Dalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati

Dalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati

Atakupa hela ya kutoa mimba na kumeza P2 kila mnapokutana

Hakupi hela/msaada za kutimiza malengo yako, wala kukuhudumia kwa chochote

Hakutambulisha popote

akitoka na wewe basi ni bar, club ama lodge

Atakugongea kwenye gari vichakani na maghetto ya wana

Atakuomba ndogo
Duh😭😭 haya
 
Dawa ya kukojoa kitandani? Bado sijapata mkuu nisaidie kutafuta😛
🤣Afadhali umetaja mwenyewe maana niliogopa ungenishushua,lkn nakumbuka jamaa ndy alikuahidi angekupa hiyo dawa na ungepona kabisa kisha wewe ndy ukaniahidi ungenipa mrejesho km umepona au lah😁

Sasa mwezi wa pili huu unaenda naona kimya ndy maana nimekukumbusha mkuu
 
Aah sasa kwanini nikushushue mkuu mbona tatizo la kawaida hilo😀 ila nilikua nimesahau kumcheki huyo jamaa ngoja ntamcheki anisaidie aisee
 
Aah sasa kwanini nikushushue mkuu mbona tatizo la kawaida hilo😀 ila nilikua nimesahau kumcheki huyo jamaa ngoja ntamcheki anisaidie aisee
Kama Hadi Leo hujamcheki basi hapa hakuna kikojozi😂..huyo dogo wa shule mwache Tu amalize shule kisha arudi home kujenga taifa

Mambo yakimwendea kombo mwambie kuna mtu amejitolea kukuoa na hiyo Hali yako
 
Mmh utamuoa hivo hivo? Usije kuninyanyasia mdogo angu bure sitakiii 😀
 
Kuna nakala takriban 100,000 nilizosoma zilizoelezea namna ya kumjua mwanamke anayekupenda. Na kila nayosoma nikifika mwisho inasema kwa maelezo zaidi tafuta kitabu fulani uelewe zaidi

Nimesoma vitabu vya wanafalsafa wengi na historia zao, wapo ambao walikufa katikati ya research ikiwa bado haijakamilika wakiendelea kutafuta majibu ya kumjua mwanamke

Yupo mwanafalsama mmoja alikua na hoja nzito sana ambayo ilionekana kupigiwa kura nyingi za ndio. Huyo ndo mwanafalsafa aliyesema ili mwanamke akupende unatakiwa umiliki pesa

Lakini tangu billgate na jef bozess ndoa zao ziparanguke imebidi aingie chaka tena kufanya research upya
Research kuhusu hawa viumbe haiishi leo! Wako complicated balaa! 😂 😂 😂
 
Na kazi ya mke ni kutii. Biblia imesema ..enyi waume wapendeni wake zenu.
Hayo ni maandiko yameagiza tuwe ivyo lkn hulka yetu si kupenda ndo mana biblia inaimiza mana ukweli kwamba wanaume si wapendaji bali ni watu wa kutamani na wanawake wengi ni viburi biblia inaagiza watutii
 
Tupinge Kama nitamnyanyasa..nitakuwa namwekea alarm saa nne saa saba na saa kumi kila siku Hadi atakapopona
Hizo alarm ndiyo manyanyaso yenyewe sasa anakua hana uhuru bana, mwache alimwage magodoro mtanunua mengine 😀😀 ila ni changamoto sana mkuu basi tu, namuonea huruma huko aliko🤔
 
Sasa huyu mbona ni kama mwanamke mwenye matatizo ya kiakili!

Maana kwa mwanamke ambaye hakuhitaji, atakwambia ukweli wa mambo ili asipoteze muda wake na wako pia. Ila kama anafanya yote haya ila bado anakuvulia nguo na mnagegedana then kuna kuna shida kwenye gearbox ya kichwa chake, hayupo sawa sawa kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom