Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

Hivyo mshindani wetu hapa pekee ni Kenya. Tukiweka miundo mbinu mizuri kama hiyo ya sgr ya umeme na kuisimamia vizuri Kenya tutamshinda kwani geographically yuko mbali zaidi na nchi hizi kuliko Tanzania.
Sowell’s central message is that the reason some people are poor — in any country, at any period in history — is not discrimination or exploitation or malicious actions on the part of the rich. Rather, people are poor because they don’t or won’t produce. For him, the only mystery is why.

Geography may have something to do with it. Civilizations that shut themselves off from the rest of the world, Sowell writes, are those that lag behind.

Sometimes that is because of physical barriers, like mountains or a lack of navigable waterways or the unavailability of pack animals.

Other times, as with China and Japan in the 15th and 16th centuries, it is because political leaders seeking to protect their own power cut themselves off from the world.

Either way, the isolation inhibits the development of the “knowledge, skills, experiences and habits” that lead to economic growth. It also prevents humans from developing antibodies, making them susceptible to devastating diseases when foreigners arrive, as happened with the Incas and the Native Americans.

A second determinant of economic success is culture, by which Sowell means customs, values, norms and attitudes.

For him, the proof of culture’s importance is to be found in the experience of minority groups, in various countries, that have achieved extraordinary economic success: Germans in Eastern Europe, Lebanese in West Africa, Japanese in Peru, Chinese in other parts of Asia, Jews and Indians everywhere.

These immigrant groups arrive with a taste for entrepreneurship, a focus on education, a commitment to family, a reputation for honest dealing and an instinct for hard work. They also have high levels of trust and cooperation among themselves.

Successful countries have learned to incorporate these cultural traits into their own, in contrast to “lagging” ones that envy and resent these minorities and concoct grievances against them to explain their own lack of success.

Black leaders want to keep their people in poverty because otherwise they would have no purpose......

Source : https://www.washingtonpost.com/opinions/heres-why-poor-people-are-poor-says-a-conservative-black-academic/2015/09/03/

Wealth, Poverty, and Politics​

Source : Hoover Institution
 
Haya bwana. Nimekuelewa na ninadhani na wewe umenielewa.
 
Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works ila kwa uzoefu wake ameniambia kuwa kampuni ya Yapi merkez wapo slow katika kuchapa kazi. Maana anasema amefanya kazi za ujenzi kwa muda mrefu na haoni ugumu wa ujenzi wa reli maana kazi kubwa ni kujaza tuta na kisha kutandaza reli.

**********

HIVI NDIO VITU VINASABABISHA MNADHARAULIKA NA KUONEKANA MNACHIWEZA KUFANYA NI KUCHUKIA TU UTADHANI HIYO RELI ITAKUA KWA AJILI YA WASUKUMA AU MAGUFULI NA WATU WAKE AU VIONGOZI WA SERIKALI TU!
 
Limajaliwa liongo sana, liliwahi kutuongopea Jiwe yupo hai anapiga kazi
 
Yapi wanafanyakazi kitaalamu na kuchunga ubora.Sio kuripua ripua kama wanavyofanya wachina.Nenda kwao Uturuki ukaone mareli na madaraja waliyojenga.Tukiwashinikiza watafanya haraka halafu madaraja yaporomoke mapema.
Watajenga mpaka lini?
 
Kwa hiyo akifa kabla ya mradi ina maana na SGR nayo itakufa?

Tusimpangie Mungu
Na kweli akafa kabla ya mradi. Magufuli alikengeuka na madaraka ya Dola ndiyo maana alikuwa anaropoka hovyo. Kwa mfano anasema nikiondoka mimi nani atamalizia miradi?

Mungu akamuonyesha ukuu wake
 
Kweli tumekubali.
Hakuna namna ya kuharakisha mradi ,labda kuna makosa katika kumpata mkandarasi.
 
Siku zinasonga mbele na mradi bado haujakamilika.
Faraja ni kwamba mradi unaendelezwa tofauti na ilivyotarajiwa na baadhi ya watanzania kuwa akifariki Magufuli mradi huo utatelekezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…