongozi) wanaotaka kutuangusha katika vita hivi vya kiuchumi. Tunapaswa kuwa na zero tolorence dhidi ya rushwa na uhujumu uchumi (corruption). JPM kaonesha mfano na sisi wote tunapaswa kufanya hivyo.
 
Hata mchina akijenga kwa pesa za ndani lazima atapata shida kubwa kwenye kasi kwani TRC ni wasumbufu kwenye malipo, mchina kule mwanza yeye anajenga kwa pesa za mkopo tokea huko lazima atajenga vizuri kwa kasi kubwa kutokana na pesa za nje kulipwa kwa wakati , ingekuwa Tatizo siyo Serikali wangekuwa wamemfukuza mturuki siku nyingi, lakini wanajua hata ikija kampuni ingine ikakutana ucheleweshaji malipo lazima itavurugwa zaidi bora wakomae nae kwani amewazoea na anajenga slow slow mpaka amalize
Kwani pesa za mkopo huwa haziingii kwenye akaunti ya serikali na kisha kulipa wakandarasi? Mbona unatia aibu?
 
Michango yenu wadau mlio wengi imetawaliwa na hisia badala ya mantinki.Tutimize wajibu wetu kwa kuwapa constructive alternative.Japo ni Jiwe ila anaweza akasi
 
Mhhhm uongozi mtamu nyie acheni.

Zitakuja sababu lukuki ilimradi kubariki matamanio ya walioshika mpini. Mwalimu aliona mbali sana kwa kukemea ili kuzuia pasitokee matabaka fulani kushika uongozi wa juu wa nchi, alijua nini kitatokea na ndo tunashuhudia yamebaki majuto tu hakuna wa kunyanyua mdomo kuongea wala kumfunga paka kengele maana utashughulikiwa vilivyo kama utathubutu kufanya hivyo.

Faulo kubwa ilichezwa na uongozi wa juu wa ccm mwaka 2015, pale ndipo watanzania watawahukumu na kamwe hawatawasamehe kwa Mungu baba.
 
Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.

Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019 na kipande hiki kina umbali wa km 202. Lakini leo hii tupo mwaka 2021 lakini nimezungumza na wadau ambao wapo site wanasema huu mwaka hawawezi kukamilisha.

Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works ila kwa uzoefu wake ameniambia kuwa kampuni ya Yapi merkez wapo slow katika kuchapa kazi. Maana anasema amefanya kazi za ujenzi kwa muda mrefu na haoni ugumu wa ujenzi wa reli maana kazi kubwa ni kujaza tuta na kisha kutandaza reli.

Kwa hiyo kukata udongo na kujaza tuta sio kazi ya kuchukua miaka minne,japokuwa kuna ujenzi wa madaraja,vituo na miundo mbinu ya umeme. Bora hii tenda wangepewa wachina tangu awali hizo km 202 zingekamilika.

Kuambia watu kuwa tutamilisha ujenzi wa Sgr ndani ya miaka 5 iliyobaki ya utawala wa JPM ni ndoto za mchana. Maana kwa kasi hii ya kampuni ya Yapi merkez ni kujidanganya kuwa vipande vya Makutupora to Moro,Dom to Tabora na Tabora to Isaka vitakamilika kwa wakati.

Inashangaza kwa nini PM Majaliwa haoni aibu kila mara kutuambia kuwa tupo karibu kuanza kupanda treni ya umeme wakati kiuhalisia bado sana.
Mwaka 1974 nilisafiri toka Antwerp hadi Warsaw, nao wana SGR, unapita nji karibu 7: UK, France, Belgium, Netherlands, Germany East, West and Poland. Umbali ni maili 735, nchi 7. Kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma ni maili 800, please compare like with like. Sema astaghafirrullah!
 
si ndio ya nn sasa kusoma nataka kufanya tu na operations kwa wagonjwa, si maelezo tu napewa au vp bana
Usifananishe Operation na kupanga matofali wewe. Kumbuka kuna vitu havionekani.
 
HII SASA INAASHIRIA KUWA LAZIMA AONGEZWE MIAKA ILI MIRADI YAKE IKAMILIKE.MPENDE MSIPENDE[emoji41]
Msimpangie Mungu, anaweza fanya chochote bila kujali hiyo miaka mnataka muongezea.

Amalize akae pembeni kama akina Kikwette na Mwinyi
 
Nimesema wapende wasipende wanategemea bandari aidha za Tanzania au za Kenya. Sijasema lazima wapitie bandari ya Dar es Salaam. Na Tanzania nimesema tunazo bandari nyingi tu ambazo tunaendelea kuziboresha kwa viwango vya kimataifa. Hivyo nchi hizo zina option mbili tu - aidha kupitia Kenya ( Mombasa etc) au Tanzania (Dar, Tanga, Mtwara etc).

Hivyo mshindani wetu hapa pekee ni Kenya. Tukiweka miundo mbinu mizuri kama hiyo ya sgr ya umeme na kuisimamia vizuri Kenya tutamshinda kwani geographically yuko mbali zaidi na nchi hizi kuliko Tanzania.

