Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

Kulikuwa na umuhimu gani kutoa kipaumbele kwa mradi unaohitaji pesa nyingi na haukamiliki karibuni wakati sekta nyingine muhimu kama kilimo, elimu, afya, maji, umeme, biashara, ajira nk zinazorota?
Hii nchi imejaa wasomi waoga hawawezi kumwambia ukweli mkuu.
 
Hata sijui mkuu, labda ni nickname kama kina Kibajaji
Maana mara kadhaa nikisikia/kusoma kauli zake najaribu kutafuta kama kuna uhusiano wowote na hiyo nick name yake.
 
Huo mradi kwa wingi wa graduates mtaani wangetangaza dau mradi ungeisha ndani ya miezi 6 tu. Kupanga matofali na kufunga reli ndio iwe ishu hivyo? Waturuki wao wangejenga sehemu zenye madaraja tu
Wazo hili mkubwa angelipata mapema leo tungekuwa tungekuwa tunaongea mafanikio
Kulikuwa na umuhimu gani kutoa kipaumbele kwa mradi unaohitaji pesa nyingi na haukamiliki karibuni wakati sekta nyingine muhimu kama kilimo, elimu, afya, maji, umeme, biashara, ajira nk zinazorota?
Maamuzi ya mihemuko,kutokuwasikiliza wataalamu tumejikuta tuna miradi mikubwa inatekelezwa kwa pamoja(Bwawa la umeme mto rufiji, Treni ya mwendo kasi).
Na kuamua kufanya matumizi makubwa ya fedha yasiyozingatia bajeti na ushauri wa wataalam.
 
Mtikisiko wa uchumi tokana na covid19 utayumbisha vingi. Siyo kwetu tu, hata kwao.
 
Hivi wewe huwa Una nini? Kila siku kukandia shughuli za maendeleo. Unachosha nawe unakuwa kama Mshana Jr au malisa ambao ni wataalam wa kila kitu hata kibambo cha ngedere
 
subiri wanakuja
Kwaiyo unafurahi ujenzi kutokamilika kwa wakati, kwani hata usipokamilika we unapata faida gani?kwanza inabidi tumpongeze Magufuli kwa uthubutu pamoja na mdororo wa uchumi kwasababu ya corona, serikali ya Magufuli bado wanaendelea na miladi yote,nchi nyingi miladi mikubwa wamesimamisha, mpaka wanafikia kupunguza wafanyakazi.Maguri ni mwanaume wa shoka.
 
Hoja ni kukamilika ndani ya utawala wa Magufuli.
 
Hivi huyu Sanga wanamuita/anajiita 'Jah people' sababu ya kuvuta bangi ama?!

Huyu mbunge wa kideng’embe mkoani mjombe nafikiria, nilikuwa huko mwaka 2012 jamaa alikuwa ajui kusoma kabisa yani so tulipata tenda ya kumfundisha ili ajue kusoma.
 
Uzuri huwa ajibu ovyo atawasikia polojo zenu then anakuja kuziba . kelele zenu anapokuja kusema tunazindua mradi wa sgr nyiee ongeen tuu maana nikipaj cha mtanzania kupiga kelele
 
Yapi wanafanyakazi kitaalamu na kuchunga ubora.Sio kuripua ripua kama wanavyofanya wachina.Nenda kwao Uturuki ukaone mareli na madaraja waliyojenga.Tukiwashinikiza watafanya haraka halafu madaraja yaporomoke mapema.
 
Back
Top Bottom