Hilo la Zambia kilichotokea ni usimamizi (management) mbovu na corruption kwenye reli ya tazara. Zambia ni land locked country. Options zao ni bandari za Afrika kusini, Angola au Tanzania. Kijiografia Tanzania ndiyo best option kwa kutumia reli ya tazara inayotoka Dar es Salaam port hadi Kapilimposhi nchini Zambia. Ni best option kwa Zambia kusafirisha mafuta yao ya petroli kwa kutumia bomba la tazama linalotoka Dar port hadi Zambia. Ni best option kwa Zambia kutumia barabara ya lami inayotoka Dar hadi Makambako. Best options zote hizi tatu kwa Zambia zilipigwa vita na washindani wetu wa Angola na Afrika ya kusini kwa ku corrupt uongozi wa mashirika yetu haya ya tazara na tazama, hasa baada ya wahasisi wa miradi hii kung'atuka madarakani (Mzee Kaunda na Mwl Nyerere). Hivi ni vita vya kiuchumi.

Tunatarajia, na actually wameshaanza, washindani wetu kutoka Kenya kuipiga vita miradi yetu hii ya SGR na ya bomba la mafuta la kutoka Uganda hadi bandari yetu ya Tanga. Waasisi wa miradi hii (Mzee Museveni na Dr Magufuli) wako imara, hatujui watakapong'atuka itakuwaje katika ushindani huu wa kiuchumi. Ninarudia kuwa haya mambo hayana uhusiano na hiyo intuition theory bali ni vita vya kiuchumi ambavyo ndivyo vinatawala kwa dunia ya sasa. Ni struggle of the fittest. Tunapaswa kuwa imara na kuwa wakali (kuwatumbua) wale wote (viongozi) wanaotaka kutuangusha katika vita hivi vya kiuchumi. Tunapaswa kuwa na zero tolorence dhidi ya rushwa na uhujumu uchumi (corruption). JPM kaonesha mfano na sisi wote tunapaswa kufanya hivyo.

Daniel Kahneman: Four Keys to Better Decision Making​

The Perils of Intuition​

Intuition is a form of what Kahneman calls fast, or System 1, thinking and we often base our decisions on what it tells us.

“We trust our intuitions even when they’re wrong,” he said.

But we can trust our intuitions — provided they’re based on real expertise. And while we develop expertise through experience, experience alone isn’t enough.

In fact, research demonstrates that experience increases the confidence with which people hold their ideas, but not necessarily the accuracy of those ideas. Expertise requires a particular kind of experience, one that exists in a context that gives regular feedback, that is effectively testable.

“Is the world in which the intuition comes up regular enough so that we have an opportunity to learn its rules?” Kahneman asked.

When it comes to the finance sector, the answer is probably no.

“It’s very difficult to imagine from the psychological analysis of what expertise is that you can develop true expertise in, say, predicting the stock market,” he said. “You cannot because the world isn’t sufficiently regular for people to learn rules.”

That doesn’t stop people from confidently predicting financial outcomes based on their experience.

“This is psychologically a puzzle,” Kahneman said. “How could one learn when there’s nothing to learn?”

That sort of intuition is really superstition. Which means we shouldn’t assume we have expertise in all the domains where we have intuitions. And we shouldn’t assume others do either.

“When somebody tells you that they have a strong hunch about a financial event,” he said, “the safe thing to do is not to believe them.”

Noise alert:

“Whenever there is judgment there is noise and probably a lot more than you think,” Kahneman said.

For example, radiologists were given a series of X-rays and asked to diagnose them. Sometimes they were shown the same X-ray.

“In a shockingly high number of cases, the diagnosis is different,” he said.

The same held true for DNA and fingerprint analysts. So even in cases where there should be one foolproof answer, noise can render certainty impossible.

1. Don’t Trust People, Trust Algorithms​

Whether it’s predicting parole violators and bail jumpers or who will succeed as a research analyst, algorithms tend to be preferable to independent human judgment.

“Algorithms beat individuals about half the time. And they match individuals about half time,” Kahneman said. “There are very few examples of people outperforming algorithms in making predictive judgments. So when there’s the possibility of using an algorithm, people should use it. We have the idea that it is very complicated to design an algorithm. An algorithm is a rule. You can just construct rules.”

And when we can’t use an algorithm, we should train people to simulate one.

“Train people in a way of thinking and in a way of approaching problems that will impose uniformity,” he said.

2. Take the Broad View​

Don’t view each problem in isolation.

“The single best advice we have in framing is broad framing,” he said. “See the decision as a member of a class of decisions that you’ll probably have to take.”

3. Test for Regret​

“Regret is probably the greatest enemy of good decision making in personal finance,” Kahneman said.

So assess how prone clients are to it. The more potential for regret, the more likely they are to churn their account, sell at the wrong time, and buy when prices are high. High-net-worth individuals are especially risk averse, he said, so try to gauge just how risk averse.

“Clients who have regrets will often fire their advisers,” he said.

4. Seek Out Good Advice​

Part of getting a wide-ranging perspective is to cultivate curiosity and to seek out guidance.

So who is the ideal adviser? “A person who likes you and doesn’t care about your feelings,” Kahneman said.

For him, that person is fellow Nobel laureate Richard H. Thaler.

“He likes me,” Kahneman said. “And couldn’t care less about my feelings.”
Read more Source : Daniel Kahneman: Four Keys to Better Decision Making

“Doesn’t matter how smart you are unless you stop and think” - Thomas Sowell
 
Back
Top Bottom